MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,478
- 20,390
Nafuatilia mahojiano aliyofanya mfanyabiashara tajiri kijana Mo Dewji na Bloomberg.
Mo anadai anapata furaha kubwa pale inapokuwa ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi na Kampuni yake, amedai watu wengi wameacha kazi mitandao ya simu na Kampuni za uchimbaji madini na kuamua kujiunga na Kampuni yake. Kampuni hii imekuwa chaguo la kwanza kwa vijana karibia wote wanaomaliza vyuo nchini.
Mo amesema haikuwa kazi rahisi kufika hapo, lakini kutokana na sera Bora za ajira za kampuni yake imewezekana.
Mo ameendelea kusema regardless na kitengo alipo mfanyakazi, wafanyakazi wote wamekuwa covered na bima ambazo zinawazesha kupata matibabu ya mpaka milioni 5 kwa mwaka, allowance za nyumba pia Kampuni inatoa chakula Cha mchana kwa wafanyakazi wote, huduma ya usafiri, scholarship kwa watoto wa wafanyakazi nk.
Nampongeza Sana Dewji na niwakati kwa waajiri wengine kujifunza kitu kwa huyu jamaa.