kitanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. President of China

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kitanzania wenye thamani kubwa.

    Katika kwenye transfer website wafuatao ni wachezaji wa kitanzania Africa wenye bei kubwa.
  2. KHM 1995

    JamiiForums Tanzania Udhaifu na unafiki wa siasa za Tanzania

    Siasa, Dini, harakati za maisha, ni vigumu sana kuvitenganisha. Siasa na dini, hivi ni vitu viwili tofauti lakini viko katika package moja, ni ukweluliomc mchungu siasa na dini zikitumika vibaya mpasuko mkubwa wa kitaifa utatokea, naomba niachane na hapa, naomba nizungumzie mienendo ya Siasa ya...
  3. I

    JamiiForums Tanzania NIMEGUNDUA: Mtoto wa Kitanzania hawezi akanyooka kimaadili kwa kumuhutubia tu kwa maneno

    Nina watoto wangu wawili mmoja ana umri miaka 17 mwengine miaka 15. Watoto hawa nimekua nikitumia nguvu nyingi sana kuzungumza nao, kuwa karibu nao na kuwaelekeza katika maadili sahihi na tabia njema za maisha bila mafanikio yeyote. Wananisikiliza kwa makini lakini baada ya hapo ni kama vile...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna Comedians bali tuna waropokaji tu. Comedians wa Kitanzania humwelewi kama hujui lugha anayotumia jukwaani

    Kwa hakika siwezi kupoteza muda wangu au data kumtazama mchekeshaji wa Kibongo. Hawa wachekeshaji wetu mimi ninawaita waropokaji. Comedy ya wenzetu wengi utacheka na kufurahi hata usipoielewa lugha wanayoitumia jukwaani. 1. Comedy ya Kibongo imekosa ubunifu. 2. Wanadhani mpaka leo mavazi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Zuku yamwaga ajira kwa vijana wa Kitanzania

    Wakuu Kazi hizo. Sharing is caring.
  6. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Washambuliaji wa kitanzania wanapaswa kujifunza kwa Mayele

    kuna wakati ukweli unatakiwa kusemwa wala haijalishi utauma vipi. Mshambuliaji wa yanga Fiston Kalala Mayele ni high class, haina budi washambuliaji wengine kujifunza hasa yule kijana Bob Marley kutoka simba.. Kupitia mechi ya leo yanga vs Mbeya Kwanza, unaona namna Mayele anavyokuwa hatari...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la marefa wa Kitanzania lilishatengenezwa muda mrefu na TFF awawezi kulikwepa

    Nimeona mapovu mengi sana yakiwatoka mashabiki na wadau wengine juu ya penalty aliyopewa Yanga dhidi ya Namungo, Ni ajabu sana kuitolea macho penalty ya jana wakati matukio kama ayo yanatokea Sana na watu wanakaa kimya kwakuwa tiyali anaefaidika anakuwa keshavuna point zake. Matukio kama haya...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Weledi wa kitanzania.

    Taja vitu au mambo ambayo unadhani ni weledi wa kitanzania pekee.
  9. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Siasa za mishahara minono kwenye taasisi za Serikali zinavyoharibu ndoto za vijana wengi wa Kitanzania

    Wanabodi, vijana badala ya kufikiria maarifa ili waweze kuendeleza wapatacho wao wanawaza mishahara minono kwenye taasisi za kiserikali ambazo Kiuhalisia mishahara hiyo minono haipo kwa vijana wanaoanza kazi. Maneno ya wanasiasa majukwaani kutamka mishahara ya wakurugenzi(Directors) wa...
  10. Jebel

    JamiiForums Tanzania Hii ndo namna pekee ya kuwasaidia vijana wa Kitanzania. Soma utakuja kunishukuru

    Habarini Waungwana! Natumaini Mungu anaendelea kumjalia kila mmoja wetu kadiri ya mapenzi yake. Utangulizi Kwanza naomba nianze kwa kusema kwamba vijana wengi wa KiTanzania ni wachakarikaji, wapambanaji, wapiganaji tofauti na vijana katika nchi nyingi sana ambazo nimewahi kutembelea au kufika...
  11. Gnyaisa

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana wa Kitanzania ni mfano wa Dhahabu safi isiyong'aa!

