kinyerezi

Kinyerezi is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 5,811.

View More On Wikipedia.org
  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mradi wa kuzalisha umeme kupitia gesi asilia wa Kinyerezi One

    Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020- 2025, Ibara ya 63(i)(c) imeelekeza Kukamilisha ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi I – Extension (MW 185). Mradi huu sasa umekamilika ambapo mitambo yote minne (4) imewashwa na inachangia Megawati 185 katika Gridi ya Taifa...
  2. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Kinyerezi: 2 Storeys 4 Bedrooms House For Sale - Dar

    • Direction: Kinyerezi • Facilities: 4 bedrooms, 2 washrooms • Plot Area: 940 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 320 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ nyumba (ghorofa) ina vyumba master 2 na kawaida 2; sebule, dining, jiko, stoo, choo ya public na bindo ✓ ina malumalu, gypsum...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

    Naombeni sapoti yenu. Nimefungua Pub yangu Kinyerezi Mahakamani (Mnadani) inaitwa Run way pub. Asanteni Pia karibuni sana.
  4. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mpangaji wa nyumba kwa taasisi au Dispensary, nyumba ipo Kinyerezi mwisho.

    Anahitajika mpangaji binafsi au taasisi kwa ajili ya kupanga nyumba kubwa yenye fence kubwa ya viwanja viwili double vya low density. Eneo ni Kinyerezi mwisho bomba la Songazi ni mita kama 200 kutoka barabara kuu lami. Matumizi unaweza kufanya ofisi au Dispensary itategemea na plan za...
  5. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kuna sehemu inaitwa Kinyerezi Park, ni classic sana, ila kwanini haifahamiki?

    Nimepita hapo. Watu ni wasiri sana, Hivi ni mimi tu ndio nilikuwa sipafahamu hapo au?
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UWT Mkoa wa Dar, Cde. Mwajabu Mbwambo Ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani Kituo cha Afya Kinyerezi

    📌Kituo cha Afya Kinyerezi 🗒️15/5/2024 Mwenyekiti Uwt Mkoa Dar es salaam Mwajabu Rajabu Mbwambo ameungana na Shirika lisilo la kiserikali TAHECO linalojishughulisha na masuala ya Afya na Mazingira chini ya mkurugenzi wake Shabani Maliyatabu na baadhi ya viongozi wa serikali za mitaa, chama na...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TANROADS imemkabidhi Mkandarasi kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara-Bonyokwa-Kinyerezi kwa kiwango cha lami

    Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imemkabidhi Mkandarasi kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara – Bonyokwa – Kinyerezi kwa kiwango cha lami; Sehemu ya kwanza yenye urefu wa kilomita 6 pamoja na ujenzi wa daraja la Kinyerezi lenye urefu wa mita 25. Akizungumza kwa niaba ya...
  8. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Dar: Maeneo ya Segerea hadi Kinyerezi hakuna Maji

    Mkuu Naomba nilete kwako kero hii ambayo kwa hapa Dar es Salaam imeelekea kukomaa sasa. Kuanzia tabata, segerea kinyerezi huduma ya maji haipatikani. Bila shaka kuna kutoa rushwa maji yafunguliwe upande wenu. Maeneo ya Kanga Kinyerezi maji hayatoki wiki ya 3. Mheshimiwa unahujumiwa tunaomba...
  9. N

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba maeneo mbalimbali Dar

    NYUMBA ionekanayo pichani inaizwa TSH 15,000,000 (milioni kumi na tano) mazungumo Yapo -vyumba 2 vya kulala kimoja máster -Sebule -jiko -publick toilet NYUMBA ipo Mbagala Dar es Salaam maji matitu Kwa maelezo zaidi 0714337378/0715053339
  10. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nahitaji Kiwanja DSM cha Sqm 800-900, location KIGAMBONI Dege, Geza, muongozo, mwembe mdogo, cheka au KINYEREZI, kisiwe mbali na Main road. Offer 13M

    Mwenye nacho ambacho hakizidi Km 1 kutoka main road aniwekee namba ya simu, tuwasiliane.
  11. Candela

