Kipimo cha DNA kingekuwepo kipindi cha kuzaliwa Yesu kristo, wangethubutu kusema na kuandika haya waliyoyaandika juu ya zilipotoka ‘chromosome’ 23?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,059
40,723
Binadamu huwa na ‘Chromosome’ 46 katika kila kiini cha seli ya mwili wake, 23 hutoka kwa mama na 23 hutoka kwa baba. Na ukipima kwa kulinganisha na za baba yake na mama yake unaweza kudhibitisha au kukanusha juu ya baba/ mama kuwa ni wake kweli au ni wa kusingiziwa.

Sasa je, tungepima za Yesu Kristo, naamini 23 tungekuta ni za mama yake wa kumzaa, sasa je, zile 23 za upande wa pili tungekuta ni za nani? Maana lazima ziwepo, otherwise mwili physical aliokuwa nao usingeweza kutengenezeka na kuwepo.

Tutafakari.
 
Tutafakari...
Za roho mtakatifu
 
Back
Top Bottom