kiwango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa Bashar-Al-Assad ni wa kiwango kingine kabisa!

    Kwa muonekano wake, hafanani kabisa na yaliyokuwa yakifanyika chini ya utawala wake. Katika gereza la Sednaya, kulikuwa na vyumba mbalimbali vya mateso. Moja ya vyumba hivyo kulikuwepo na mashine ya kugandamizia watu [iron press] mpaka wanakuwa kama chapati! Nisome tena: kulikuwepo na mashine...
  2. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi huu uliopita ni kuwadharau Watanzania kwa kiwango cha juu sana

    Ndugu zangu, binafsi nimetafakari kwa kina kile kilichofanyika kwenye kile kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa. Yaliyofanyika ni zaidi hata ya kinachosemwa. Ni hatari kweli kweli. Uchaguzi huu umeonesha ni kwa jinsi gani waliopo madarakani wanavyowadharau wananchi wao. Ebu fikirini...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Abdul Nondo amekutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini

    Abdul Nondo akutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT-Wazalendo Taifa Ndg. Abdul Nondo jana tarehe 03 Disemba 2024, alifanyiwa upasuaji mdogo kwenye unyayo baada ya madakatri wanaomuuguza katika hospitali ya Aga Khan kubaini uwepo wa mivunjiko midogomodogo...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

    Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH" watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Barabara ya Pawaga mpaka Izazi kujengwa kwa kiwango cha lami hatua kwa hatua

    Imeelezwa kwamba barabara ya Pawaga mpaka Izazi imewekwa katika mpango wa kujengwa kwa kiwango cha lami hatua kwa hatua ili kurahisisha shughuli za mawasiliano na kuchochea shughuli za uchumi kwa wananchi wa Isimani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi William Lukuvi (Mb) Isimani wakati...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Walimu, haswa wa vijijini, tutapewa lini motisha kwa kupandisha kiwango cha ufaulu? Mbona Taifa Stars wanamwagiwa mahela kila leo?

    Kwa miaka kadhaa Sasa ufaulu unaongezeka tu; darasa la nne, la saba, kidato Cha pili, kidato Cha nne Hadi kidato Cha sita ni mwendo wa kufurahia ongezeko tu la ufaulu. Watu wanapiga kazi mpaka shule za serikali Sasa kukuta div I 200, kama Lindi sec, ni jambo la kawaida. Ajabu ni kuwa hakuna...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kuwa kilaza wa kiwango cha SGR kuamini kuwa Hayati Magufuli alipanga kuwa rais wa milele

    Kuna hii propaganda ya kijinga sana imekuwa ikirudiwa rudiwa mara kwa mara na viongozi wa Chadema akina Mbowe, Lisu na Godbless kuwa rais wa 5 wa nchi yetu hayati Magufuli eti alikuwa anajiandaa na kuweka mazingira sawa ili aweze kung'ang'ania madaraka na kuwa rais wa milele!. Uzuri wa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano gani kati ya kiwango cha elimu na kiwango cha mafanikio kwenye maisha? Mafanikio ni nini?

    Sasa nianze kwa kutanguliza Hongera kwa wote ambao hamkukwepa umande lakini poleni ambao mlikwepa umande kwasababu zenye mashiko kama Ada, magonjwa na kufiwa na Wategemezi hali iliyopelekea kuanza kutafuta hela mapema. Lakini ifike mahala wasiosoma mtuheshimu ambao hatukukwepa umande...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Thabit Zaka za Kazi: Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango na nawadharau hata Mashabiki wao Wanaomumini

    "Nadhani Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango. Anasema Mchezaji wao Dube huwa akitaka Kufunga Goli anapunguziwa mwanga wa Taa na Wafanyakazi wa Uwanja wa Azam Complex ila mbona hatujasikia lawama za Makipa wa Timu pinzani wakilalamika kuwa na Wao Dube akitaka tu Kuwafunga nao...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dhamira ya Serikali ni Kujenga Barabara ya Ndala - Mwawaza kwa Kiwango cha Lami

