VPN: Mungu awabariki wazungu kwa hii kitu

VPN: Mungu awabariki wazungu kwa hii kitu

LUKAMA

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
1,154
Reaction score
1,436
Kwema hapo wakuu, nimekaa nje ya JF toka waifungei Sasa natafakari tangazo la kuifungia JF Kuna statement moja inasema hatutapatikana ndani ya Tz kwa muda wa siku tisini.

Wazo likaja kumbe nikiwa Malawi naweza ipata JF, kwa Sasa nipo Malawi waku na wasalimu.
 
Toka ile siku waifungie nilikaa kwa shida aisee.... Leo nimewasha VPN ili niingie X kuona Martin Maranja Masese anasema nini kuhusu kesi ya Tundu Lisu, nikasema ngoja nijaribu JF, aisee sijaamini!
Nilidhani haifunguki hata kwa VPN.
 
Kwema hapo wakuu, nimekaa nje ya JF toka waifungei Sasa natafakari tangazo la kuifungia JF Kuna statement moja inasema hatutapatikana ndani ya Tz kwa muda wa siku tisini
Wazo likaja kumbe nikiwa Malawi naweza ipata JF, kwa Sasa nipo Malawi waku na wasalimu
Nchi ya Bulgaria Ina mambo sn🤣
Kiukweli nawapenda wazungu Kwa mambo mengi
 
Back
Top Bottom