Kitabu hiki ni kizuri. Mimi binafsi kilinisaidia katika interview yangu ya tatu baada ya kuwa nimeboronga katika interview zangu mbili za kwanza. Ndiyo nilikuwa nimemaliza chuo na kazi ya kwanza ndiyo hasa niliitaka lakini nilikutana na vijana wenzangu kutoka Kenya na Nigeria nikajua tu waziwazi...
Nimepata bahati ya kusoma vitabu mbalimbali mutoka ndani pamoja na nje ya nchi ila kwa leo ningependa nikukaribishe kuelewa nukuu muhimu alizotumia mwandishi Robin S. Sharma
Hapa zipo nukuu alizotumia kushawishi wasomaji wake kuzidi kuvutiwa na utunzi wake..nami nitazileta jukwaani baadhi ya...
KITABU CHA ABDUL SYKES KATIKA PDF
Kitabu hiki kilichochapwa na Minerva Press London 1998 sasa kipo katika pdf.
Nimeshindwa kupata link lakini nimewatumia watu wengi katika Whatsapp peaneni humo kwa humo na wenyewe kwa wenyewe mpate kukisoma kitabu hiki bure.
Soma Kwa Furaha.
MABANGO YA KITABU CHA SHEIKH PONDA KWENYE KUTA ZA NYUMBA MITAANI DAR ES SALAAM
Nakumbuka siku ya kwanza nilipokutana na Sheikh Ponda ilikuwa mwaka wa 1988 kwenye semina ya vijana Kiislam Iliyofanyika Chuo Cha Biashara Dodoma (CBE).
Sheikh Ponda na kijana mmoja kutoka Zanzibar, Sheikh Salum...
MNA NINI NDANI YA KITABU CHA SHEIKH PONDA?
Ili kitabu kiwe kitabu lazima kiwe na elimu mpya yaani ile ambayo jamii haijui.
Hii elimu mpya ndiyo roho, moyo na maisha ya kitabu kwani kitabu kina maisha na kifo kama binadamu.
Kitabu kikikosa vitu hivyo kinaweza kufa mapema au kikafa katika...
KITABU KIPYA "JUHUDI NA CHANGAMOTO" KALAMU YA SHEIKH PONDA ISSA PONDA
Sheikh Ponda Issa Ponda ameandika kitabu.
Mwaka ni 1998 niko ndani ya basi la Raha Leo natokea Tanga. Karibu Maghrib inaingia basi linakaribia Msikiti wa Mwembechai.
Msikiti huu ulivamiwa na askari wakakata umeme wakaingia...
Kuna mwamba mmoja alisoma mkwawa sec enzi hizo alikuwa kipanga balaa.
Nini kilitokea
Rekodi yake ni unwritten kwasababu miaka hiyo kitabu cha Abot na nadhani mpaka sasa kilikuwa kinatolewa kwà matoleo (editions) sasa huyu mwamba alifanya jambo kubwa mno ila halijasimuliwa popote.
Mwaka haujaisha lakini na recomend kwako acha kila kitu usome hichi kitabu, once nilikua sisomi vitabu mpaka nilipoanza kukisoma hichi sijawahi kupata kingine zaidi ya hichi, Kama kuna mtu anacho kitabu cha hivi cha story nzuri Kama hiki (based on try story) aseme hapa niongeze kwenye library...
Habari wana JF, sipendi ongelea sana sana mambo ya siasa, lakini kadri siku zinavyokwenda na mwelekeo wa maisha yetu in general unavyozidi kuyumbishwa, nazidi kujenga parallels na plot nzima ya moja ya vitabu vyangu pendwa, 'Animal Farm' kilichoandikwa na George Orwell.
Yaani ni kama uongozi...
Habari zenu wana Jamii forums.
Jumapili hii tulivu ya leo nimechekecha kichwa kidogo nimepata wazo la kuandika kitabu kisha nikipeleke kampuni ya ucapishaji na usambazaji kiwe kinnapatikana kwenye stationary na naduka ya vitabu.
Kabla sijaanza kukiandika nimeona ni vema niyajue kwanza...
Jina langu nililopewa na walimwengu najulikana kama KITABU MFUMBUZI WA MATATIZO.Nimezaliwa DUNIANI kote kwa mwaka usiokuwa na jina toka Enzi katika kila Pembe ya Dunia, Ninaishi TANZANIA, Nchi TAJIRI yenye watu MASIKINI ndani yake.Nimevumilia nimeshindwa nimeona Bora niseme TANZANIA ina watu...
Habari wote JF members,
Nimeona nifungue uzi kutoka uzi mmoja na huu ujitegemee.
Saivi watu wanaishi kwa bajeti kali no shopping kizembe zembe Tsh.10000 ndio buku 2000 ya 2015. Uhalisia uko hivo jero ishakuwa mia 200 afu malipo ya kazi ni yale yale. Daah walio ajiriwa kwa mishahara midogo daah...
Niliwahi kuja na uzi humu wa kitafuta vitabu vya Alfu lela ulela matoleo ya zamani. Vilitoka vitabu vinne. Nilipata toleo la 2,3 na 4. Bado la 1 sijapata. Kama unalo naomba kupata scanned copy yake.
''Yupo lakini huisikii sauti yake.
Hasemi lakini yuko wala huhisi kuwepo kwake.
Lakini yupo ila wewe humuoni.
Anasikiliza zaidi ya yeye kuzungumza.
Huisikii sauti yake.
Utamfahamu na kumtambua katika yale atakayofanya.''
Kitabu hiki kinaitwa PROPAGANDA kiliandikwa 1928 na Edward Bernays Baba wa masuala ya Kijamii na Propaganda.
Kwa kifupi propaganda ni Taarifa ya kiupendeleo au taarifa yenye lengo la kupotosha jamii juu ya jambo au mtu/watu fulani.
Lengo kuu la mwandishi kwenye hiki kitabu lilikuwa ni kuelezea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.