    DHAMIRA YA SERIKALI NI KUJENGA BARABARA YA NDALA - MWAWAZA KWA KIWANGO CHA LAMI "Barabara inayotoka Ndala kwenda Mwawaza Manispaa ya Shinyanga palipo na Hospitali ya Rufaa ipo kwenye Ilani ya CCM 2020-2025 lakini Makamu wa Rais alikuja Shinyanga akatoa ahadi. Ni lini Serikali itaanza ujenzi wa...
  11. DLc

    JamiiForums Tanzania FIBROIDS (uvimbe kwenye kizazi)

    Epuka kutumia mitishamba yenye athari kali bila ushauri wa kitaalamu. Tumia kwa kiwango kilichopendekezwa, kwani matumizi kupita kiasi yanaweza kusababisha madhara mengine. Hakikisha kupata ushauri wa daktari kwa sababu baadhi ya mitishamba inaweza kuathiri dawa unazotumia au hali yako ya...
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kinatakiwa kuwa kiwango cha chini kabisa cha imani ya mtu ambaye bado anaingia nyumba za Ibada

    Kutoogopa au kuzungumzia mapepo, wachawi, majini kwa aina zake. Cha ajabu, mapambano dhidi ya haya madubwana ndio imegeuzwa kuwa kigezo cha ubora wa imani. Kama wasiamini Mungu (atheists) kwa aina zao wanaonyesha ujasiri wa kuyapuuza na hata kutoyazungumzia au kuyapa promo wanaomcha Mungu na...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wachezaji wa Yanga walioshuka kiwango 2024

    1 Aziz Ki 2.Dube 3.Mzize 4.... Endelezeni.......
  14. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiwango cha juu cha ELIMU ya Gachagua?

    Mwenye kufahamu kiwango cha juu cha ELIMU ya aliyekua Naibu Rais Kenya Rigathi Gachagua tafadhali. Ukimsikiliza matamshi yake Kuna kitu utang'amua
  15. mchemsho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan VP Impeachment in Senate. Kenya is a million miles away in Democrat Practice. Tanzania inahitaji miaka 1000 kufikia kiwango hichi

    Transparency amongst senators showing clearly their position. Hakuna UNAFIKI wala kuonyesha eti kulamba uchafu wa aliyeko madarakani. Nimeipenda kwa kweli. Nasubiri kwa hamu upigaji kura. Nadhani ni HAKIKA TANZANIA INAHITAJI katiba MPYA ili kuondoa UCHAWA na kuweka COMPITENCE , INTEGRITY and...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha juu cha ELIMU ya Zembwela

    Mwenye kufahamu kiwango cha juu cha ELIMU ya huyu mtangazaji/ Msanii Nguli tafadhali
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa vita ya Middle East mnanishangaza sana!

    Ni suala la ajabu sana kwa mtanzania anayeishi Tanzania na HALI hii ya maishà, eti naye anafanya propaganda ya vita vya mashariki ya kati. Kama kweli una akili si ufanye propaganda ya kuondoka umasikini unao kukabili. Ukiona habari hata hujaihakikisha unawahi kupost, wakati huu wa vita...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Mbwana Samatta karejeshwa Taifa Stars kwa Shinikizo, Uwoga, Unafiki au kwa sasa Kiwango chake Kimeimarika huko aliko?

    Manake nakumbuka pia Baba yake Mwanae alipoachwa alifura kweli kweli utadhani Tanzania Mchezaji ni Mwanae tu.
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Je, Yanga ameshuka Kiwango na kutafuta visingizio au ndio Propaganda za soka la Tanzania?

    Wataalam wa Sayansi ya mpira tujadiliane kidogo kuhusu hili linaloendelea mitandaoni Tangu mechi ya kwanza ya Ligi Kuu, Yanga akiwa ugenini dhidi ya Kagera Sugar licha ya kushinda bao 2-0 bado kulizuka mijadala kuhusu kiwango chao, hata mechi zilizofuata (na CEB 1-0, Ken Gold 1-0 zote ugenini)...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Wale ambao hamkuachana na Ma Ex wenu ila wameolewa, mahusiano yanaendelea kwa level kipi?

    Mmeachana / kupeana distance Mmeshusha mahusiano yawe urafiki Mapenzi yanaendelea imya kimya
Back
Top Bottom