Kitu (Persian: كيتو, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.
Sikutarajia kwamba maandamano yatazungumzwa had na watoto mitaani, yani mtaani maandamano yamekua maarufu kuliko uchaguzi,
ama hakika walioanzisha hii kitu mpaka hapa wamefanikiwa sana yani.
Hili bomu hata lisipolipuka kesho ipo siku, vichwani watu washajazwa sumu sana.
Akili zenu zimepikwa kuchukia na kupenda kwa maagizo ila sio kwa utashi wenu
Chuki yenu inakataa hata historia ya kweli kuwa ardhi ile ni asili ya wayahudi na ni haki yao.
Nafsi zenu zimetapelika hata kuona unyama wa hamas ni wa kawaida kwa maana tu mna share nao itikadi.
Hello habari njema kwa wana JF wote na leo hii naandika hii thread nikiwa kama mmojawapo wa wahanga ambao nishawahi pitia hiki kitu unakuta kuna wakati mtu anakuwa na shauku kubwa ya kuanza jambo jipya au kufanya kitu kipya kama kusoma kozi, kufungua biashara ndogo, au hata kufanya mazoezi...
Nimekaa tu na kutafakari kuhusu ujumbe huu hapo chini. Waliomo serikalini wamekubaliana na hali hiyo? Wanapata nini hasa kinachowafumba kiasi hicho wasihoji wala kuchukua hatua?
Watadhalilishwa hadi lini? Wameshakufa au kufwa wa kutosha. Wanaona na kujua. Wana mkakati ambao hatuujui au tuwaite...
Angalia upendo wa Raia wote (naweza kusema hivyo, wote) wanaouonesha kwa Raila!
Nadhani una kitu cha kujifunza na pia kwa watanzania wote.
TENDA HAKI, HAKI, HAKI utapendwa na kuombewa na wenye heri ya Mungu ndani yao na kila mmoja!
Rais wangu historia yako umeiandikaje mpaka sasa?
Ni kifaa Gani ambacho unaamini kikipita kwa fundi kinakuwa kimeshuka ufanisi?
Watanzania wengi wanaamini kitu kikishafunguliwa tu basi kinakuwa sio Bora je ni wapo sahihi?
ASALAAM ALEYKHUM WADAU,
Aisee bana kuna Askari aitwaye Omari Mnandi, aliyekuwa ameingia katika gari binafsi la Mtu aliyekuwa akijivinjari maeneo ya Picnic, alijisahau akajiachia kama yupo kwenye gari lake mpaka kusinzia...(Nafikiri walikuwa katika Doria ya usalama) kilichotokea alipigwa na kitu...
Mwaka 2014, rapa Gucci Mane alimkabidhi mpenzi wake, Keyshia Ka’oir, dola milioni 2 ambazo ni sawa na (Tsh. Bilioni 5) za mwisho kabla ya kuelekea gerezani.
Badala ya kutumia fedha hizo, Keyshia alizigeuza kuwa mtaji, akizalisha biashara na uwekezaji uliomrudishia dola milioni 6 ambazo ni sawa...
Ushauri wangu jamani Mwenyezi Mungu anapotupa nafasi ya Kuzikamata basi tuwe na Nidhamu ya Kuzitumia lakini Kubwa tujikite mno katika Kuwekeza ili tusije Kuumbuka baadae / mbeleni kama aliyewahi kuwa Mchezaji nyota / mahiri wa Yanga SC Jesus Kololo.
Ila Moloko nawe leo ngoja Nikuchane kwani...
Wadau mi ni mtu mzima wa miaka 29,
Kuna binti nilikuwa na mahusiano nae mpaka tukaanza kuishi pamoja.
Kabla ya kuishi pamoja nilimpa ujauzito kwao wakaja kujua, binti alifokewa na kwao walimkataa asiende baada ya kumaliza chuo, Nilimhudumia ujauzito Lakini Mungu akasaidia kwao wakarudisha moyo...
Haya maneno mazito sana na ya kufikirisha. Ina maana Korea, Irani, Russia hawazioni kama ni Mataifa ya hatari kwao hawa Wachina? Huyu Benjamini ana jiamini nini mpaka kutaka tunishiana misuli na China?
Ajue China siyo Iran au Syria au Yemen. Anyway. Nachomkubali Netanyau ni kujiamini kwake na...
Hello habari! mimi sio mwanasiasa na silipwi na kikundi cha mtu au watu kwa njia yoyote nipo hapa kutoa ujumbe wa nyota siku ya Tar 29/10/2025. Mjumbe hauwawi!!
Nimetazama nyota zitakavyokuwa tarehe husika 29/10/2025 kuhusiana na suala la Uchaguzi pamoja na harufu ya maandamano na vurugu...
Fundi Maiko anakuhakikishia kabisa utapata kitu na box kama picha inavyoonyesha. Kwakua likizo yako ni ya wiki tatu, wiki ya kwanza ulimtafuta fundi, wiki ya pili mlishughulika na kibali cha ujenzi pamoja na kuna vifaa. Wiki ya tatu mchumba msingi na unapata jamvi limemwagwa.
Unatuma pesa...
Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
Generation Z (Zoomers/ Gen Z) ni kundi la watu ambao wamekulia katika mazingira tofauti kidogo na Generations zingine za nyuma yao (Generation Y kurudi nyuma)
Kwa asiye jua, Generation Z ni kundi la vijana waliozaliwa kati ya 1997 hadi 2012.
Gen Z ndilo kundi kubwa la watu waliokulia katika...
Kwema hapo wakuu, nimekaa nje ya JF toka waifungei Sasa natafakari tangazo la kuifungia JF Kuna statement moja inasema hatutapatikana ndani ya Tz kwa muda wa siku tisini.
Wazo likaja kumbe nikiwa Malawi naweza ipata JF, kwa Sasa nipo Malawi waku na wasalimu.
WEKA EXPERIENCE YAKO YA JINSI KITU ULICHOTAMANI KUKIFANYA KILIVYOKUTIBUA SIKU ULIPOKIJARIBU, HUJI KURUDIA
Kuna vitu unaweza kutamani kuvijaribu lakini vinakukataa kabisa. Mfano ni vilevi, baadhi vinakubali lakini vingine vinakataa kabisa, huna budi kuviacha.
Experience yangu hii hapa
Kwa muda...
Hii serikali awamu 6 ambayo inafanya kila kitu. Mpaka Prof Kabudi anasema Mama anafanya yale ambayo Nyerere alitamani kuyafanya Mama anajaza mikutano yake.
Leo hii wanaogopa wakosoaji wa JF tena wanatumia I'd fake na kupelekea kuifungia uoga wote wa nini na tunafanya vizuri kila sehemu?
Habari wanabodi
Binafsi nimeleta uzi huu kwa kuamini kabisa kama binadamu kuna wakati tunakosea na kuna wakati tunakosewa vilevile. katika kukosea na kukosewa kuna ile hali mtu kureact/kukasilika pengine ulionesha hadharani ama hukuonesha. Hapa nazungumzia ile hali ya kutokuonyesha lakin moyoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.