kinyerezi

Kinyerezi is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 5,811.

View More On Wikipedia.org
  1. Michael Amon

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kinyerezi - Songas

    Kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi kinauzwa Kinyerezi - Songas mbele kidogo ya mitambo ya kuzisha umeme ya Kinyerezi 1 na Kinyerezi 2. Kiwanja kipo eneo la kishua (Kwa wale wanaopajua Kinyerezi - Songas basi watakwambia kuwa hii ndio Masaki ya Kinyerezi). Kiwanja kipo kwenye barabara ya lami ya...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Raisi tunaomba Mradi mmoja wa ziada wa Gas Kinyerezi kabla ya 2025 hata wa MW 500

    Kiuhalisia Bila Raisi Kikwete kuleta Mradi wa Kinyrrezi 1,2 na 3 na extension one, tungekimbia nchi Kwa mgao mkali wa umeme, matumizi yameongezeka zaidi ya asilimia 50, hivyo Mzee kikwete alitusaidia sana, na Sasa tuna umeme wa gas ambao ndo huu tunagawana hawana. Ombi langu Kwa Raisi Samia, ni...
  3. uberimae fidei

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam

    *ENEO LINAUZWA* Eneo lenye ukubwa wa *ekari ishirini* linauzwa *Pingo, Chalinze*. Eneo linapakana na *Chuo cha Ualimu Chalinze* kwa mbele na kwa upande wa kulia ni *kiwanda kipya cha vigae cha Twyford* kinachojengwa hapo Pingo.Kama ambavyo baadhi watakuwa wanajua, kiwanda cha vigae kitaajiri...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na uhakika wa umeme wa gesi kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi II

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na uhakika wa upatikanaji wa umeme wa gesi katika kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi II ambacho kinazalisha megawati 240 ambazo zinaingizwa kwenye gridi ya taifa. Kamati hiyo imefanya ziara katika Kituo cha Kinyerezi II kujionea uendeshaji...
  5. N

    JamiiForums Tanzania DAWASA Kinyerezi, mwezi sasa unaisha sijapata control number ya kufanya malipo kuunganishiwa maji

    Wakuu ni mwezi sasa unaisha sijapata control number ya kufanya malipo kuunganishiwa maji, wadai mtandao TTCL upo down jambo hili linashangaza sana kwa kampuni kubwa kama DAWASA Kama wahusika mpo fuatalieni, msilazimishe kampuni kukaa kwenye mtandao mmoja ambao tija yake ipo chini kisa tu ni wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Panya road wavamia nyumba 24, wanne wajeruhiwa

    Wakazi wa mtaa wa Kabaga Kinyerezi yamewakuta. Ilikuwa ana kwa ana na panya road usiku wa manane. Kwa takribani masaa 2 ikivunjwa nyumba moja baada ya nyingine. Wakazi hao macho pima walikuwa wakichungulia madirishani, wakiwa wameufyata vilivyo mmoja baada mwingine akisubiria zamu yake...
  7. Jackal

    JamiiForums Tanzania Nimenyimwa risiti ya EFD Kinyerezi hapa Makroy

    Hivi kama nimetoa tin number sitakiwi kupewa risiti? Bag langu la laptop wamezuia kisa nimedai EFD risiti.
  8. amu

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja minauzwa Kinyerezi kwa Ditopile

    KIWANJA KINAUZWA UKUBWA MITA 28 KWA 18 TAMBALALE LOCATION: KINYEREZI KWA DITOPILE. MWENYEWE NDIO ANAEUZA. MAUZIANO NI SERIKALI YA MTAA. UKIHITAJI WASILIANA 0620593714 Bei Million 9
  9. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Baa hii iliyopo Tabata Kinyerezi ina wadada wezi

    Ndgu zangu tunao simama kwenye hizi Bar tuweni makini Ilikuwa hivi. Nilisimama kinyerezi mwisho njaa ilibana Sana. Nikaona magari na wateja wasimama na wanakula Wababa wamejikalia wakila na kunywa. Kwa kuwa ilikuwa jumamosi nikapark pembeni mbele ya bar tajwa. Nikiwa nasubiri oda ya chakula...
  10. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Suzuki carry (kirikuu) inauzwa. Iko kinyerezi Dar

    Haina tatizo lolote. Gari ya kuwasha na Kuondoka baada ya Malipo. Bei 4.million Net. Dalali unanipa elfu 15 tu ya Bando la Mwezi. wahisha biashara achana na comments 0713096076
  11. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kinyerezi ukubwa kiwe 30x25

    Wakuu natafuta kiwanja maeneo ya Kinyerezi kilichopimwa kwa size ya 30 kwa 25, bajeti yangu haizidi 10mil naomba mwenye kujua tuwasiliane
  12. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

    Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia. Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside. Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tafadhali: Mwenye habari kamili kuhusu kuuawa kwa mwalimu huko Kinyerezi Dsm, mtaa wa Kifuru- Msitu wa Nyuki.

    Ni story ya kusikitisha. Ugomvi wa kiwanja. Nimeiona hiyo nyumba inayotakiwa kubomolewakijuujuu tu. Tafadhali mwenye picha kamili
  14. mountana

    JamiiForums Tanzania TANESCO mnatulipa lini malipo ya mradi wa 400 KVA Kinyerezi

    TANESCO Mmekuja mwanzoni mwa mwezi wa sita mkasema mnatulipa wiki ya mwisho wa mwezi wa sita sasa ni tarehe 6 mwezi wa saba hamjatulipa na tumesubiri toka 2016. Kama hamtulipi tupeni mamlaka ya kuendeleza maeneo yetu tumechoka, wiki ikiisha sasa wengine tutalilipoti kwa Rais Samia.
  15. DAVID PALMER

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na mwanamke mrembo, halafu naanza kumkimbia

    Leo natoka zangu taifa kucheg game ya simba na kaiza chifs, nkapanda gari la gongo la mboto nkadrop pale banana. Lengo nipande bajaji ya mbezi nifike fasta. Ikaja bajaji ina abiria mmoja... pisi kali fulan. Tumeanza safari me nko busy na cm yangu nachek jf, akaanza kuniongelesha kwamba tukifika...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua umeme wa gesi asilia Kinyerezi II, asema ataendelea kushirikiana na wananchi kulinda amani

    Rais Mhe. Dkt. John Magufuli leo atazinduzi mradi wa uzalishaji wa umeme kwa kutumia gesi asilia (Kinyerezi II) Jijini Dar es Salaam. Mradi huu utaingiza megawatts 240 katika gridi ya Taifa. Matangazo ya moja kwa moja yatarushwa na TBC 1 & Azam Two kuanzia saa 3:30 asubuhi hii...
Back
Top Bottom