Natafuta kioo cha TCL Smart Frameless Inch 65

Chura

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
1,425
Reaction score
2,528
Habari wakubwa kichwa cha habari chajieleza, napesa mfuko wa shati laki 6 nashida na kioo cha TV Tajwa hapo juu, Deler kaniambia kinauzwa 1.1M kwa kweli nimeshindwa.

Kwa mwenye nacho hata cha mchongo isizidi laki 6 anicheki asante.
 
Nunuwa TV nyingine mpya Kwa laki 8

Simu ndio tunabadirishaga vioo lakini siyo tv.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom