Nini adhabu ya kiongozi anaye dharau katiba?

kagoshima

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,631
5,137
Labda tumuache Rais ambaye naambiwa hawezi shitakiwa kwa muujibu wa katiba yetu ya sasa. Je kiongozi mwingine yeyote anaye dharau katiba waziwazi nini huwa adhabu yake wadau. Nataka angalau nijue .

Labda hakuna adhabu yoyote ndo maana Mr Ndugai anaikanyaga katiba mchana kweupe. Na kama Luna adhabu no zipi tufahamishane ndugu zangu.

Kwenye hii miaka mitano tumepata sura kamili ya utawala usiofwata sheria kuanzia ikuru , bungeni hata kwenye vyombo vya dola. Je haya yote yatapita tu hivi hivi barua hatua zozote kuchukuliwa? Na kama zipo ni zipi
 
Tulikosea mahali 2015.
 
Back
Top Bottom