kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania Kilimo hai, bora na cha kisasa kwa kutumia mkojo wa sungura.

    HABARI NJEMA KWA WAKULIMA. Hakuna tena kuumiza kichwa kuhusu kutibu magonjwa nyemelezi kwenye mazao yako kama vile manjano, fangasi, na kudhoofika kwa mazao. Tumia mkojo wa sungura pia kuongeza mazao na uzito kwenye mazao kama mpunga, mahindi, maharage, ulezi na mtama. Mkojo wa sungura pia...
  2. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Saa nzuri za kisasa casio

    SAA ZA KISASA ZA CASIO ORIGINAL! Ongeza mvuto na hadhi yako kwa saa bora kutoka CASIO — muundo wa kisasa unaofaa kwa kila mavazi! Sifa Kuu: Ubora wa hali ya juu Muundo wa kisasa (square design) Rangi zinazopatikana: Black | Rose Gold | Gold Battery imara (CR2025) Water Resistant (WR)...
  3. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Ramani nzuri ya kisasa kiwanja changu ni 840M²

    Wakuu, nimepata huu uwanja wenye ukubwa 840M² (Urefu 40×Upana 21). Hitaji langu nipate nyumba yenye sifa hizi. * Nyumba ya kisasa *Vyumba jumla 4, Master room 2 na kawaida 2 Sebule, Jiko, Stoo, ukumbi wa kulia chakula au kusomea vitabu na kazi za ofisini. Pia nyuma ya nyumba nijenge Banda lenye...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wajenzi wa nyumba za kisasa

    Je, unatarajia kujenga nyumba yako hivi karibuni? Na unataka kujengewa nyumba ya kisasa kwa uaminifu na ubora unaohitajika? Kama ndivyo basi hujachelewa na tayari umetupata MODERN HOME BUILDERS ambao sisi ndio watu sahihi wa kukujengea nyumba ya ndoto zako na hitaji la moyo wako. Sisi MODERN...
  5. Hujaza Kibaba

    JamiiForums Tanzania Modern taste of Football Analysis | Uchambuzi wa soka wenye ladha ya kisasa Burudani iliyoje

    Familia ya mpira⚽️ karibuni kwenye channel yetu ya whatsapp kwa maudhui ya kipekee kwa lugha ya kiswahili Taarifa za mechi lini anacheza nani matokeo yamekuaje unaweza kupata popote ila taarifa zenye ladha na shule nyingi ndani yake ndugu zangu wa football ni hapa🙇 Kipindi hiki cha...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mradi wa TADB yanufaisha Vijana Mwanza kwa fursa ya ufugaji wa kisasa wa samaki kwa vizimba

    Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi zinatekeleza mradi wa Uvuvi unaohusisha miradi miwili yenye thamani ya TZS 25.1Bln ikihusisha mikopo ya boti za kisasa zenye thamani ya TZS 2.6 Bln na ufugaji samaki kwa njia ya vizimba vyenye thamani ya...
  7. matiko sibora wambura

    JamiiForums Tanzania Maabara za kisasa ambazo zinatumika

    Katika kipindi Cha miaka 4 ya Serikali ya RAIS Samia Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyojengwa kupitia mradi wa SEQUIP katika Kata ya Udinde Halmashauri ya Wilaya ya Songwe. #KurayakwanzakwaSamia #Haijapatakutokea
  8. P

    JamiiForums Tanzania Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo

    Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyojengwa kupitia mradi wa SEQUIP katika Kata ya Udinde Halmashauri ya Wilaya ya Songwe. #KurayakwanzakwaSamia #Haijapatakutokea
  9. Lattafa

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa Kisasa : Je, Ushauri wa Kupata Mpenzi Unafanya Kazi?

    Nilitumia mbinu ya uchawi wa kisasa(Hyposis) kutoka kwenye YouTube kwa wiki moja. Nimekuwa nikikuta video mbalimbali za wanaume na wanawake wakitoa " Ushauri wa Uchawi ". Mfano, mbinu za kuongea, Kutoa Mapendekezo ambao ni ngumu kukataliwa. Mazoezi ya kujenga ujasiri, Hata " miiko" midogo ya...
  10. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Apartments ya ghorofa ya kisasa

    Single storey apartments Familia nne kwenye jengo moja Kila familia ina vyumba viwili jiko sebule public toilet Chini familia mbili na juu Familia mbili Jengo zima lina ukubwa wa 16x6 meters Kiwanja 38x28 meters Majengo manne kwenye kiwanja yanakaa Imagine utakua unapata...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza showcase (tv unit's) za kisasa kabisa kwa bei nafuu sana,,

    Mko poa maboss zangu.. Karibu tukupendezeshee seble yako kwa showcase za kisasa. Zipo za kuhamishika na zipo za kujengea ukutani. Bei hutokana na ukubwa uutakao boss.. Za kuhamishika zinazobeba na tv Bei huanzia laki 4na 80 had lak 6 na nusu ni kulingana na ukubwa wa showcase.. Pia za...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza showcase(tv unit's) za kisasa kabisa kwa bei chee karibu sana

    Mko poa maboss zangu.. Karibu tukupendezeshee seble yako kwa showcase za kisasa. Zipo za kuhamishika na zipo za kujengea ukutani. Bei hutokana na ukubwa uutakao boss.. Za kuhamishika zinazobeba na tv Bei huanzia laki 4na 80 had lak 6 na nusu ni kulingana na ukubwa wa showcase.. Pia za...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza showcase (tv units) za kisasa kwa bei nafuu sana

    Mko poa maboss zangu.. Karibu tukupendezeshee seble yako kwa showcase za kisasa. Zipo za kuhamishika na zipo za kujengea ukutani. Bei hutokana na ukubwa uutakao boss.. Za kuhamishika zinazobeba na tv Bei huanzia laki 4na 80 had lak 6 na nusu ni kulingana na ukubwa wa showcase.. Pia za...
  14. Smart Properties

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kisasa inauzwa

    NYUMBA INAUZWA - MILION 200. CHAMAZI, TEMEKE, DSM Simu/WhatsApp: 0744 993 715 ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ SIFA ZA NYUMBA KUBWA. ✅Vyumba 4 vya kulala – Vyote ni master bedroom (Vyoo vyake ni vipyaa, unavifungua wewe) ✅Sebule kubwa ya kisasa ✅Dining room. ✅Jiko la kisasa ✅Choo cha wageni (public toilet)...
  15. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Tunachimba mashimo ya choo ya kisasa

    🔨 Unahitaji fundi wa ujenzi wa kisasa? ✅ Mashimo ya choo ✅ Septic tank ✅ Plasta na skimming ✅ Ujenzi wa nyumba zote za kisasa 🌟 Kazi safi, ubora wa hali ya juu, na bei rafiki! 📍 Tunapatikana Dar es Salaam – Temeke 📞 Piga/Sms/WhatsApp: 0789 005 562 / 0719 205 562
  16. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania MASHIMO YA CHOO YA KISASA

    📢 TANGAZO LA UJENZI 🏠🧱 🔨 Unahitaji fundi wa ujenzi wa kisasa? ✅ Mashimo ya choo ✅ Septic tank ✅ Plasta na skimming ✅ Ujenzi wa nyumba zote za kisasa 🌟 Kazi safi, ubora wa hali ya juu, na bei rafiki! 📍 Tunapatikana Dar es Salaam – Temeke 📞 Piga/Sms/WhatsApp: 0789 005 562 / 0719 205 562...
  17. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kufuga mmbwa wa kisasa si mchezo budget yake inazidi familia nyingi

    Ukiona mtu anafuga mmbwa aina ya Germany Shepherd muheshimu gharama yake kuwatunza ni zaidi ya pesa unayomuachia mke wako
  18. whiteskin

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wa nyumba vyumba vitatu iwe design ya kisasa

    Hbr wanajamvi nahitaji Nyumba ya kisasa ambayo sio complete finished SIFA KUU Offered 10 to 17M Kuanzia kibaha maili moja (NIDA) HADI MLANDAZ STENDI KUU LEss to km 4.5 from morogoro road RUM3 (MASTER RUM NA P.TOILET) IWE NA DESIGN YA KISASA AT LEAST IWE IMEPAULIWA LAKIN SI BAUTI NYEUPE...
  19. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Jengo linauzwa, mali ipo Dodoma kisasa, bei ni billion 1.2 pesa ya Tanzania

    #realestatetanzania GHOROFA LA KISHUA LINAUZWA. LOCATION: KISASA MUUNDO( 16 SELF CONTAINED ROOMS) AREA:1200 MSQ PRICE:1.2 BIL 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  20. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa,ipo kisasa dodoma, bei ni billion 1.2 0758844717

    #realestatetanzania GHOROFA LA KISHUA LINAUZWA. LOCATION: KISASA MUUNDO( 16 SELF CONTAINED ROOMS) AREA:1200 MSQ PRICE:1.2 BIL 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Back
Top Bottom