kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kimara Kimara

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri kabla sijachimba shimo la choo la kisasa?

    Mambo vipi wakuu, Nipeni ushauri nimefikia hatua ya kujenga karo la choo. Je ni Shimo lipi linafaa kwenye ardhi ya Udongo wa kichanga (SAND SOIL) kati ya Lile la kisasa lisilojaa ama yaja yetu ya kawaida. Kuna Uzi humu (MODERATORS NAOMBA MUUSHUKIZE) Ulikua inaongelea hasara za mashimo ya...
  2. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dodoma litakuja kuwa jiji la kisasa sana

    Sina mengi ya kusema ika kwa sasa jiji la Dodoma linakua kwa spidi kubwa sana. Ndani ya miaka kumi ijayo Dodoma itakuwa Las Vegas of Africa. Na hali yake ya kuwa nusu jangwa, jua linawaka vizuri hadi raha. Hata ukiangalia picha za Dodoma asilimia kubwa mazingira yake yanang'aa. Kuanzia ujenzi...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati nilidhania ongezeko la visirani kwa wadada ni kutokana na mabadiliko ya nyakati ila nilikosea. Ni kutokana udhaifu wa vidume wa kisasa

    Vijana wanababaishwa sana na wadada kwa sasa. Hata michepuko sasa eti inapelekesha boya hadi inanunulia malaya gari. Sio baba zao, sio boyfriend zao, sio wame zao kwa hawa wadada wa kileo. Wote chaliiii. Msimamo mkali wa mwanaume tangu enzi na wala ndoa hazikuwahi kuvunjika time and time...
  4. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Vyuo Vikuu: Fahamuni Umuhimu wa Psychographic Segmentation Katika Ulimwengu wa Kisasa wa Marketing

    Wanafunzi wa marketing na biashara kwa ujumla, ni muhimu sasa kuelewa kuwa soko la leo haligawanywi tu kwa kipato (income), jinsia (gender), au umri (age). Dunia ya kisasa imeingia kwenye hatua ya deep consumer understanding ambapo psychographic segmentation ndiyo silaha kuu ya makampuni...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Yanga SC wote kwa Kutufunga ki Haki, ki Mpira na ki Mafunzo ya Mpira wa Kisasa (wa Kiufundi) jana kwa Mkapa

    Wana Simba SC tutazunguka kila Kona, tutasema kila Maneno, tutatafuta Mchawi / Wachawi kila pembe ya dunia, Tutalaumiana mno, tutachukiana sana wenyewe kwa wenyewe ila Leo hii namaliza rasmi Utata kuwa Simba SC hatuwawezi Yanga SC na tusipojitathimini Kimkakati upo uwezekano mkubwa tukaendelea...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanataka kufahamu gharama za uchimbaji kisima Cha kisasa

    Wadau wengi Sana wanakutana na changamoto ya maji katika MAENEO yetu na wengi wanatamani sana kuchimba kisima Cha kisasa ila hawajafahamu gharama na taratibu zake ✅Taratibu ya kwanza ni kufanya survey kitaalam inaitwa geophysical survey yaan mtalaam kuja eneo lako kujua Je maji yanapatikana na...
  7. Jkitamoga

    JamiiForums Tanzania Mtamba wa kisasa anaweza kupandwa akiwa na umri gani?

    Kwa wataalam naomba msaada nina Mtamba wangu Ana umri wa miezi 13 aliingia heat mara ya kwanza mwezi machi . Upi ni umri sahihi wa kumpandisha?
  8. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kutajengwa Hospital kubwa mpya za kisasa

    Nikiwa Rais kutajengwa hospitali kubwa za kisasa zisizopungua nane (8) Zitakuwa na sifa zifuatazo;- 7t (7 tesla) MRI machine @4 kwa kila hospital kwa kuanzia na baadae zitaongezeka kulingana na mahitaki Ct scan number @12 na zitaongezeka kulingana mahitaji ya hospotali Radiotherapy facilities...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Zijue dondoo muhimu kuhusu kiwanda cha kwanza cha kuchenjua shaba kwa kutumia teknolojia ya kisasa cha Mast- Chunya Mbeya

    KUANZISHWA Mineral Access Systems Tanzania Ltd (MAST) ni Kampuni ya Kitanzania, iliyoanzishwa mwaka 2011, ikiwa na dhamira ya kuendeleza biashara ya madini kwa njia shirikishi na endelevu. Imekuwa ikifanya biashara ya madini ya kimkakati (strategic minerals) ndani na nje ya nchi mfano Zambia...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Israel Katz Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ni "Hitler wa kisasa" na "hawezi kuendelea kuwepo

