Kitu (Persian: كيتو, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.
Ukiongea na wazee wengi, especially wale ambao hawako vizuri kiuchumi, utakuta kuna baadhi ya vitu vinafanana kwenye past experiences zao.
Wengi walipata "bahati" sio ya kuwa matajiri, ila bahati ya kushika pesa nzuri kwenye ujana wao.
Ila baada ya muda, pesa zikawakimbia. This is not a...
Nimepitia mitandao yote sijaona ripoti yake kuhusu Polepole kujiuzulu..
Kama ni kweli, kwanini ?
I STAND TO BE CORRECTED AND APOLYGIES IN ADVANCE IF I AM WRONG/MISTAKEN
Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam.
Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA.
Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili abaki madarakani, what a shame and nightmare in our history, Only to realize kwamba ndani ya nchi na...
Kufuatia balozi Polepole kujiudhulu na kwenye barua yake mwishoni kasema yeye atabakikuwa mwanchama mtiifu wa CCM huu ni mtego amewapa.
Yaani Polepole ninaemjua atatoa kauli moja ya kuchafua hali ya hewa ili wamvue uana hama hapo ndio atawavua nguo mwanzo mwisho.
Mpaka sasa kashajipanga...
Kwanza ifahamike sielewi amefanya nini na anatupeleka wapi, mi naona anatupeleka kwenye kumfunga kila anayempinga namna anavyoendesha nchi yetu!
Itakuwa furaha kuu siku moja mgombea wa ccm kuanguka na kushindwa vibaya
Natamani mgombea wa CCM ashindwe na atengwe na kila mtu ili abakie peke...
Kila jambo katika maisha ya mtu kwa kujua au kutokujua hupata nafasi katika maisha ya mtu kutokana na uchaguzi wa mtu huyo.
Maisha yako ni jumla ya matokeo ya uchaguzi wako.
Linda sana nguvu yako ya kufanya uchaguzi, hayupo anayependa uchague unachotaka.
Taratibu tu mada itaeleweka.
Nawasilisha
Kama shughuli au jambo lako la happy birthday kwa mwaka huu bado halijapita naomba nigharamie shughuli nzima, kuanzia ukumbi au kama utaka kwenda beach, vinywaji hata kama unataka kufunga rusha roho au kigoma mm nipo tayari kugharamia.
Nisiengee sana wasije sema Sina Hela watu wa...
Kuna jitihada kubwa sana za kujaribu kutukuza na kusifia kila kitu kilichofanyika nchini na kwa bahati mbaya inaonekana kuna wasifiaji wengine ukimuangalia sura yake unajua kabisa kuwa amesamehe akili yake ili asifiwe kwa maslahi binafsi.
Niwaambie ukweli sioni chochote cha kusifia kwa sababu...
Wakuu, naona watu wanachanganya mafaili kidogo kuhusu haya masuala mawili ya kingono. Yaani Uasherati na Uzinzi. Uasherati ni nini na uzinzi ni nini?
Uasherati ni kitendo cha kufanya ngono au kujamiiana kwa hiari na mtu ambae sio mkeo na wala sio mumeo yaan hamjaoana na hii inaingiza uzinzi...
Mimi nina mambo ya kuwaambia watu lakini hawaelewi hawaeleweki yaan hata ukiwaambia dini au misimamo yao ya kisiasa au kwa kuwa wana elimu ndio atakuona poyoyo
Nikisema jamaan watu tujiandae kuna janga kubwa sana duniani linakuja nan atakuelewa si atajua watu wapo busy hakuna wa kumlaumu...
Hili swala mke wangu lazima atambue...
Siku nikiwa naumwa sana hadi hali yangu ya kula Chakula ikabadilika kabisa nikawa nakula kidogo, maumivu kama yote, sijui natapika sina hamu ya kula...
Nakuomba mke kipenzi siku hiyo usiache kunipa Mbususu, fanya kila namna nikila kidogo kuniongezea hamu...
Nashauri wanaokaa single tuanze kuwanyanyapaa hadi wawe double..
kuwa single sio kitu kizuri hata kidogo, leo asubuh nipo dukani kwa shirima kuna mwamba kavaa Pensi nyepesi kaja dukani mkuyenge umevimbia kwenye Pensi, akasimama, sasa kuna bidada alikua anahudumiwa dukani akawa wa kwanza...
Wakuu mpo!
Ni matumaini yangu mnatizama kombe la dunia la vilabu kwa umakini licha ya vilabu kutoka afrika kutupwa nje hatua ya makundi
Katika hii michuano nimeona baadhi ya makipa wazuri wanafanana tabia
Kipa wa Juventus, kipa wa real Madrid, kipa wa Al hilal na kipa wa Botafogo Fc anaitwa...
Siku kazaa hapo nyuma nimeingia nhif kupitia huduma yao ya online selfservice baada ya kufata hatua za mwanzo zote ikafika sehemu ya kuverify namba ya nida nimeijaza majibu napewq ishatumia katika Account type STUDENT napiga simu wanibadilishie iwe employee kazi yao kunipangia muda tu mara...
Samahani waungwana mimi ni dereva bolt nipo Mwanza lkn ninasiku km 30 sijaingi mzigo kwani document yangu moja ya Latra sina. Kwahiyo account imefungwa.
Nilitamani kupata uzoefu kidogo kwa ambae amewahi kulipia na akapata latra anisaidie namna wanavyoipata ili hatimae niingie mzigoni maana...
Ni muda Sasa kila mtu anaonyesha hisia tofauti tofauti juu ya mke wa mdude na familia yake kwa ujumla !! Pamoja na yote yanayoendelea Bado familia ya huyu kamanda inamahitaji muhimu sana ! Huenda Kuna watoto wanasoma ama huenda Kuna mahitaji ya kifamilia ,badala ya kuendelea kumuonea huruma ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.