Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 1,815
- 3,637
Habari nyingi kwenu.
Huwa nafanya jambo hili sana ila sijui nini maana yake...
Kuna wakati naamua kuitazama sura yangu kwenye kioo kama sekunde 30 hadi dakika moja baada ya hapo naona sura inabadilika na kuwa ni sura ya kutisha sana..
Wakuu sasa naomba mwenye uelewa wa hili jambo anijue na hii sio mimi tu naamini ni kwa viumbe vyote binadamu wanya hadi wadudu.
Kama huamini fanya sasa hivi jaribio hili la kujitazama usoni muda mrefu lazima sura yako itabadilika tu.
Naomba kuelimishwa juu ya hili.