kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu inapita kwenye kipindi ambacho sio kirahisi

    Salam, Nafikiri sio wote tunaweza kufanana namna ya kuona,lakini wapo tutakao kubaliana kama nchi,tunapita mahali pa tension ya aina yake. Maeneo mengi ya maisha yameguswa kwa namna yake.Dini,siasa,uchumi,afya saikolojia,mpaka kwenye social media,tension inayotokana na kipindi ambacho...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kipindi maalumu kuhusu harakati za kupigania Uhuru wa Tanganyika

    KIPINDI MAALUM KUHUSU HARAKATI ZA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA 1954 - 1961 Swahili Villa on line TV ya Washington DC wamefanya Kipindi Maalum na Mwanahistoria Mohamed Said kuhusu harakati za kudai uhuru wa Tangayika kati ya 1954 - 1961. Mohamed Said ameeleza yale mengi ambayo wanahistoria...
  3. Poa 2

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, hiki ndio kipindi cha kuandaa makongamano mengi ya Katiba Mpya

    Ni wazi kabisa kwamba Serikali (CCM) imedhamiria kufubaza harakati za kudai katiba mpya Tena kwa nguvu zote, na hii ndio maana ya kumbambika mbowe kesi ya Ugaidi. Lengo lao kubwa ni kuwatisha Ili mpunguze Kasi, Kesi ya mbowe itapigwa danadana Sana mpaka pale ninyi mtakapo ishurutisha serikali...
  4. Molleli

    JamiiForums Tanzania Nashangaa kwenye daladala tunahimizwa kuvaa barakoa ili hali Waukae festival lile nyomi hakuna hata alovaa barakoa!

    Nahisi siasa imetumaliza wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa hasa iki kipindi cha uviko 19 naona kama viongozi wetu wanawaza ujinga badala ya kufanya kazi za misingi kwa taifa letu. Poor us
  5. MSHINO

    JamiiForums Tanzania Nikiona kipindi kwenye TV nazima; nasumbuliwa na ugonjwa gani?

    Wakuu habari za mchana, mimi siyo mpenzi wa siasa wala mfuasi wa chama chochote, huko nyuma niliwahi kufuatilia siasa nikaanza kukipenda sera za vyama vya upinzani hasa kipindi kile cha kuibuliwa kwa ufisadi wa RICHMOND, ECROW ACCOUNT, MELEMETA, TEGETA ECROW NA NK. Baada ya aliekuwa waziri mkuu...
  6. bernard10

    JamiiForums Tanzania Nchi inapita katika kipindi kibaya kabisa kuwahi kutokea

    NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI ndugu rafiki kaka dada na jamaa zangu Ni Ukweli usiopingika nchi yetu inapita katika kipindi kibaya kabisa kuwahi kutokea katika historia ya nchi hii wengi mtajiuliza Kwanini wengine mtakubaliana na Mimi na wengine mtapinga either kwa hoja matusi kejeri au...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Usajili Yanga ni kipindi cha kutengeneza Pesa kwa wajanja wachache

    Club yangu ya Yanga nmekuwa nikiipenda toka mwaka 1980s wengi wakiwa wadogo ama hawajazaliwa. Nikiwa mwanachama halali mpaka leo hii zaidi ya miaka 40. Naifahamu Yanga kiasi fulani ambacho kinanipa nafasi ya kusimamia ninachoamini pasipo kuyumba. Nimekuwa mara nyingi nikisema Uhuni ambao...
  8. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatuna Shukrani. Kuna Kipindi Tushukuru kwa haya

    Hatuna jema. Hatuna msimamo hatujui tunataka nini. Kipindi cha Kikwete tulisema Tanzania ili iendelee inataka Rais Mbabe/ Dikteta maana ina uswahili swahili mwingi sana. Akapatikana tukaanza tena sema hafai si dikteta kamili. Ni Uchwara. Akafariki. Akaja Rais Samia huyu yeye ni mpole anaongea...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwanasaikolojia mahiri wa Kipindi cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One Dkt. Charity Xavery atoa Ukweli Mchungu

    Akizungumza 'mubashara' kabisa katika Kipindi Bora kabisa cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One kinachoruka kila Siku za Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu asubuhi hadi Saa 4 Kamili asubuhi, Mwanasaikolojia Mwalikwa Dkt. Charity Xavery leo ametoa kitu Kiitwacho Ukweli Mchungu kwa Wasikilizaji...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kuna pumba zinaongelewa sasa hivi East African radio kipindi cha michezo

    Dah inatisha kwa kweli wanachambua mshahara wa Messi kuna jamaa anasema kwamba mshahara wa mwezi wa Messi una finance bajeti ya nchi ya Tanzania, dah nimejisikia hata kulia inakuwaje watu ma genius kama sisi hatuna ajira halafu vilaza wako kwenye media wanaongea pumba. Eti bajeti ya tanzania ni...
  11. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunapitia kipindi kigumu kiuchumi kuwahi kutokea

