Tunatengeneza showcase za kuhamishika za kisasa kabisa

Tunatengeneza showcase za kuhamishika za kisasa kabisa

Big dady 11

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2023
Posts
278
Reaction score
279
kwa wapangaji showcase za kisasa za kuhamishika izo apo..
hapo ata tv inch 65 haidondoki. wenye nyumba skuiz awatak mtoboe ukuta sasa showcase hizi ndo kiboko ya wenye nyumba 🤣

Ata ukiwa na nyumba yako hizi zinakufaa sana..
Tupo dar mbagala

Nipe oda boss tukutengenzee
Bei ni kutokana na ukubwa wa showcase
Showcase ya futi 5 ni laki 4 na 80.. na showcase ya futi 6 ni laki 5 na nusu tu

1750065051157.jpg
1750065048254.jpg
1750065045024.jpg
1750065042177.jpg
 

Attachments

  • 1750065038075.jpg
    1750065038075.jpg
    173.3 KB · Views: 32
  • 1750064960559.jpg
    1750064960559.jpg
    116.3 KB · Views: 33
Back
Top Bottom