kuna benki zina madirisha hadi 8 ila hali ipo hivi hivi
Yaani kwenye mabenki yetu haya uje kukuta madirisha yote yana tellers ni kama muujiza hivi, Nakumbuka zamani nikiwa chuoni nimetumiwa ada usiku niende kulipia asubuhi niliponea chupu chupu nisifanye mtihani isingekuwa huruma ya waliopanga...
Msanii maarufu nchini Nigeria na mchezaji wa filamu Nollyhood amekataa kiasi cha Naira 10,000,000 sawa na shillingi 54,935,758.91 za Tanzania ili kumsapoti mwanasiasa anayefanya kampeni, mwanasiasa huyo aliona akimtumia huyo msanii kwenye kampeni atapata wanachama wengi na kura zitaongezeka, ila...
Habari Wana jamii forums
Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.
Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi nitakapo maliza masomo, ndio nilipokutana na hii...
Vijana wengi tunapenda kutumia internet kufanya mambo yetu mbali mbali ikiwemo, kuperuzi katika mitandao mbali mbali ya kijamii, kutumiana jumbe, kuangalia video na pia kujifunza vitu mbali pia kujiburudisha kwa kucheza michezo mbali mbali inayopatikana mitandaoni maarufu kama games.
Lakini je...
Nawasalimu kwa jina la Chama Pendwa (CCM).
Leo nimeamua niandike kuhusu suala zima la nidhamu kwa wasanii wetu pamoja na vijana wote wa kitanzania. Vilio ni vingi kuhusu hali ngumu ya maisha huku wanaofanikiwa wakiwa wachache. Sababu ni nyingi sana ila mimi nitajikita kwenye kitu kinaitwa...
Wimbi la ajira ni kubwa sana na kiukwel maisha ya vijana wengi yapo mikononi mwa wazazi na Ndugu wengine wenye mioyo yakusaidia Ndugu zao.
Vijana wengi Sana nchini hawaelewi ni namna gani watajikwamua kiuchumi ili kuondokana na Hali hii.
Je, wewe Kama Kijana unashauri Nini kwa vijana wenzako...
Karen: Sijaona mwanaume wa kuzaa naye Tanzania | Nimezaliwa staa baba yangu staa.
Taarifa: EastAfricaTV
Baba wa huyu Binti ( Dada ) nakushauri kuwa makini sana kwani kuna Msanii mwingine huko nyuma alikuwa na Dharau na Nyodo kama hizi ila kwa alichofanyiwa Mbezi Beach ( Mitaa ya Rainbow )...
Bei ya mahindi nchini Tanzania inaogofya sana hadi kufikia 100000-130000 kwa gunia la kilo 100 kwa baadhi ya mikoa ya nchi hii.
Kupanda kwa bei ya mahindi imepelekea wananchi wa kawaida kununua unga wa kupikia ugali kati ya 1400-2000 kwa kilo moja, hali ya upatikanaji wa chakula hicho inazidi...
Kampuni ya simu ya TECNO imehitimisha rasmi promosheni ya simu ya SPARK 8C baada ya kukabidhi zawadi ya milioni 5 pesa taslimu za kitanzania kwa mshindi anayefahamika kwa jina la Mohammed Khatibu.
Meneja mauzo TECNO...
Nimeitazama video moja ya hayati mchungaji Myles Munroe akiwaongelea wanasiasa wa dunia hii. Nikatamani hawa wa kwetu waisikilize ili waondoke na chochote kitu kitakachowasaidia katika wito wao wa siasa. Ni video yenye kutafakarisha kwa kina juu ya maisha mazima ya mwanasiasa.
Anasema kwamba...
Kuna life style flani la viongozi wa kitanzania wakiwa maradakani huionesha jamii kupitia mitandao yao ya kijamii lakini punde wakishatoka madarakani style hiyo hupotea ghafla, labda waanze tena Leo baada ya Uzi huu!
Mfano;
Wakiwa madarakani utaona wakipost wapo jimu (gym) nakutufanya sisi...
Vijana wengi hasa wa mijini hawajui ni namna gani ya kuwazika wapendwa wao, hii nimeiona kwenye misiba kadhaa hasa ya kikristo wazikaji wanakodiwa.
Kwanza ni waoga kuingia mortuary hawawezi kabisa, wakati wa mazishi kuingia kaburini wengi wao hawawezi kabisa kazi kunyoa viduku na kuvaa suruali...
Ukiangalia bongo movie zinahadidhi za kitoto na zinazodumaza Akili kabisa
Mara simulizi za kusadikika za kichawi. Mara mkaka kapuku kapendwa na demu tajili.
Tuliosoma vitabu Kama wizi wa almasi Mwadui. Pesa zako zinanuka, msake mpaka umpate, Kuna vitu vingi Sana vimetujenga. Achilia mbali noval...
Wanayaita Dubu au Bonanza. Hapa unaweza ukaliwa hadi ubongo. Vijana wa Kitanzania sasa hivi mpaka huko vijijini huwaambii chochote kuhusu hii dubwasha.
Kwahyo wakati uraibu wa betting haujakolea vizuri, kuna uraibu wa Dubu/Bonanza ambapo mbaya zaidi wanachezq mpaka watoto wadogo wa shule za...
Wanafunzi wa Kitanzania walio katika mji wa Sumy nchini Ukraine wameruhusiwa kutoka nchini humo kupitia mpaka wa Russia baada ya mazungumzo ya kidiplomasia kufanyika na Serikali ya Russia kuridhia.
Kwa mujibu wa taarifa ya pamoja iliyotolewa leo Machi 4, 2022 na Ubalozi wa Tanzania nchini...
Nitangaze mapema kwamba
1. Mimi ni graduate na ni jobless kama walivyo vijana wengi
2. Mimi Sina chama chechote na siyo msenaji wa yeyote.
Lakini najiuliza sana Hawa wahindi na wazungu waliohamia kutoka nje na kuwawekea watoto wao misingi ya mafanikio na Sasa wengi wa watoto wao under 35 ambao...
Moja ya Kiongozi Mwanamke aliyeweza kufanya mabadiliko makubwa ya utoaji huduma na kupanua uwazi Kwa wateja ni Kamishna Jenerali wa UHAMIAJI. Ametumia elimu yake kufanya mabadiliko makubwa na amefanikiwa kuzifanya huduma za UHAMIAJI ziwe kwenye mtandao kama nchi za ulimwengu wa kwanza.
Kwa...
Filamu ya BINTI @bintimovie ni filamu ya kwanza ya Kitanzania kuoneshwa katika mtandao wa filamu mitandaoni kwa jina la NETFLIX.
Filamu hiyo inaelimisha mabinti kutotamani maisha ya wenzao ikiwa hawajui wanapitia nini.
Imeandikwa na mtunzi Angela Luhinda pamoja na @sekoshamte na tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.