Nataka kuagiza kitu kwa kutumia forwarding company

MC44

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
2,170
3,269
Kuna bidhaa nataka kununua aliexp ila naona fedex ndo wapo na wana bei Mkasi. Nawezaje kuwatumia kama hawa silent ocean au kampuni kama hizo?
 
Tumia Aliexpress Standard Shipping
au
Singapore Post
Endapo bidhaa unayoihitaji ina option ya shipping forward moja tu, usichoke endelea kutafuta nyingine zenye option nyingi.
 
Nenda Instagram page ya silent ocean kuna address ya ofisi zao huko china, then mpe supplier wako hiyo address ya silent ocean mzigo wako utapelekwa hapo halafu mambo yote ya gharama za usafiri utamalizana na silent ocean.Kwa maelezo mazuri wapigie silent ocean watakuelekeza.
 
Kuna bidhaa nataka kununua aliexp ila naona fedex ndo wapo na wana bei Mkasi. Nawezaje kuwatumia kama hawa silent ocean au kampuni kama hizo?
Kwa ninavyofahamu Aliexpress hawaship China hivyo haitawezekana.

Alternative tafuta shiping forward ya Hong Kong, unatuma Toka China hadi Hong Kong then pale Ndio unaletwa huku.
 
Kwa ninavyofahamu Aliexpress hawaship China hivyo haitawezekana.

Alternative tafuta shiping forward ya Hong Kong, unatuma Toka China hadi Hong Kong then pale Ndio unaletwa huku.
Asante niliwapata unique air... seller kasema atawatumia
 
Back
Top Bottom