I igihumbi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2017 Posts 578 Reaction score 575 Feb 19, 2022 #1 kitanda na meza vinauzwa bado vipo kwenye hali nzuri. Nauza vyote kwa pamoja bei sawa na bure tsh 160000 . kwa atakae hitaji kitanda tu 120000 meza tu 60000. vipo dar mbagala sabasaba . 0657 623266 0694185384
kitanda na meza vinauzwa bado vipo kwenye hali nzuri. Nauza vyote kwa pamoja bei sawa na bure tsh 160000 . kwa atakae hitaji kitanda tu 120000 meza tu 60000. vipo dar mbagala sabasaba . 0657 623266 0694185384
Dr wa Kaliua JF-Expert Member Joined Sep 20, 2020 Posts 1,634 Reaction score 3,880 Feb 19, 2022 #2 Picha Hazifunguki
I igihumbi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2017 Posts 578 Reaction score 575 Feb 19, 2022 Thread starter #3 Mtoto wa Masikini_Tz said: Picha Hazifunguki Click to expand... karibu mkuu natumaini picha umeziona maongezi yapo kuhusu bei karibu sana.
Mtoto wa Masikini_Tz said: Picha Hazifunguki Click to expand... karibu mkuu natumaini picha umeziona maongezi yapo kuhusu bei karibu sana.
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,709 Reaction score 23,146 Feb 19, 2022 #4 Vitanda vya type hiyo huwa vinapigaga makelele wakati wa show
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 6,722 Reaction score 16,068 Feb 19, 2022 #5 Hicho kitanda hata bure sichukui.....kuhusu meza fundi yuko ananitengenezea kama hii
I igihumbi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2017 Posts 578 Reaction score 575 Feb 20, 2022 Thread starter #6 MWENYE LAKI MOJA AJE LEO VYOTE NAMUUZIA KWA 100000 PIGA 0657623266 au 0694185384
I igihumbi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2017 Posts 578 Reaction score 575 Feb 20, 2022 Thread starter #7 Mwenye laki moja aje achukue leo
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,667 Reaction score 13,876 Feb 20, 2022 #8 Vingekuwa dodoma ningechukua
Dr wa Kaliua JF-Expert Member Joined Sep 20, 2020 Posts 1,634 Reaction score 3,880 Feb 20, 2022 #9 Nina Elfu Hamsini hapa! Vipi nije au niifanyie Mambo mengine?
I igihumbi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2017 Posts 578 Reaction score 575 Feb 20, 2022 Thread starter #10 Mwizukulu mgikuru said: Hicho kitanda hata bure sichukui.....kuhusu meza fundi yuko ananitengenezea kama hii View attachment 2124313 Click to expand... acha tabia za kike sawa
Mwizukulu mgikuru said: Hicho kitanda hata bure sichukui.....kuhusu meza fundi yuko ananitengenezea kama hii View attachment 2124313 Click to expand... acha tabia za kike sawa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,362 Reaction score 195,178 Feb 20, 2022 #11 Ahsante kwa taarifa...
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,415 Reaction score 29,399 Feb 20, 2022 #12 Bado vipo?
mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 7,531 Reaction score 10,155 Feb 20, 2022 #13 Visha uzwa