TANZIA: Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Pentecoste Mwananyamala jijini Dar-es-Salaam, Dkt. Nasobile Mwanjela afariki dunia

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Mchungaji kiongozi wa kanisa la Pentecoste Mwananyamaa jijini Dar es Salaam Dr.Nasobile Mwanjejele amefariki dunia.

1588717244867.png
 
Hivi vifo vimekuwa vingi sana. Hii siyo kawaida.

Hata kama wagonjwa walikuwa na kansa wakapitiwa na kale kaupepo siku mbili za mwisho, si sahihi sana kusema walikufa kwa kansa.

Tokea jana tu hata humu jf tanzia, tanzia jamani twaisha! Hili halina chama.

Viongozi wa dini, marais wastaafu, wenye access na mzee baba hata kwa SMS semeni naye. Jitihada ya kuokoa maisha ina thawabu kubwa hata kwa maulana.
 
Ngoja wapunguwe tyuu covid 19 siyo imekuja kuwaumbuwa na uwepo wa mungu wanayempigia tuu makele,,,
 
Back
Top Bottom