Kitu (Persian: كيتو, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.
Kwema hapo wakuu, nimekaa nje ya JF toka waifungei Sasa natafakari tangazo la kuifungia JF Kuna statement moja inasema hatutapatikana ndani ya Tz kwa muda wa siku tisini.
Wazo likaja kumbe nikiwa Malawi naweza ipata JF, kwa Sasa nipo Malawi waku na wasalimu.
WEKA EXPERIENCE YAKO YA JINSI KITU ULICHOTAMANI KUKIFANYA KILIVYOKUTIBUA SIKU ULIPOKIJARIBU, HUJI KURUDIA
Kuna vitu unaweza kutamani kuvijaribu lakini vinakukataa kabisa. Mfano ni vilevi, baadhi vinakubali lakini vingine vinakataa kabisa, huna budi kuviacha.
Experience yangu hii hapa
Kwa muda...
Hii serikali awamu 6 ambayo inafanya kila kitu. Mpaka Prof Kabudi anasema Mama anafanya yale ambayo Nyerere alitamani kuyafanya Mama anajaza mikutano yake.
Leo hii wanaogopa wakosoaji wa JF tena wanatumia I'd fake na kupelekea kuifungia uoga wote wa nini na tunafanya vizuri kila sehemu?
Habari wanabodi
Binafsi nimeleta uzi huu kwa kuamini kabisa kama binadamu kuna wakati tunakosea na kuna wakati tunakosewa vilevile. katika kukosea na kukosewa kuna ile hali mtu kureact/kukasilika pengine ulionesha hadharani ama hukuonesha. Hapa nazungumzia ile hali ya kutokuonyesha lakin moyoni...
Nimeangalia clip moja ya kichekesho, bwana mmoja kaja na briefcase ina mahela kamkuta jamaa na mke wake. Kaanza kutoa mabulungutu ya hela akampa jamaa ili ammwachei mke wake. Jamaa akagoma lakini kadri mabulungutu yalivyoongezwa ndivyo jamaa akalegea na kuyachaukua mabulungutu hayo then...
Huu nao ni URAIBU mbaya sana
Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda...
Kama unajipenda anza zoezi la kuacha..
SODA ZOTE NA ENERGY DRINKS HUSABABISHA
1. Shambulio la moyo
2 uraibu
3.kichwa kuuma mara kwa mara.
4.Kisukari type 2
5. Uharibifu wa figo.
6.kipandauso (Migraine)
7...
Akizungumza leo kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa alisema:
"Nataka niseme kwamba serikali inajua kila kitu kinachoendelea na tunaweza kupata taarifa na tunaweza kumfikia mtu yoyote...
Hata kama uko busy sana jitahidi kusalimia majirani zako na sio kuwapita kama huwajui
Siku ukiugua ghafla na huwezi kushika simu kupigia ndugu ndio utajua umuhimu wa kuishi na majirani vizuri.
Note: Maisha ni yako sawa ila matanga ni yetu.
watanzania wengi wapo brainwashed kutetea biashara ndio njia pekee ya kutoboa na mifano lazima iwe ile ya kina MO na Bakhresa,
Ni kweli biashara ndio sekta inayotajirisha zaidi lakini haimaanishi watu wenye ajira wana maisha mabaya.
kuna waajiriwa wengi wana maisha mazuri ya uhakika kuzidi...
Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa?
Tunaombaushauri wako utatusaidia na sisi tunaojitafuta.
Najitajidi kufata kanuni zote za biashara na kanuni za biashara lakini hakuna hatua.
Kitu gani kinatufanya tusifanikiwe?
Hamjambo!
Moja ya mambo ambayo Wanaume tumefanikiwa kuwarubuni na kuwashawishi wanawake ni ile dhana ya kusema hatuwaelewi wanawake wanataka nini. Na hatuwajui wanawake. Ila kimsingi hiyo ni trick tuu.
Wanaume wengi tunajua wanawake wanataka nini. Na tunawaelewa vyema kabisa kuliko hata wao...
Ukiachana na SAGA za kundi mtandao na arithmetic equation ya Nida+Inec +ccm, kuna kitu polepole atakuwa anakifahamu kuhusu shambulio la TAL2017. Itoshe kusema kwamba nimemsikiliza BETWEEN THE LINES , kwa jinsi anavyogusiagusia kwa juu juu Chadema, ni kama kuna kitu kinamkaba koo kuhusu...
Wakuu salam!
Yawezekana ukawa nyumbani na kitu,vitu ambavyo huna matumizi navyo, mf godoro labda umeshanunua lingine na Kwa sasa haulitumii,kabati,tv,radio, jiko,simu,meza,sofa n.k
Lengo la kuanzisha Uzi huu ni kusaidiana wale wenye kipato Cha chini au wanaoanza maisha kujipatia vitu Kwa Bei ya...
Katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2025, vyama vya siasa 18 vimehusika katika mchakato wa uteuzi wa wagombea wa nafasi ya Rais na Makamu wa Rais. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuwa vyama hivi vimewasilisha majina ya wanachama 36 kugombea nafasi hizo .
Vyama vya Siasa...
Kuna huyu Dada anajiita Maria sarungi , je huyu anapambania kitu gani?
Anakuambia Tutaelewana.
Mimi sipandi chochote ila yeye anapambania nini maana Field hayupo zaidi ya kuweka hashtag ya #Tutaelewana.
Kwa kweli Mama mikumi tena. Dogo anasema Weekend kesho tutamtafute yeye kuanzia Biriani mpaka wale walevi Mkojo wa Shetani. Mimi allahamdulilah sinywi vitu kharamu ila najua kaka yake mjaa laana kesho atakunywa sana.
Naambiwa mapolisi walio mafunzo pia wamepewa nguo za kiraia na kuingiziwa...
Kumbuka ni ijumaa ya wiki hii na mwezi huu...
Je, Unabii Utatimia na kitu Gani kitatokea tusubiri...
https://www.instagram.com/reel/DN0iage2O2y/?igsh=MWV2YzFhcGg1NTl4dQ==
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.