Usikope kiwanja, huna hiyo hela

Usikope kiwanja, huna hiyo hela

Bakhresa alikopa bank ili kujenga kiwanda cha sukari bagamoyo, sembuse mimi kukopa kiwanja? wacha uwoga. Halafu kiwanja hakikopwi, isipokuwa unalipa kidogokidogo ukimaliza unakabidhiwa hati.
 
Bakhresa alikopa bank ili kujenga kiwanda cha sukari bagamoyo, sembuse mimi kukopa kiwanja? wacha uwoga. Halafu kiwanja hakikopwi, isipokuwa unalipa kidogokidogo ukimaliza unakabidhiwa hati.
Kuna kufa ww 🙌
 
Pombe inakopwa baada ya mtu kulewa , wewe haumuelewi mkopa pombe ila hata yeye akiamka asubuhi haelewei alikopa kopa vipi pombe
Mkopa pombe huwa anakunywa hiyo pombe huku anaisifia kwa maneno..."hii pombe tamu kama sikopi"...!
 
Back
Top Bottom