kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nchi inapita katika kipindi kibaya kabisa kuwahi kutokea

    NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI ndugu rafiki kaka dada na jamaa zangu Ni Ukweli usiopingika nchi yetu inapita katika kipindi kibaya kabisa kuwahi kutokea katika historia ya nchi hii wengi mtajiuliza Kwanini wengine mtakubaliana na Mimi na wengine mtapinga either kwa hoja matusi kejeri au...
  2. Wakati wa Usajili Yanga ni kipindi cha kutengeneza Pesa kwa wajanja wachache

    Club yangu ya Yanga nmekuwa nikiipenda toka mwaka 1980s wengi wakiwa wadogo ama hawajazaliwa. Nikiwa mwanachama halali mpaka leo hii zaidi ya miaka 40. Naifahamu Yanga kiasi fulani ambacho kinanipa nafasi ya kusimamia ninachoamini pasipo kuyumba. Nimekuwa mara nyingi nikisema Uhuni ambao...
  3. Watanzania hatuna Shukrani. Kuna Kipindi Tushukuru kwa haya

    Hatuna jema. Hatuna msimamo hatujui tunataka nini. Kipindi cha Kikwete tulisema Tanzania ili iendelee inataka Rais Mbabe/ Dikteta maana ina uswahili swahili mwingi sana. Akapatikana tukaanza tena sema hafai si dikteta kamili. Ni Uchwara. Akafariki. Akaja Rais Samia huyu yeye ni mpole anaongea...
  4. Mwanasaikolojia mahiri wa Kipindi cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One Dkt. Charity Xavery atoa Ukweli Mchungu

    Akizungumza 'mubashara' kabisa katika Kipindi Bora kabisa cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One kinachoruka kila Siku za Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu asubuhi hadi Saa 4 Kamili asubuhi, Mwanasaikolojia Mwalikwa Dkt. Charity Xavery leo ametoa kitu Kiitwacho Ukweli Mchungu kwa Wasikilizaji...
  5. C

    Kuna pumba zinaongelewa sasa hivi East African radio kipindi cha michezo

    Dah inatisha kwa kweli wanachambua mshahara wa Messi kuna jamaa anasema kwamba mshahara wa mwezi wa Messi una finance bajeti ya nchi ya Tanzania, dah nimejisikia hata kulia inakuwaje watu ma genius kama sisi hatuna ajira halafu vilaza wako kwenye media wanaongea pumba. Eti bajeti ya tanzania ni...
  6. Watanzania tunapitia kipindi kigumu kiuchumi kuwahi kutokea

    Binafsi kwa upande wangu na wanaonizinguka wote hali mbaya zaidi kiuchumi! Hakuna biashara yani full mdororo ila ndiyo kwanza naona EWURA wanapandisha bei za mafuta na mitungi ya Gas nayo inapenda bei huku hali za kibiashara zikiendelea kudorola kabisa kabisa. Unaweza sema Hayati aliharibu...
  7. Hivi sindano au sylinge kama hii zimetengenezwa kwa matumizi gani ktk kipindi hiki cha kudungana vijanjo vya majaribio?

  8. Sanga mbunge wa Makete ni Mwalimu wa wale Wabunge wa kipindi kimoja

    MHE SANGA ANAJARIBU KUWAFUNDISHA WABUNGE WA MUDA MFUPI. Na Elius Ndabila Ninawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni muda muda kidogo sijaandika kama nilivyokuwa nafanya mwanzo. Yapo majukumu ambayo yamenibana nakosa nafasi nzuri ya kuwa kwenye social network kama hizi...
  9. C

    Kevin-Prince Boateng:′′ Nilinunua magari matatu kwa siku moja nikiwa Tottenham: Lamborghini, Hummer, na Cadillac lakini sikuwahi kua na Furaha

    Lamborghini, Hummer, na Cadillac. Lakini kwa kipindi chote nilichokaa Tottenham nlishindwa kununua FURAHA. Furaha pekee ndo ilinifanya niondoke Tottenham na kwenda kuitafuta sehemu nyengine. Swali kwako how far can you go for find of happiness and what cost u can pay for your happiness?
  10. Mwijaku acha kushika mikono wake za watu unapoendesha kipindi chako

    Wakuu Kwema! Vijana katika utafutaji ni vizuri kuelekezana ili kufanya kazi zetu zizidi kuwa na manufaa. Katika hilo, nimeona nimshauri na kumuelekeza Ndugu Mwijaku kuwa aache Kushika Mikono wake za watu anapoendesha kipindi chake yeye na Ndugu Soudy. Hii tabia anaweza akaiona ni yakawaida...
  11. Serikali ijitathimini, kuna wimbi kubwa la vijana kuacha kazi ndani ya kipindi hiki cha miaka 7

