Ni kweli Serikali ina mpango wa kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili?

Big Eagle

JF-Expert Member
May 3, 2020
592
625
Kwenye vyombo vya habari viongozi mbalimbali wamekua wakisifia kiswahili yakua sasa kinafundishwa nchi za mbalimbali marekani hata uchina.

Ona hapa kwenye tangazo la ajira la tamisemi kiingereza ndo kimepewa kipaumbele kiswahili hata kidogo
Screenshot_20230413-060427_Instagram.jpg
 
Hii ngoma kwa walimu wa kawaida kawaida hawaoni ndani.

Kuna misumari imetupiwa humo hasa Elimu Awali kidogo.

Walimu wa kawaida kawaida tena wale wa diploma na degree wa masomo ya JUMLA JUMA hapo chenga tupu
Jamani tukalime mahanju na ulezi wetu.

Hizi ni ajira za wakati wote bora wa cheti wamekumbukwa kumbukwa karibuni wote
 
Kwenye vyombo vya habari viongozi mbalimbali wamekua wakisifia kiswahili yakua sasa kinafundishwa nchi za mbalimbali marekani hata uchina.
Ona hapa kwenye tangazo la ajira la tamisemi kiingereza ndo kimepewa kipaumbele kiswahili hata kidogoView attachment 2586003
Usije ukasoma kwa kuwafatisha wanasiasa , idadi ya walimu wa Kiswahili hawajapewa nafasi na history na civics na Geography .
 
Tunaiomba awamu ya 6 isimamie kwa dhati matumizi ya lugha ya kiswahili kama ilivyo kuwa awamu ya 5.

Bado inashangaza interview zinafanywa kwa lugha ya kizungu!!!! wanao hoji ni watanzania na wanao hojiwa ni watanzania lkn lugha inayo tumika ni kizungu!!!

Mahakama zetu bado hadi Leo zinatimia kizungu na kutoa tafasiri ya kiswahili kidogo!!!! Wanadai kuna "software" ya kutafasiri itafungwa katika kila mahakama lkn sidhani kama Hilo litatekelezeka kwa .

Tunamuomba Rais wetu pamoja na wizara husika kukipa umuhimu kishwahili kwani ndio tunu ya Taifa letu.
 
Back
Top Bottom