kiswahili

  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Maktaba ya Kiswahili Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia ni hatua ya kupongezwa

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetoa taarifa ya kufunguliwa rasmi ofisi za Ubalozi wa Tanzania Jijini Windhoek, nchini Namibia. Lililonivutia katika hatua hii muhimu katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasiani ni uamuzi wa ubalozi kufungua maktaba ndogo yenye...
  2. system hacker

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa kukubali lugha za Taifa ni mbili, Kiswahili na Kiingereza

    Sijui tunakwama wapi. Ila deep inside Kiswahili ni lugha dhaifu sana yaani sio stable hata hivyo sio romantic hata kibiashara ni weak sana. Hata ukitongoza demu kwa Kiswahili na jamaa mwingine akatongoza kwa English; yule wa Kiswahili ni likely kupigwa chini mara elfu zaidi na kukubaliwa wa...
  3. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kiswahili hakiwezi kukua vizuri Kama Sisi bado ni maskini

    Kikawaida hakuna mtu anayependa kujifunza lugha ya maskini au utamaduni wake isipokuwa tu labda kwa sababu za kiutafiti na kiakademia. Hata masIkini mwenyewe huionea aibu lugha yake na utamaduni wake hivyo kuikwepa katika matumizi yake ya kila siku Kama vile elimu nakadhalika. Hapantunaweza...
  4. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Kwanini lugha ya Kiswahili haitumiki kufundisha kwa ngazi zote za kielimu?

    Maswali kwa Wizara ya Elimu Tanzania na kwa wadau wote humu Jamiiforums: Kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya kidato cha nne 2022. 1. Kwanini wizara haijaamuru matumizi ya lugha ya kiswahili katika kufundisha na kuondoa matumizi ya lugha ya kiingereza katika ngazi zote za kielimu hapa nchini...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Vifupi(aka) vya majina ya kiingereza na kiswahili.

    William-Huitwa Bill. Jina la Bill Gates ni William Henry Gates. Siyo Wile Robert-Huitwa Bob. Robert Mugabe na Robert Nesta Marley huitwa Bob. Siyo Roba Elizabeth-Huitwa Lizzy, Siyo Beti ............................................................
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika wa kutumia Kiswahili kama lugha ya kufundishia

    Nimepitia matokeo ya NECTA kidato cha pili na kugundua jambo lifuatalo. Shule za Kata zina ufaulu hafifu sana (mwingi ni wa daraja F) katika masomo yote isipokuwa somo la Kiswahili. Somo la Kiswahili ndo limezibeba shule za kata zisitumbukie shimoni kabisa. Mifano michache ni hii hapa (ikiwemo...
  7. De Opera

    JamiiForums Tanzania Utumivu wa maneno kimakosa katika kiswahili

    Wapwa, habari za muda huu? Kuna neno 'Onyesha' naona linatumika vibaya na mara nyingi limekuwa likitumika mahali ambapo si mahali pake. Kuna maneno mawili watu tumekuwa tukiyachanganya 'Onesha' na 'Onyesha'. 'Onesha' likisimama kwa maana ya kumfanya mtu atazame kitu au jambo fulani, wakati...
  8. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaojua kiswahili, nini maana ya neno hili?

    Guangzhou! Kwa wataalamu wa lugha adhimu ya kiswahil...Nini maana ya neno Mbwiga?? Nilisikia jana jirani anasema ''Mume wangu alirudi yupo mbwiga" Pia naomba msaada wa maneno haya 1.Monde 2.Karandinga 3. Gida "Waligida Monde wakajikuta ndani ya karandinga"
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Huyu ndege kiboko ya nyoka(Secretary bird) anapatikana wapi Tanzania? Kwa kiswahili anaitwaje?

  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. James Mdoe: Lugha ya Kiswahili ina wazungumzaji takriban milioni 250, sasa kupandishwa Mlima Kilimanjaro

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imejizatiti kueneza lugha ya Kiswahili kwa kuimarisha ufundishaji wa Kiswahili katika nchi za Afrika na ulimwenguni kwa ujumla. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa kukabidhi bango la Kiswahili kwa watumishi watakaopanda Mlima Kilimanjaro kwa azma ya...
  11. Martyr 360

    JamiiForums Tanzania Kiswahili kuchaguliwa kama Lugha ya Taifa ilikuwa kosa?

