kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Kitu chochote ili kiwe bora kinahitaji kitu hiki

    Kivyovyote vile kwenye kila jambo ambalo unalifanya kumbuka huwezi kuwa bora zaidi ya wengine, ila unaweza kuwa na nidhamu zaidi ya wengine wote kwenye kila jambo fulani unalolifanya. Kila kitu kinahitaji nidhamu ya hali ya juu katika kutekeleza jambo fulani. Huwezi kusema unataka kufanikiwa...
  2. Hata kama hujazoea hiki kitu katika mahusiano, chukua hatua bado mapema sana

    Kwa mara ya kwanza unapoingia kwenye mahusiano na mtu, unakuwa hujisikii huru sana kuwa naye, lakini baada ya muda una mzoea mtu huyo na kuanza kuona kila kitu kipo sawa kwako. Kwa mara ya kwanza unapoingia kwenye biashara, unakuwa pia hauko huru sana na biashara hiyo, lakini inafika muda...
  3. Soma kisa hiki cha utapeli, ujifunze kitu

    Aisee Kuna kisa kimoja Cha utapeli nikikumbuka huwa nacheka sana, japo sio changu kilimtokea mshkaji wangu mmoja. Jamaa anadai walikuwa na kijiwe Chao wanakutana washkaji wengi tu, kulikuwa na pool table na vile vimashine vya kubet, anadai kijiwe kilikuwa na vijana wengi matozi tu na smart...
  4. Moja ya kitu ambacho siwezi thubutu kukifanya ni Kumnunulia Mwanamke Chupi

    Ukihitaji salamu nenda kwa waswahili wenzio,kwangu utaambulia chuya tu!. Kuna mambo mawili ambayo siwezi katakata na sitothubutu kuyafanya kwa kiumbe anayeitwa "MWANAMKE" Mambo hayo ni :- 1.KUMSOMESHA 2.KUMNUNULIA NGUO YA NDANI (Waswahili huita "CHUPI") Mambo mengine yote naweza kuyafanya...
  5. Ukija Duniani kama ulivyokuta watu wamepambana kuleta mambo mazuri na wewe kabla haujafa tafuta kitu Cha kuoachaia Dunia Kama zawadi

    Waafrica we are too selfish just imagine unazaliwa Hadi unakufa bila kuacha Jambo lolote la maana hapa Duniani . MTU Kama Mama Teresa Hawa watu wamekufa ni Muda mrefu lakini majina Yao yanaishi kama wapo hai. Tupambane tuwaze Sana kitu Cha kuiachia hii Dunia Mtu Kama Robert Heriel Mtibeli na...
  6. Hapa Kuna Siri gani kuhusu ukiwa na hela unapoteza shauku ya Kupata kitu mfano swala la kuoa Mtu ukipata hela unalisahau kama huwa lipo.?

    Nilichogundua Binadamu huwa anakuaga na mipango Mingi akiwa Hana hela. Mfano back the days Mimi na classmates zangu tuliwahi kupanga Mambo ya kuoa nk but now hao classmates wapo Sehemu nzuri wengine katika Taasisi kubwa na wengine wafanyabiashara so Hakuna hata mmoja kaoa na hawataki kusikia...
  7. Kuna wadada wakija ghetto wanachukua kitu chochote cha kwenda kuturogea. Nimefunga camera wameanza kuumbuka vibaya kabla hawajaondoka najisanua

    Wasalaam, Nawakumbusha tena camera ambazo ni ngumu mtu kujua zimejaa tele , kuondokana na hii vita ya wadada ama wanawake kuwa na mpango wa kuturogea kimapenzi. Mimi najisanua kila mara nawaumbua, mpaka sasa wengi wanashangaa maana hakuna dalili za kuona camera popote pale, kamanda nimefunga...
  8. Kua uyaone, weka mkasa wako hapa ulipogundua pesa si kila kitu

    Yes, Pesa sio kila kitu, ni mpaka ikosekane kabisa ndio kila kitu ila ukiwa nayo hata kiasi sio kila kitu. Najua kuna msemo siku hizi kila mara "Tafuta Pesa" ila ukichunguza ni athari za watu walioishi katika umaskini tangu wadogo hivyo kisaikolojia wanaamini pesa ni kila kitu, siwezi kuwalaumu...
  9. Kama sio Maaskofu wa Kanisa Katoliki, Watanzania tulikuwa tunapigwa na kitu kizito sana na DP World

    Ndugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW. Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo...
  10. Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

    Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k. Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k. Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba...
  11. D

