Sababu 5 za kupungua kiwango cha mbegu za kiume!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411
Kiwango cha mbegu za uzazi za kiume wakati wa tendo la ndoa la kujamiiana kimeshuka kwa 51% katika kipindi cha karibu miaka 50 iliyopita.

1. Uzito mkubwa wa mwili.
Mtu mwenye kitambi na uzito mkubwa huwa na mafuta zaidi kati uume, korodani na mirija ya mbegu na kuadhiri utengenezaji wa mbegu.

2. Matumizi ya pombe na dawa za klevya.
Unywaji pombe wa kupindukia , shisha, sigara za umeme, bangi, mirungi, kokaine, na dawa zingine za anabolic steroid zote huathiri viungo vya uzazi na mwanaume.

3. Magonjwa ya zinaa.
Kuambukizwa majonjwa kama Klamidia na kisonono, majeraha katika mirija ya uzazi huathiri shahawa.

4. Kompyuta kwenye mapaja.

Mbegu za kiume hupaswa kuwa na hali ya hewa ya ubaridi ya 1-2*C kwakuwa betri ya kifaa hicho hupata joto.

5. Vyakula vya wanga visivyo na virutubishi kama chips kavu.
 
Za kwangu zinaruka kwa kasi sana km mkojo wa mtoto mchanga alafu nzito nzito km uji wa magimbi
 
Ongezea mlo duni watu hawali mlo kamili wanakulakula tu chipsifunga wanaenda kufanya yao Mbegu haziwi Bora zinakua Bora Mbegu
 
Za kwangu zinaruka kwa kasi sana km mkojo wa mtoto mchanga alafu nzito nzito km uji wa magimbi
umefika miaka 30, ushawahi kuona bomba la maji pana linarusha maji mbali?

Kadri mpira wa maji unavyokuwa mpana ndivyo maji yanavyomwagikia karibu.
 
Back
Top Bottom