Kulewa chakari kwa kiongozi wa umma

Kulewa chakari kwa kiongozi wa umma

Ngamanya Kitangalala

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
501
Reaction score
1,214
Ukisoma sheria ya maadili ya viongozi wa umma(The public leadership code of ethics act, 1998 ) kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni(mbunge) ni kiongozi wa umma(Public leader)

Kwa nafasi yake kama kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, ana haki sawa na kiongozi wa shughuli za serikali bungeni (Waziri Mkuu)

Sasa kulewa chakari kwa kiongozi wa umma, saa tisa usiku wa manane,tena wakati vikao ya bunge vikiendelea, inaweza isiwe kosa kisheria(legality)

Lakini kwa kiongozi wa umma kulewa chakari, hapa kuna issue ya INTEGRITY.

Kwa hili kuna haja kwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, kujitafakari kwa tabia hiyo ya ulevi.
 
Chadema itawatesa sana tena mtu mmoja tu.
Anasingizia serikali, angesema ukweli haya yote yasingetokea.
JamiiForums1132841034_148x256.jpg
IMG-20200612-WA0012.jpg
JamiiForums-1006856497_357x433.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwa kutambua hilo, jitihada zimefanywa kusingizia wasiojulikana.
 
Ukisoma sheria ya maadili ya viongozi wa umma(The public leadership code of ethics act, 1998 ) kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni(mbunge) ni kiongozi wa umma(Public leader)

Kwa nafasi yake kama kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, ana haki sawa na kiongozi wa shughuli za serikali bungeni (Waziri Mkuu)

Sasa kulewa chakari kwa kiongozi wa umma, saa tisa usiku wa manane,tena wakati vikao ya bunge vikiendelea, inaweza isiwe kosa kisheria(legality)

Lakini kwa kiongozi wa umma kulewa chakari, hapa kuna issue ya INTEGRITY.

Kwa hili kuna haja kwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, kujitafakari kwa tabia hiyo ya ulevi.
umeingia mkenge mno ! unawaamini polisi ?
MSAMEHEWA WETU 2014  Meneja Utawala na Rasilimali wa Jeshi la Polisi Kamishna Th ( 426 X 640 ).jpg

- KumbukiziMTAFUTANO.jpg
 
  • Kicheko
Reactions: Sax
Mbowe kachoma chama
Ccm yote inasumbuliwa na mtu mmoja tu Freeman Aikaeli Mbowe, huyu jamaa anawakosesha usingizi usalama wa taifu na maelfu ya wanasiasa wanaoitumia ccm kama kampuni binafsi.
 
Machinery nzima ya CCM,imejaa vilaza watupu,inawezekana vp system nzima mnasumbuliwa na Mbowe?
Kama chadema wasio na jeshi,wanawasumbua hivi,je nchi zilizotuzunguka,zenye majeshi na idara za kijasusi,sizitakuwa zimeishaifanya nchi yetu shamba la bibi?
 
Ukisoma sheria ya maadili ya viongozi wa umma(The public leadership code of ethics act, 1998 ) kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni(mbunge) ni kiongozi wa umma(Public leader)

Kwa nafasi yake kama kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, ana haki sawa na kiongozi wa shughuli za serikali bungeni (Waziri Mkuu)

Sasa kulewa chakari kwa kiongozi wa umma, saa tisa usiku wa manane,tena wakati vikao ya bunge vikiendelea, inaweza isiwe kosa kisheria(legality)

Lakini kwa kiongozi wa umma kulewa chakari, hapa kuna issue ya INTEGRITY.

Kwa hili kuna haja kwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, kujitafakari kwa tabia hiyo ya ulevi.
Jaribu kujiuliza kwa nini mle ndani ya kota zao kunakuwa na grocery ilojaa mapombe makali makali tuu
 
Chadema itawatesa sana tena mtu mmoja tu.
Kiongozi wa Umma. Analipwa na kutunzwa kwa fedha za walipa Kodi.
Amepewa heshima na Hadhi kubwa. KUB sio mchezo ni Prime Minister kivuli.
Sio kapuku hapana.
 
Machinery nzima ya CCM,imejaa vilaza watupu,inawezekana vp system nzima mnasumbuliwa na Mbowe?
Kama chadema wasio na jeshi,wanawasumbua hivi,je nchi zilizotuzunguka,zenye majeshi na idara za kijasusi,sizitakuwa zimeishaifanya nchi yetu shamba la bibi?
Waulize M23 na wapambe wake.
Nenda Darfur kaulize.
 
Ukisoma sheria ya maadili ya viongozi wa umma(The public leadership code of ethics act, 1998 ) kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni(mbunge) ni kiongozi wa umma(Public leader)

Kwa nafasi yake kama kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, ana haki sawa na kiongozi wa shughuli za serikali bungeni (Waziri Mkuu)

Sasa kulewa chakari kwa kiongozi wa umma, saa tisa usiku wa manane,tena wakati vikao ya bunge vikiendelea, inaweza isiwe kosa kisheria(legality)

Lakini kwa kiongozi wa umma kulewa chakari, hapa kuna issue ya INTEGRITY.

Kwa hili kuna haja kwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, kujitafakari kwa tabia hiyo ya ulevi.
Mlevi ni bab..
 
Back
Top Bottom