INAUZWA Mlango wa Kioo wa Aluminium wa frame(used)

Mshimba1971

Member
Dec 13, 2021
75
66
Nauza mlango wa Kioo (Aluminium) mahususi kwa kupachikwa kwenye fremu ya biasharaSize: Futi 7 kwa futi 7.

Umetumika kwenye frame ya bucha kwa muda mfupi wa miezi 3 tu, bei ni TZS. 150,000 Tu. Unaofaa kwa matumizi ya frem ya biashara kama salon, butcher n.k

Napatikana Dar es salaam, Bunju B Piga 0767 72 73 88.

mlangpo 1.jpeg
mlango 2.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom