kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Moja ya kitu kinachofichwa katika historia ya sisi watu weusi ni kuwa tulikuwa washirika wakubwa wa kuwauza ndugu zetu utumwani

    Najua hii ndio sifa tuliompa mtu mweupe ili kuficha asili yetu wenyewe ila ukweli ni kuwa sisi waafrika kwa kiasi kikubwa ni moja ya jamii katili na ya ovyo kuwahi kutokea katika uso wa sayari hii ya bluu.
  2. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bashe alikosea kitu gani?

    Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
  3. Wagumu Tunadumu

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu huyu Samia kanikumbusha enzi hizo ndo nimeanza kuingia barabarani na chombo cha moto na nikapata ajali

    Nakumbuka kulikuwa kuna watoto wasumbufu sana huo mtaa,kila ukiwazuia wasifanye hiki wao wanafanya yaan hata ukiwafukuza wanarudi Sasa kuna wakati walidandia gari kwa nyuma wakati na ondoka,nikawa nimepatwa hasira kutokana na kufanya jitihada kubwa sana za kuwazuia lakin hawasikii,sasa...
  4. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Ni kitu wahenga hawaamini macho yao mpaka sasa

    Ni kitu wahenga hawaamini macho yao mpaka sasa Kwa ile misemo yao waliyo itunga.
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Migahawa midogo ya Tanzania kuna shida, mtu unalazimishwa kutumia kitu usichokitaka

    Nimefika leo asubuhi mji wa madini Shinyanga nikataka supu tu wala si chochote wanakwambia supu bila chapati hawauzi. Ina maana hata ukitaka wali dagaa watakwambia dagaa ni wa ugali tu
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hiki nachosikia ndio 'Hotuba ya Kuponya majeraha na kuunganisha taifa" kutoka kwa Rais aliyotuahidi RC Chalamila?

    Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo tutafika Ni jambo la kusikitisha kuona kiburi na dharau vikichukua nafasi ya uongozi wa kusikiliza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mhubiri 3:1-8. Kila kitu kina wakati wake na huu ni Wakati wa kuanguka kwa Utawala huu.

    Hivi ndiyo muhubiri anasema "Kila kitu kina majira yake, kila jambo duniani lina wakati wake: Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa; wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna kilichopandwa; wakati wa kuua na wakati wa kuponya; wakati wa kubomoa na wakati wa kujenga; wakati wa kulia na wakati wa...
  8. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kitu ninachowakubali TEC huwa wanapiga kwenye mshono halafu kimya

    Yaani unapigwa waraka mmoja takatifu halafu wao kimya. Kimbembe ni kujifanya unajaribu kuujibu. Mimi nilishangaa sana wale jamaa wanatoka Frontline kuupinga na kuanza kuingiza mambo ya emotions kwenye maswala nyeti ya kitaifa. Uzuri ujumbe wao uliwalenga wahusika na ukawaingia haswa. Kutoka...
  9. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Sasa unaweza jifunza karibia kila kitu kuhusu Ufugaji wa Kuku ndani ya Fuga App!!

    Wafugaji wamekuwa wakituomba sehemu moja ya kujifunza mambo muhimu ya ufugaji wa kukuna hatimaye imefika! JIFUNZE ni kipengele kipya ndani ya Fuga App kinachokupa maarifa ya uhakika kuhusu: chakula, chanjo, makazi, afya, na mbinu za kuongeza faida. Ni rahisi kusoma, kuelewa, na kutumia kila...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Video: Sitaki kulala ndani kwa ajili ya watu wajinga, tukubaliane na aliye madarakani amani ndiyo kila kitu

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa ruhusa kwa magari ya abiria kuanza kutumia barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya tatu inayoanzia katikati ya jiji la Dar es Salaam kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JNIA hadi Gongo la Mboto kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika...
  11. Pah Amadu

    JamiiForums Tanzania Hawajutii na wala hawatokuja kujutia walichokifanya

    Kama huyu PM ndiye mtendaji mkuu wa shughuli za serikali basi kama tutapitia kipindi kigumu zaidi huko mbeleni. Yaani PM analinganisha mauaji ya 29th Oct na ajali ya MV Bukoba, na kuamua kuzuia misiba ya kila nyumba kwa kuzuia maiti za watu na kwenda kuzipoteza kusipojulikana ni kitendo cha...
  12. R

    JamiiForums Tanzania In science kuna kitu kinaitwa confirmatory test. BBC, CNN and the like zinaangukia katika kundi hilo

    CNN, BBC, ALJAZERA and the like ni confirmatory test for the authenticity of the news. CNN akisema basi mchezo umeisha! Rome has spoken; the cause is finished” or in Latin ” Roma locuta; causa finita est
  13. mfungwa

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa kumbuka Ukweli ni kitu gani

    Utamwelezaje MTU kwa maneno mazuri ambapo askari anampiga 'mwanamke' anayekimbia risasi. Je, huyo ni Askari aliyepitia mafunzo? Ukumbuke familia zao zipo.
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kusingizia kitu zama hizi ni kutafuta aibu za kujitakia

    AI ambayo imesingiziwa Imekataa kuhusika kutengeneza hii video na imesisitiza video hii ni HALISI. Sasa wanaoisingizia AI waje watuambie miili ya ndugu ipo wapi tunataka kuzika ndugu zetu sio nguo zao. Hili hatutaacha lipite hivi, tutapambana mpaka Haki ipatikane Credit: Hilda Newton FB
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maisha ya watu ni muhimu kuliko biashara au kitu chochote

    Habari za leo! 1. Kutafuta mtaji ni kazi ngumu sana. 2. Kuendesha biashara ikasimama ni kazi ngumu sana. Inahitaji uvuje jasho na uwe mstahimilivu. 3. Najua uchungu wa kuibiwa biashara na kuvunjiwa biashara uliyoisotea kwa miaka na miaka. 4. Kwa kujua hilo ndio maana tunawapa pole wale...
  16. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

    Kuna mjadala umeibuka kwenye mtandao wa twitter au X kuhusu tweets/posts za Abdul. Hizi ni baadhi hapa chini: kazi kweli kweli. Kwa hii tweet hapa chini: Je ni yeye tumdhaniaye?? 😆
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je! Ardhi Inapokunywa Damu ya Kutosha ni Kitu Gani kinachotokea?* 💫💫💫💫💫

    Kwanza kabisa ndugu mpendwa ni vyema ukatambua kuwa, damu imebeba uhai wa mtu. Maana Biblia inasema " Linda sana moyo wako maana humo ndimo zitokamo chemchemi za uzima". Lakini Biblia inaendelea kusema, "kuleni wanyama lakini msile damu zao, maana damu zimebeba uhai wao". Kisa cha Henoko na...
  18. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani tunapawa kufanya kama Vyombo vyetu vya maamuzi havitendi Haki Kwa Wananchi?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka Kwa Wananchi ya kwamba,Vyombo vyetu vilivyopewa dhamana ya kuwatetea wananchi Kwa Mujibu wa Katiba Sheria havifanyi hivyo,badala yake vinaendelea kulinda maslahi ya wanasiasa walioko Madarakani huku wananchi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba Ongea kitu

    Mzee wetu Warioba kimya chako sio kizuri. Ongea kitu . Kinyume chake utaishia kama ndugu yako Butiku.
  20. D

    JamiiForums Tanzania Hata kama kuna kitu angetamani kufanya, hawezi kufanya….she has no legitimacy, mbingu zimemkataa na dunia imemkataa

    Alichokifunga Mungu mwanadamu hawezi kukifungua. Huyu keshapigwa pin mazima, hawezi kufanya lolote hadi apishe hiyo ofisi. Baada ya Kaini kumwua ndugu yake Abeli, Biblia (katika Mwanzo 4:8–16) inaeleza mambo yafuatayo: Mungu alimlaani Kaini – Mungu alimwambia kwamba damu ya Abeli ilikuwa...
Back
Top Bottom