    Yaani hapa bongo bhana tuna vipaji vingi sana tena watu wa maana umewahi kufikiria kwanini hatuvumi sana kimataifa na dunia kiujumla. Hii ni kwasababu ya lungha tunayotumia kama Lungha ya taifa umewahi kufikiria labda ENGLISH ingekuwa ndo lugha yetu ya taifa yaani Kwanza tungekuwa na lafuzi...
  12. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

    Rais Paul Kagame alikuwa anaapisha mawaziri wapya hapo jana mapema. Alianza kutoa hotuba yake kwa lugha ya Kinyarwanda, lakini baadae akahamia kwenye lugha ya Kiingereza na baadaye akatoa kitisho kizito kwa lugha ya Kiswahili. Wengi wetu tumeona hicho kipande chenye lugha ya kiswahili kikisambaa...
  13. Execute

    JamiiForums Tanzania DStv badilisheni mtangazaji na utangazaji wa Kiswahili kwenye mechi za Kombe la Dunia

    Huyu mtangazaji wenu anapayukapayuka na hata haieleweki anaongea nini. Kila wakati anapaza sauti na kuongea vitu visivyoeleweka wala kuhusiana na mechi iliyopo mubashara.
  14. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa tovuti za kiswahili wapi tutapata matangazo yenye kulipa zaidi? Hasa kwa wenye traffic ndogo

    .
  15. Zanzibar2014

    JamiiForums Tanzania London hakuna Migahawa ya Vyakula vya Kiswahili

    Habari zenu nyote, Natafuta Migahawa ya Vyakula vya Kiswahili London au mtu anayepika nyumbani na kuuza chakula kwa mtu mmoja mmoja. Napika lakini siyo siku zote kutokana na majukumu ya kazi. Waswahili wa London tafadhali nijuzeni, ahsanteni sana.
  16. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Natafuta dictionary newe version ya kutoka TUKI

    Wakuu natafuta dictionary newe version ya kutoka TUKI ninayo soft copy ya hii dictionary lakini imekua ya zamani sana. Kuna mtu anayo au inauzwa wapi? Asanten
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Miti ya Oak(Mialoni kwa kiswahili) inapatikana wapi kwa Tanzania?

    Habari wakuu. Eti hiyo miti inapatikana Tanzania? Sehemu gani?
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mawaziri Uganda kujifunza Kiswahili kwa lazima kila Jumatatu

    Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Rebecca Kadaga, Mawaziri watafundishwa Kiswahili kila Jumatatu kabla ya Kikao cha Baraza chini ya Rais Museveni. Waziri Kadaga amesema hatua hiyo inalenga kuwawezesha Mawaziri kufanya mikutano ya ndani na ya Jumuiya kwa lugha ya...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Elimu yetu ni kwenye shule za Umma siyo za Binafsi

    Kwenye mfumo wa Elimu Yetu tuna matatizo mengi sana ambayo kwa haraka haraka inawezekana ikatuchukua hata miaka zaidi ya 20 kuyarekebisha, tena kama tukiwa makini na tuliodhamiria kufanya marekebisho yanayotakiwa. Kwenye Mfumo wetu wa Elimu watu waliofundishwa kuwa Maafisa Elimu kwenye vyuo...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Redio nyingi hapa Tanzania siku ya Ijumaa wanapiga zaidi nyimbo za kaswida za Kiarabu kuliko Kiswahili?

    Ndugu waamini wa dini mbalimbalini nawasalimu kwa jina la bwana muumba wetu. Siku ya Ijumaa ni siku ya ibada na mara nyingi inakuwa kama ni siku nusu ya kazi kutokana na waamini wengi wa dini ya Kiislam kwenda kusali. Sasa hata kwenye redio zetu ambazo ni nyingi sana kwa sasa hapa Tanzania...
Back
Top Bottom