Nick J Vuitton
Member
- Oct 6, 2016
- 56
- 152
Wakuu habari zenu mimi sio mwandishi mzuri sana ila nitajitaidi kidogo kuandika kwa ufupi ili niweze ku share nanyi jambo lililonikumba mwaka jana 2020.
Katika haya maisha kuna mambo tunapitia yanatuachia makovu,na hayatuachi salama baadhi yetu,mwaka jana 2020-2021 mwanzoni nilipitia anguko kubwa sana kimaisha.
Picha linaanza covid pandemic ilivyoingia kipindi kile nilikua nina mipango kibao kuikuza biashara yangu na mambo yalienda vizuri sana mwanzoni January 2020 mpaka march mambo yalivurugika vibaya sana niliyumba jumla yani mwez wa tisa nikafunga biashara kuogopa kupoteza mtaji wife akarudi kwao mm nikasepa nikaingia mkoani shamba (ukiondoa ujasiriamali chuo nilisoma kilimo) na nina uzoefu huko wazee wangu wakulima wayback.
Basi bhana nikaingia nikalima pilipili hoho by January 2021 nilipigika mbaya kabisa ilibidi niingie front mm mwenyewe hakuna kibarua nashukuru mzee wangu ana mashamba na visima na mashine za umwagiliaji alinipa sapport sana nilipiga kazi miezi mitatu ya machungu sana nilisemwa vibaya ndugu kejeli kibao me sikujali nilikua kila siku naamkia shamba siku nzima, Mungu ni mwema mwezi wa nne hoho ilikua juu sana roba 130000/= na mvua hazikunyesha sana mwaka huu 2021 nilikua nina uwezo wa kuchuma roba kumi na saba kila baada ya siku kumi yaani kila itaendelea wakuu nikipata muda