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei za viwanja Kinyerezi Mwisho

    Guys, nina ndugu anatafuta kiwamja 25 X 30 (750m²). Alipendekeza kinyerezi kuwa patamfaa. Katika kumsaidia kutafuta nikapata agency flani wakaniambia 65,000 per m². Meaning 48,750,000 kwa size anayotaka. Sasa kabla hatuja close deal nafanya due diligence nione kama hii bei ni thaman halisi ya...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Yatembembelea Chanzo cha Umeme wa Treni ya Kisasa Kinyerezi

    ✔️Yasema watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa inafanya kazi ✔️Vituo vya gesi kuboreshwa ili kuongeza uzalishaji Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema Watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa (SGR) inaanza kufanya kazi kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kinyerezi kuna mgawo wa Maji iwe mvua iwe jua?

    Naomba kuuliza nini kinasababisha kuendelea kuwepo kwa mgao wa Maji Kinyerezi? Mfano mimi nnapoishi sijaona maji ya DAWASA zaidi ya miezi 3 pamoja na mvua zote hizi zinazonyesha.
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi washindwa kupita kwenye Mto Kinyerezi kwa siku tatu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaagiza TARURA kuhakikisha wanajenga daraja kwa haraka eneo la Tabata kinyerezi ili wananchi wapate mahali pa kupita na kuepusha maafa kwa wananchi ambao wamekuwa wakikatiza huku maji mengi yakiwa yanapita. Chalamila ametoa maagizo hayo kwa...
  15. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Dawasa Kinyerezi naona mnakula kwa urefu wa Kamba

    Salaam! Salaam toka Kinyerezi mtaa wa Sadani kwa Babu Ali,huu mtaa una miezi miwili hauna maji,ratiba ya kufungulia maji mara moja kwa mwezi mtaa huu inarukwa either kwa makusudi au wanatuona sisi manyani,kuna mitaa michache inapata maji kwa mwezi hata mara 3 kimpango mkakati ili itumike kama...
  16. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Mgao wa Umeme, IPTL, Kinyerezi IV, na Pan African Energy Tanzania (PAET) Ltd: Kwa nini tunarudia makosa ya enzi za Rais Kikwete?

    Mhe. Doto Biteko , Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Tangazo la serikali kuhusu mgao wa umeme unaoendelea limekuja wakati ambapo kuna maswali mengi juu ya "upungufu wa umeme" pamoja na sababu za kusimamishwa kwa Mradi wa Umeme wa Kinyerezi IV, ulioasisiwa na hayati Magufuli. Pia limekuja...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Wanawake wa Kinyerezi wazindua jukwaa lenye lengo la kumuinua Mwanamke kiuchumi

    Wanawake wa Kata ya Kinyerezi Jijini Dar es Salaam wamezindua rasmi Jukwaa la Wanawake ikiwa ni hatua ya kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika kumuinua Mwanamke kiuchumi. Jukwaa hilo limezinduliwa na Lutta Rucharaba ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Segerea, Bonnah Kamoli, jana ya Agosti...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DAWASA Kinyerezi mna shida gani?

    Kabla ya malipo niliwauliza inachukuwa muda gani kuunganishiwa maji wakajibu siku 7 hadi 21 za kazi sasa baada ya malipo imepita miezi miwili sasa nikiwapigia wanadai vifaa hakuna hadi nafikiria wanatengeneza mazingira ya rushwa maana sio sawa hii.
  19. P

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa kituo kipya cha daladala cha Kinyerezi

    #mamayukokazini #mamaanafanikisha #kaziiendelee
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza uanzishwaji wa mradi wa Kinyerezi V hadi X

    Tanzania kwa sasa inamiliki bomba kubwa la kusafirisha gesi asilia toka Mtwara hadi Kinyerezi Dar es salaam ambalo lilijengwa kwa mkopo wa zaidi ya Dollar bilioni 1 toka China. Kwa taarifa nilizowahi kupata, ni kwamba hadi sasa Bomba hilo tunalitumia kwa chini ya asilimia 6 tu, hivyo bado kuna...
Back
Top Bottom