Bwana Tarimba sisi wana Kinondoni hatujakutuma hayo

kinje ketile

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
4,288
8,280
Kwenye kampeni suala la mchezo ulisema utaisimamia ilani CCM kuhusu mambo ya viwanja vya wazi visiporwe, maeneo ya kucheza watoto na kadhalika!

Ajabu sasa umesikika mjengoni unaongelea mambo ya TFF na jinsi inavyo deal mizozo ya 'mitimu' ya wilaya nyingine ya Ilala. Linapokuja suala la mchezo ni vema ukichangia siku nyingine zingatia matatizo yetu sisi wana Kinondoni.

Hii mitimu ya Simba na Yanga tuwaache wapambane na hali zao na TFF yao! Usiingize mahaba juu ya hii 'mitimu'. Kinondoni iwe ndo kipaumbele chako! Kwa roho safi naomba upokee ushauri huu.
 
Bungeni Kuna maswala ya ki Taifa na ki Jimbo, Tarimba amezungumza shida iliyopo katika mpira wa Taifa ili na kwa nafasi yake yupo sahihi.
 
Bungeni Kuna maswala ya ki Taifa na ki Jimbo, Tarimba amezungumza shida iliyopo katika mpira wa Taifa ili na kwa nafasi yake yupo sahihi.
Nipe mfano wa mbunge mmoja wa kitaifa.
 
Hapa nje ya jengo lake kinondoni barabara Ina mashimo ya kutosha kashindwa kushughulikia hayo makubwa sijui
 
Nipe mfano wa mbunge mmoja wa kitaifa.
Wabunge wote bungeni awafungwi kujadili maswala ya kijamii, mpira unahusisha jamii kubwa ya wanao penda uo mchezo na jamii iyo ni yawatanzania. Tarimba Kama mbunge ana wajibu wa kuwakilisha kero za Jimbo lake lakini haimzuii kukemea uovu unaofanywa katika mpira ambao ni kwa maslahi ya Taifa ili.
 
Mahaba Ya Timu yako Yakizidi, tuachie Jimbo Letu...Kwanza tushazoea aliyekutangulia,Bwana Mtulia aliwahi katuacha Solemba. Timu Yetu Municipal ipo ..Wewe Umekazana kuwatetea Wa ILALA....! Kweli?
 
Back
Top Bottom