Wanajamvi kwa kumbukumbu zangu ni mwaka wa nne sasa tangu uzi wa namna hii uletwe hapa jamvini kama nitakosea mnirekebishe lakini jambo muhimu ni maudhui ya uzi huu.
Mpaka wetu ulioachwa na Hayati Baba wa Taifa umehamishwa kinyamela na viongozi woote hasa Mawaziri wamelala bila kushughulikia utatuzi wa huu mpaka. Ukiangalia Google Map inasoma mpaka upo kwenye Ardhi ya Tanzania badala ya kupita katikati ya Ziwa Nyasa.
Kama ndiyo hivyo basi watuambie kama wameishauza nchi kwenye mamlaka za nchi ya Malawi. Nchi ilyoachwa na Baba wa Taifa imeshamegwa bila viongozi kushughulikia. Mzee Palamagamba Aidani Kabudi unajua sana historia za mabila ya Tanzania na nchi jirani unasahau historia ya mpaka wa nchi yako ya Tanzania?