Kutajengwa Hospital kubwa mpya za kisasa

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,180
Reaction score
8,047
Nikiwa Rais kutajengwa hospitali kubwa za kisasa zisizopungua nane (8)
Zitakuwa na sifa zifuatazo;-
  • 7t (7 tesla) MRI machine @4 kwa kila hospital kwa kuanzia na baadae zitaongezeka kulingana na mahitaki
  • Ct scan number @12 na zitaongezeka kulingana mahitaji ya hospotali
  • Radiotherapy facilities (carbon-ion/proton facility)
  • Icu kubwa inayoweza kubeba wagonjwa 100 na itakuwa na uwezo wa kuongezeka na kufikia wagonjwa 300
  • Laboratory kubwa za kisasa nne na baadae zitaongezeka kama mahitaji yakiongezeka
  • Fumigation itakuwa ya kiwango cha juu sana kwenye campus ya hospitali kutakuwa hakuna mbu, mende, kunguni na panya
  • Mfumo wa maji unaojitegemea hautetegemea mamlaka za maji
  • Standby generator kubwa sana incase of power outage
  • Kiwanja cha ndege
  • Gym kubwa za kisasa kwa ajili ya wagonjwa
  • Hakutakuwa na vumbi ndani ya campus ya hospital kutakuwa na paving na lami
  • Zitakuwa mbali na mji sehemu yenye utulivu
  • Zitakuwa na presidential suits
  • Zitakuwa na vitanda elfu 5 vya wagonjwa vya kisasa
Mikoa itakayojengwa
  1. Katavi
  2. Songea
  3. Lindi
  4. Morogoro
  5. Singida
  6. Biharamulo
  7. Sinyanga
  8. Mbeya
Hospital kubwa za zamani kama muhimbili, kcmc, bugando n.k zitafanyiwa maboresho makubwa sana

Boston Keratoprosthesis (KPro), kwa wale waliomwagiwa tindikali au chemical tofauti machoni huduma hii itakuwa inatolewa hapa Tanzania na gharama zake zitakuwa za chini kuliko sehemu yeyote duniani
 
Thoracic Aortic Dissection Repair kwenye zile hospital nane mpya itakuwa inafanyika na kwa zile za zamani pia kwa bei nafuu sana kuliko sehemu yeyote duniani
 
Craniectomy and Craniotomy surgery itakuwa inafanyika Tanzania na kwa bei nafuu kuliko sehemu yeyote duniani
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Nikiwa Rais kutajengwa hospitali kubwa za kisasa zisizopungua nane (8)
Zitakuwa na sifa zifuatazo;-
  • 7t MRI machine number @4 kwa kila hospital kuanzia na baadae zitaongezeka kulingana na mahitaki
  • Ct scan number @12 na zitaongezeka kulingana mahitaji ya hospotali
  • Radiotherapy facilities (carbon-ion/proton facility)
  • Icu kubwa inayoweza kubeba wagonjwa 100 na itakuwa na uwezo wa kuongezeka na kufikia wagonjwa 300
  • Laboratory kubwa za kisasa nne na baadae zitaongezeka kama mahitaji yakiongezeka
  • Fumigation itakuwa ya kiwango cha juu sana kwenye campus ya hospitali kutakuwa hakuna mbu, mende, kunguni na panya
  • Mfumo wa maji unaojitegemea hautetegemea mamlaka za maji
  • Standby generator kubwa sana incase of power outage
  • Kiwanja cha ndege
  • Gym kubwa za kisasa kwa ajili ya wagonjwa
  • Hakutakuwa na vumbi ndani ya campus ya hospital kutakuwa na paving na lami
  • Zitakuwa mbali na mji sehemu yenye utulivu
  • Zitakuwa na presidential suits
  • Zitakuwa na vitanda elfu 5 vya wagonjwa vya kisasa
Mikoa itakayojengwa
  1. Katavi
  2. Songea
  3. Lindi
  4. Morogoro
  5. Singida
  6. Biharamulo
  7. Sinyanga
  8. Mbeya
Hospital kubwa za zamani kama muhimbili, kcmc, bugando n.k zitafanyiwa maboresho makubwa sana

View attachment 3376603
Kila la kheri Rais wetu mtarajiwa. Mwenyezi Mungu akujalie utimize ndito zako
 
Biharamulo ni mkoa?
 
Una mawazo mazuri sana. Na kuna vitu unavisema humu ina onesha uko kwenye kada ya afya. Tatizo ni moja tu hapo, mbele ya wahuni wa nchi hii, wewe kutoboa mpaka uwe Rais wa Jamhuri hii tutasubili sana. All in all big up.
 
Nina kuhakikishia ntakua Rais wa Tanzania na kwa wewe kukoment unakua sehemu ya kuandika historia mpya ya Tanzania
 
Coronary revascularization itakua inafanyika Tanzania na itakua na gharama nafuu kuliko sehemu yeyote duniani
 
septal myectomy itakuwa inafanyika Tanzania na gharama yake itakuwa ya chini sana kuliko sehemu nyingine inayofanyiwa duniani
 
Back
Top Bottom