Stand kuu ya mabasi kukosa huduma ya choo kwa masaa zaidi ya sita kwa kisingizio za kutokuwa na maji ni uwendawazimu, hiki ni kioo Cha nchi

Bepari la bariadi

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
420
673
Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa suluhisho la muda mfupi kama kujaza ndoo
Uzembe huu hauhitaji hata kuwa na elimu ya darasa la nne ili kutatua tatizo Kama hili.
Nikweli tumefikia level ya upumbavu huu?
Milipuko ya mangojwa ya kuambukiza Kweli tutaweza kuwadhibiti kwa mentality za kijinga hivi?
 
Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kama hii kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa suluhisho la muda mfupi kama kujaza ndoo
Uzembe huu hauhitaji hata kuwa na elimu ya darasa la nne ili kutatua tatizo Kama hili.
Nikweli tumefikia level ya upumbavu huu?
Milipuko ya mangojwa ya kuambukiza Kweli tutaweza kuwadhibiti kwa mentality za kijinga hivi?
Unasema stendi ipo Kigoma?
 
Katika vitu nimegundua hatujali sisi waswahili ni choo. Unakuta choo kiko mahali pa umma lakini ni pachafu kupita maelezo. Unakuta watu wamevaa masuti mazito mazito lakini hivyo vyoo wanavyoenda kujisaidia ni bonge la aibu.
 
Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa suluhisho la muda mfupi kama kujaza ndoo
Uzembe huu hauhitaji hata kuwa na elimu ya darasa la nne ili kutatua tatizo Kama hili.
Nikweli tumefikia level ya upumbavu huu?
Milipuko ya mangojwa ya kuambukiza Kweli tutaweza kuwadhibiti kwa mentality za kijinga hivi?
Unashangaa hilo,Stand ya Mkoa wa Rukwa haina hiyo huduma kabisaa ndio utaelewa
 
Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa suluhisho la muda mfupi kama kujaza ndoo
Uzembe huu hauhitaji hata kuwa na elimu ya darasa la nne ili kutatua tatizo Kama hili.
Nikweli tumefikia level ya upumbavu huu?
Milipuko ya mangojwa ya kuambukiza Kweli tutaweza kuwadhibiti kwa mentality za kijinga hivi?
Kwa Tanzania ningeshangaa sana kama sehemu kama hiyo stendi ingeendeshwa bila kutokea kasoro za kizembe namna hii. Mnashangaa utamaduni ambao tumejiwekea wenyewe. Uzembe na kutowajibika ndiyo utamaduni wetu hivyo msishangae. Bila kubadili mfumo ni bure. Inatakiwa tuwe na mfumo ambao uzembe kama huu ukitokea kesho yake wahusika wote wanafukuzwa kazi.
 
Katika vitu nimegundua hatujali sisi waswahili ni choo. Unakuta choo kiko mahali pa umma lakini ni pachafu kupita maelezo. Unakuta watu wamevaa masuti mazito mazito lakini hivyo vyoo wanavyoenda kujisaidia ni bonge la aibu.
Chooni kuwa sehemu chafu kabisa yenye kinyaa ni utamaduni ambao tumeujenga siku nyingi na kuja kuuondoa itachukuwa muda mrefu sana. Utashangaa hata nyumbani kwa watu wameshaamua vyooni ni sehemu inayostahili iwe chafu. Na funga kazi ya yote unakuta kila choo unachoingia kinakuwa na ndoo moja iliyojazwa maji na kopo kwa pembeni eti ni maji ya kutawazia!! Kila mtu baada ya kujisaidia anachovya kopo ndani ya choo halafu anafanya shughuli yake. Ni kinyaa!!!! Ni chafu wa hali ya juu huu!!! NB: Sabuni, bomba la kunawa mikono na toilet paper ni vitu vilivyopigwa marufuku kwenye vyoo vingi vya Bongo.
 
Katika vitu nimegundua hatujali sisi waswahili ni choo. Unakuta choo kiko mahali pa umma lakini ni pachafu kupita maelezo. Unakuta watu wamevaa masuti mazito mazito lakini hivyo vyoo wanavyoenda kujisaidia ni bonge la aibu.
Choo ndio kipimo cha akili ya mtu
 
Mwenye jina la hiyo stendi alilalamikiwa na mwananchi mmoja siku ya uzinduzi kuwa "bei iko juu sana ya malipo ya huduma ya choo". Majibu aliyoyatoa baba yule hapa hata siwezi kuyaandika
 
You can imagine mtu na nyumba yake moja anakiwa na visima hata viwili Sasa stand kama hii inainginza how much per hour?
Familia isiyozidi watu 10 inakuwa hata na vyanzo zaidi ya vinne vya maji;
a. Kisima cha maji yaliyovunwa ya mvua
b. Kisima kifupi cha kuchimba chini
c. Kisima kirefu cha kuchimbwa na mashine
d. Maji bombard yanagosambazwa na mamlaka za maji za mahala husika
e. Lambo kubwa linaloingiza maki wakati wa mvua na visima vya kuhifadhi maji vya muda

Sasa stendi yenye mapato daily inakosaje maji jaman for those hours????

Hii ni ajabu!!!!
 
Tatizo nyie waha huwa mnatembea na viporo, umekula ukaanza kuharisha kabla hata safari haijaanza
 
Back
Top Bottom