    Wahariri wa magazeti wapigwa na kitu kizito vichwani kuhusu DP World

    Ndugu zangu, Sasa ni dhahiri kuwa sakata la 'Port Selling" inachukua mkondo mpya. Kauli ya kibabe na kiburi ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu ubavu na misuli imeanza kutafsiriwa na "ofisi nyeti" kwa vitendo. Kutoka kuwa mjadala Sasa sakata hili linaanza kuelekezwa kwenye mkono wa chuma. Ni...
  12. Thamani ya kitu hutengenezwa katika akili ya mtu. Unaweza kumfanyia mtu mambo makubwa lakini akaona hayana thamani kwake

    Katika MAISHA thamani ya kitu inatengenezwa katika Akili ya mtu. Hivyo kabla ujamfanyia MTU Jambo lolote hakikisha analipa thamani katika Akili Yake . Mfano Kuna watu wanahitaji tu MUDA wako na sio Jambo lolote ila pia Kuna wengine wanahitaji pesa zako hivyo inahitaji utulivu wa kifikra kujua...
  13. Ukimya wa mstaafu Kikwete tulidhani ni busara kumbe hamna kitu

    Aisee mzee wetu katia aibu kubwa sana. Alichoongea hakina uhalisia wowote kwa sababu wanasiasa hawa hawa wanategemea sana kufanikisha mambo yao kupitia dini. Yaani Edo Kumwembe amechambua vizuri sana sijajua nani alimwandalia ile hotuba huyu mzee kule Mara. ====== Edo Kumwembe: Wakati...
  14. Mwanaume mwenzangu, mara ya mwisho kula hii kitu ilikuwa lini?

    Wanaume tumekuwa tukiangaika sana juu ya kufanya vizuri tuwapo kwenye tendo, wapo wanaotumia sijui mkongo, vidonge, energy drinks nakadhalika ili kuwa na pafomansi nzuri kwenye tendo. Hivyo vyote hapo juu vina madhara kiafya tena vinakumaliza kabisa maana kuna kipindi usipovitumia hivyo huwezi...
  15. Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi

    " Nimekupa kila kitu na bado umeniacha?" Alisikika dada mmoja akilalamika Kwa mashemeji JE wanaume?! Sentensi hii ukiiskia, huyu aliepewa kila kitu unamwelewa kweli? Kwani wanaume hii sentensi ina maana gani ukiskia mwanamke analalamika hivi? NYUZI ZANGU ZINGINE 1. Hii ndiyo sababu ya nguvu...
  16. Ifike mahala mji mpya wa Dar ujengwe nje ya Dar na sio kulazimisha kila kitu kufanyia kwenye hii Dar ya sasa

    Wakuu leo nikiwa natafakari upuuzi unaofanywa na TEC nikajikuta nakumbuka ujinga mwingine unaofanywa na wanaoitwa wataalamu wetu. Hii ni kulazimisha kila jambo la maendeleo kufanyia ndani ya jiji la dar hali inayopelekea kuwa na bomoa bomoa nyingi zinazoleta uharibifu mkubwa wa mazingira. Kuna...
  17. Anapata wapi Nguvu ya kuandaa 'Wiki ya Iliyomshinda Nchi" kwao Paje Kizimkazi, wakati TEC wamempiga na Kitu Kizito Jana?

    Sijui safari hii Mganga wangu wa tokea 2016 kakosea wapi kwani mwaka 2021 nilipendwa kweli kweli ila hivi sasa Nachukiwa hadi nawaza au Mganga wangu kwa bahati mbaya au kwa Makusudi alinibadilishia Dozi ndiyo maana Nyota haingai tena hata nikiwaonyesha Upendo wote na Kuwarembulia juu?
  18. Ukiona watu wanalazimisha sana salaamu kutoka kwako ujue tayari umewazidi kitu

    Salaamu ndio desturi hasa katika jamii zetu hapa Tanzania, lakini kuna baadhi ya mikoa ambayo kuna wimbi kubwa la jamii ya watu Ambao hawaja staarabika. Mfano mkoa wa Geita ni kawaida sana kumpa mtu Salaamu na akakataa kabisa kuitikia tofauti na mikoa ya pwani kama Tanga na kwingineko. Mikoa...
  19. Miradi ya Marekani ni sawa na kuhonga vigogo hakuna kitu kusaidia maendeleo

    Nimekaa hapa naona TBC marekani eti wametoa bilioni 70 mradi wa mazingira kuhifadhi chimpanzee wa Gombe. Namuona yule mama mzungu wa chimpanzee. Eti ndio msaada wa Marekani. Tena balozi kasema wazi misaada yao ni kusaidia maslahi ya Marekani. Kama kawaida ya misaada ya wamarekani hela...
  20. Wale wawekezaji wa MTFE wapigwa na kitu kizito hela hazitoki

    Maisha ni magumu ndio lakini sio kinachokuja kwako ni chakula, kwanini watu hawajifunzi any way endeleeni kutapeliwa tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…