Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
Ni kiwanja kiluchopo Sanawari chapili kutoka Lami ya bara bara kuu ya Arusha Moshi. Kiwanja kipo jirani na Redio mbingu duniani kinauzwa Milioni 110 top. Ukubwa ni 20x20. Kinafaa kujenga apartments za ghorofa au mahitaji mengine. 0785931267 kelvin kwa maelezo zaidi na kupelekwa site kilipo