    Nina washkaji zangu kadhaa nilisoma nao wameacha kazi za serikali. Na jana nimekutana na mwanangu nilikua nae room moja chuo ameniambia ameacha kazi aliyokua anaifanya huko serikalini. Nilipomhoji akanambia ishu ni maslahi ilihali muda mwingi anautumia kazini, hata muda wa kufanya shuguli...
  12. Kufanya biashara kipindi hiki ni kigumu kuliko kwenye madaftari

    Habari za leo ndugu,natumaini u mzima. Aisee kwa mimi kufanya biashara kipindi hiki naona ngumu sana tofauti na tulivyodhania kwamba pesa itaonekana mtaani, jambo lililopo ni pesa inaonekana ila vitu vipo juu sana kiasi kwamba unabaki kushangaa nchi inaenda wapi na viongozi wanafanya nini zaidi...
  13. Tozo za simu kuondolewa ni nini hatima ya bajeti kuu ya Serikali Kwa kipindi Cha 2021/22

    Ni nini hatima ya bajeti Kuu ya serikali baada ya kuondolewa Kwa tozo za simu? Ni nini hatima ya miradi ya maendeleo ndani ya Halmashauri nchini? Ni nini hatima ya miradi mikubwa mfano SGR? Ni nini hatima ya wabunge wa CCM kwenye majimbo Yao Kwa kashfa hii ya tozo za simu? Ni nini hatima ya...
  14. Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita

    Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita kilichoanzia mwezi Januari mwaka huu. Kutokana na kitendo hicho cha ukatili wa kijinsia, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis, ameagiza...
  15. Kipimo cha DNA kingekuwepo kipindi cha kuzaliwa Yesu kristo, wangethubutu kusema na kuandika haya waliyoyaandika juu ya zilipotoka ‘chromosome’ 23?

    Binadamu huwa na ‘Chromosome’ 46 katika kila kiini cha seli ya mwili wake, 23 hutoka kwa mama na 23 hutoka kwa baba. Na ukipima kwa kulinganisha na za baba yake na mama yake unaweza kudhibitisha au kukanusha juu ya baba/ mama kuwa ni wake kweli au ni wa kusingiziwa. Sasa je, tungepima za Yesu...
  16. UN: Watu 1,146 wamefariki kwa kipindi cha Januari hadi Juni wakijaribu kuzamia Ulaya

    Umoja wa Mataifa (UN) umeripoti jumal ya watu 1146 kufariki wakijaribu kufika Ulaya kwa kuzamia kwenye safari za bahari ya Antlantik na Mediterania Namba hii ni zaidi ya mara mbili ya idadi iliyorekodiwa mwaka jana. Huku wakisema idadi inaweza kuwa kubwa zaidi kwa kuwa kuna ajali nyingi za meli...
  17. Kipi ni Kipindi bora cha burudani kwasasa kati ya Empire (EFM), The Switch (Wasafi FM) au XXL (Clouds FM)?

    Waungwana salam, kichwa cha habari kinajieleza, Kwasasa nchini Tanzania ni kipindi gani bora cha burudani kati ya: 1. Empire cha EFM kinachoendeshwa na B dozen na Jonijo 2. The Switch cha Wasafi FM kinachoendeshwa na The Real Ommy, Ammy Gal na mshana au 3. XXL cha Clouds FM cha kina mchomvu...
  18. Abdul Kambaya kuunguruma kipindi cha Malumbano ya Hoja Julai 1, 2021

    MALUMBANO YA HOJA KESHO ALHAMISI BINGWA WA KUJENGA HOJA NCHINI PIA NI MJUMBE WA BARAZA KUU LA CUF TAIFA, MHE. ABDUL KAMBAYA ATAKUWA KATIKA KIPINDI CHA MALUMBANO YA HOJA KATIKA TELEVISION YA ITV SAA 3:00 USIKU KESHO SIKU YA ALHAMIS USIKOSE KUFATILIA
  19. Enzi za Dkt. Bashiru kabla hajaonja ladha ya Madaraka

    Nawasalimia wana jukwaa la Great Thinkers! Kuna usemi unasema siku hizi ogopa Mungu na Technolojia. Hii imekuja kuwaumbua watu wengi sana ambao walisema mambo tofauti na mambo ambayo walikuja kuyaishi baadae. Dk. Bashiru Ally alikuwa muumini mkubwa sana wa katiba mpya na alipinga kwa nguvu...
  20. Kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza MZUMBE mjomba alinihusia swala la kusave bumu

    Habarini za leo wakuu, Wakuu hivi ninyi mlishawahi fanikiwa kusave hela za Bumu zikawatoa. Binafsi mimi kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza pale MZUMBE mjomba alinihusia sana swala la kusave bumu. Aliniita varandani akanisisitiza sana mjomba chondechonde ukipata Bumu uwe unalisave...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…