    Ukiondoa mchezo wa soka ambapo jambo kuu ninalojivunia ni kuishi katika zama moja na magwiji wawili wa soka duniani Muagentina Lionel Messi na Mreno Christiano Ronaldo, jambo jingine ninalojivunia ni kuzaliwa katika taifa la Tanzania na kuishi katika zama hizi tulizopo. Yawezekana walioishi zama...
  12. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Royal Tour ingekuwa na tija kama Rais Samia angeambatana na Mumewe, watoto wake angalau wawili na kushirikisha wasanii maarufu wa Kitanzania

    Mambo mengine yanafurahisha sana. Huenda bado tupo nyuma ya muda ama hatujui tunatafuta nini. Rais ametuambia kuwa yupo katika majukumu ya kurekodi kipindi maalumu ya royal tour chenye lengo la kutangaza vivutio vya utalii wetu kimataifa. Mimi sijaelewa lengo na dhumuni maana siamini kama Rais...
  13. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kuna kundi la vijana wa Kitanzania wanahusiana na makundi ya kigaidi. Kwa sasa hawa ndio maadui wa taifa letu

    Kuna vijana wengi sana wa kitanzania ambao walishakuwa brainwashed na kujiunga na makundi ya kigaidi kama Al shabab. Vijana wengi sana toka mikoa ya pwani, Tanga , Arusha walishajiunga na kundi la Al shababu na wengi tu walishawahi kuhudhuria mafunzo ya kigaidi huko Somalia. Hata hayati...
  14. W

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mabadiliko ya elimu kwa vijana wa Kitanzania

    Navuta picha ya kijana wa kitanzania anayewakilisha vijana wengi wa kiafrika vijana waliokosa mbinu za kujikwamua kiuchumi, kijamii, vijana wasiojua ni nini wafanye kutoka hapo walipo kwenda kwenye hatua nyingine na kupata kile wanachotamani katika ndoto/maisha yao. Naangali na kutathimini ni...
  15. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa kitanzania?

    Habari za wakati Kufikiria sio kazi rahisi,ni kazi ambayo ina ugumu wake. Je unafikri unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa Kitanzania katika eneo ulipo?Je ajira utakayowapatia itakuwa na sifa gani,utawalipa kiasi gani,itakuwa na faida gani kwa jamii inayokuzunguka? Zingatia kwamba...
  16. BabaMarley

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kitanzania na mchongo wake Bungeni

    “Kwa kuwa sisi wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya uhuru, haki, udugu na amani. Na kwa kuwa misingi hiyo yaweza tu kutekelezwa katika jamii yenye demokrasia ambayo serikali yake husimamiwa na bunge lenye...
  17. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Animations za Kitanzania

    Hebu tujuzane animations za Kibongo. Japo tasnia hii bado haijakua lakini kuna chache zimetengenezwa. Hebu tujuzane Animations za kitanzania. Mimi nazifahamu hizi chache. 1. Zamani ilikuwepo moja inaonyeshwa ITV, dogo fulani wa kike akiitwa sara. Nafikiri kuna watu wa nje walikuwa wanafadhili...
  18. chief lobengula

    JamiiForums Tanzania SoC01 Je, Sarafu za Kimtandao (cryptocurrencies) ni fursa nyingine kwa Vijana wa Kitanzania?

    Habari zenu wanajukwaa. Natumaini ni wazima wa afya. Namshukuru Mungu kwa uzima aliotupa siku ya leo. Mnamo Juni, 13 2021, Rais wa JMT Mh. Samia Suluhu Hassan alitoa wito kwa Benki Kuu (BOT), kujiandaa kwa ajili ya kulipokea swala la sarafu za kimtandao na teknolojia inayoziwezesha yaani...
  19. Truth Bot AI

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuongeza kipato: Kilimo cha pilipili kichaa kinavyoweza kumfaidisha kijana wa Kitanzania

    Habari wanajamvi wenzangu! Tatizo la ajira limekuwa sugu lakini nimekuja na suluhisho ambalo litaweza kuongeza kipato kwa sisi watu wa chini na hasa waliomaliza chuo na kukosa posts. Naeleza hiki kutokana na Experience yangu na jinsi nilivyofanikiwa kwa kilimo hiki cha pilipili kichaa (African...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Serikali Ingilieni Huu Ukatili: Hoshi Security Inawanyanyasa vijana wa Kitanzania

    Wanajukwaa, nadhani serikali yetu inabidi iangalie kwa umakini mkubwa haya mambo ya ukatili ndani ya hii nchi. Kuna mambo ya ajabu mno. Mara kwa mara naenda Mikocheni kumtembelea mchumba wangu anayeishi Mikocheni Baraka Plaza Apartments, na mara nyingi nawakuta vijana wale wale waigwa lindoni...
Back
Top Bottom