    Akitembelea eneo la shambulizi la kombora la asubuhi ya leo huko Holon, Waziri wa Ulinzi Israel Katz anasema Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ni "Hitler wa kisasa" na "hawezi kuendelea kuwepo." Anasema kuwa chini ya malengo ya vita ya IDF, "bila shaka mtu huyu hapaswi kuendelea...
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza DG wa MOFAT, ni Mtanzania, msomi na ameeleza uzuri kuhusu mradi na kampuni yake Watanzania tumuunge mkono ataendesha mradi kisasa

    https://www.youtube.com/watch?v=Wdo4iyyC_HA Tanzania ina kila sababu ya kujivunia kwa kuwa na vijana wa aina ya huyu Mohammed Abdalah Kassim ambae ni mtoto wa mjini na mzaliwa wa Magomeni Makuti, jijini Dar-es-Salaam. Akihojiwa na TV ya Millard Ayo Mohamed amejieleza uzuri sana na kuuelezea...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza showcase za kuhamishika za kisasa kabisa

    kwa wapangaji showcase za kisasa za kuhamishika izo apo.. hapo ata tv inch 65 haidondoki. wenye nyumba skuiz awatak mtoboe ukuta sasa showcase hizi ndo kiboko ya wenye nyumba 🤣 Ata ukiwa na nyumba yako hizi zinakufaa sana.. Tupo dar mbagala Nipe oda boss tukutengenzee Bei ni kutokana na ukubwa...
  13. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa majaribio na make-up ya kisasa

    "Kumchagua kiongozi kwa majaribio ni kama mke wangu akijaribu mapishi ya YouTube bila kuelewa lugha. Supu inageuka uji, wali unakuwa chakula cha kuku, halafu bado ananiambia ‘hivi ndivyo wanavyofanya Ulaya!’" — Alloyce, P.R. 😂😂
  14. elite wastes

    JamiiForums Tanzania mifumo ya choo ya kisasa

    matumizi makubwa hayapaswi kuwa kati ya hofu zako taasisi zinaamini suluhisho la majitaka ni Elite Wastes ukiwa na Elite Wastes, utaepuka matatizo ya kunyonya majitaka, harufu mbaya na hutokuwa na hofu juu ya matumizi ya maji nyumbani Karibu Sana Elite wastes upate mfumo ulio bora, piga simu...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Misuko ya kisasa kwa wanawake tuu

  16. marklondon101010

    JamiiForums Tanzania Elon Musk has just unveiled XChat, a what app alternative

    Elon Musk has just unveiled XChat, a revolutionary new platform that is set to redefine private communication. With a strong focus on security and user privacy, XChat offers a suite of features that will elevate the messaging experience. It boasts end-to-end encryption, ensuring that all your...
  17. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakulima wadogo wa Kenya wakumbatia teknolojia ya kisasa ili kuongeza mavuno yao

    Magharibi mwa Kenya, mkulima wa mahindi Josephat Ouma alipitia kwenye safu za mabua ya kijani akiwa na simu yake janja mkononi. Alisita na kuinama kabla ya kupiga picha ya jani lililokuwa linaonekana kupatwa ugonjwa. "Zamani nilikuwa nikisubiri mtu aje kusaidia. Tena baadhi ya wakati alikuwa...
  18. Lyamba lya mfipa

    JamiiForums Tanzania NAUZA NYUMBA YA KISASA HAPA VIKINDU NYUMA YA MTAA WA POLISI 0673294681

    Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi. Nyumba inavyumba viwili vya kulala vyote master. Ina maji na umeme nimesogeza nguzo na kufanya wiring mwenye uhitaji unipigie/whatsup 0673294681. Ninashida ya pesa nataka niende masomoni nje ya nchi. Bei tsh. 20m mazungumzo yapo
  19. Lyamba lya mfipa

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya kisasa inauzwa Vikindu karibu na stand/ 0673294681

    Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi. Nyumba inavyumba viwili vya kulala vyote master. Ina maji na umeme nimesogeza nguzo na kufanya wiring mwenye uhitaji unipigie/whatsup 0673294681. Ninashida ya pesa nataka niende masomoni nje ya nchi. Bei tsh. 20m mazungumzo yapo
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa atakuwa mbunge wa kawaida kama Kisasa kwenye bunge lijalo?

    Waziri mkuu yupo kwenye vikao nje ya nchi. Mkutano mkuu wa chama unaendelea. Means amekosa fursa yakunong'ona na wajumbe. Mkutano huu kwenye analysis ya kisiasa alipaswa kukosa? Kwanini atumwe nje dakika hizi? Unaweza kumshauri ajiandae kumwachia Doto kiti?
Back
Top Bottom