    Binafsi kwa upande wangu na wanaonizinguka wote hali mbaya zaidi kiuchumi! Hakuna biashara yani full mdororo ila ndiyo kwanza naona EWURA wanapandisha bei za mafuta na mitungi ya Gas nayo inapenda bei huku hali za kibiashara zikiendelea kudorola kabisa kabisa. Unaweza sema Hayati aliharibu...
  12. Hero

    JamiiForums Tanzania Hivi sindano au sylinge kama hii zimetengenezwa kwa matumizi gani ktk kipindi hiki cha kudungana vijanjo vya majaribio?

  13. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Sanga mbunge wa Makete ni Mwalimu wa wale Wabunge wa kipindi kimoja

    MHE SANGA ANAJARIBU KUWAFUNDISHA WABUNGE WA MUDA MFUPI. Na Elius Ndabila Ninawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni muda muda kidogo sijaandika kama nilivyokuwa nafanya mwanzo. Yapo majukumu ambayo yamenibana nakosa nafasi nzuri ya kuwa kwenye social network kama hizi...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kevin-Prince Boateng:′′ Nilinunua magari matatu kwa siku moja nikiwa Tottenham: Lamborghini, Hummer, na Cadillac lakini sikuwahi kua na Furaha

    Lamborghini, Hummer, na Cadillac. Lakini kwa kipindi chote nilichokaa Tottenham nlishindwa kununua FURAHA. Furaha pekee ndo ilinifanya niondoke Tottenham na kwenda kuitafuta sehemu nyengine. Swali kwako how far can you go for find of happiness and what cost u can pay for your happiness?
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwijaku acha kushika mikono wake za watu unapoendesha kipindi chako

    Wakuu Kwema! Vijana katika utafutaji ni vizuri kuelekezana ili kufanya kazi zetu zizidi kuwa na manufaa. Katika hilo, nimeona nimshauri na kumuelekeza Ndugu Mwijaku kuwa aache Kushika Mikono wake za watu anapoendesha kipindi chake yeye na Ndugu Soudy. Hii tabia anaweza akaiona ni yakawaida...
  16. DustBin

    JamiiForums Tanzania Serikali ijitathimini, kuna wimbi kubwa la vijana kuacha kazi ndani ya kipindi hiki cha miaka 7

    Nina washkaji zangu kadhaa nilisoma nao wameacha kazi za serikali. Na jana nimekutana na mwanangu nilikua nae room moja chuo ameniambia ameacha kazi aliyokua anaifanya huko serikalini. Nilipomhoji akanambia ishu ni maslahi ilihali muda mwingi anautumia kazini, hata muda wa kufanya shuguli...
  17. monga farm

    JamiiForums Tanzania Kufanya biashara kipindi hiki ni kigumu kuliko kwenye madaftari

    Habari za leo ndugu,natumaini u mzima. Aisee kwa mimi kufanya biashara kipindi hiki naona ngumu sana tofauti na tulivyodhania kwamba pesa itaonekana mtaani, jambo lililopo ni pesa inaonekana ila vitu vipo juu sana kiasi kwamba unabaki kushangaa nchi inaenda wapi na viongozi wanafanya nini zaidi...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tozo za simu kuondolewa ni nini hatima ya bajeti kuu ya Serikali Kwa kipindi Cha 2021/22

    Ni nini hatima ya bajeti Kuu ya serikali baada ya kuondolewa Kwa tozo za simu? Ni nini hatima ya miradi ya maendeleo ndani ya Halmashauri nchini? Ni nini hatima ya miradi mikubwa mfano SGR? Ni nini hatima ya wabunge wa CCM kwenye majimbo Yao Kwa kashfa hii ya tozo za simu? Ni nini hatima ya...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita

    Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita kilichoanzia mwezi Januari mwaka huu. Kutokana na kitendo hicho cha ukatili wa kijinsia, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis, ameagiza...
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha DNA kingekuwepo kipindi cha kuzaliwa Yesu kristo, wangethubutu kusema na kuandika haya waliyoyaandika juu ya zilipotoka ‘chromosome’ 23?

    Binadamu huwa na ‘Chromosome’ 46 katika kila kiini cha seli ya mwili wake, 23 hutoka kwa mama na 23 hutoka kwa baba. Na ukipima kwa kulinganisha na za baba yake na mama yake unaweza kudhibitisha au kukanusha juu ya baba/ mama kuwa ni wake kweli au ni wa kusingiziwa. Sasa je, tungepima za Yesu...
Back
Top Bottom