FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,052
- 40,715
Mengi yanazidi kuibuka kuhusu sakata la Covid 19.
Wataalam wa afya wanasema, kinga ya mwanadamu ni kitu endelevu, hivyo kinajiimarisha na kujiboresha siku hadi siku kulingana na jinsi mazingira yanavyobadilika.
Wanasema jinsi binadamu anavyochangamana na wenzake kwa kugusana na kushikana mara kwa mara wanakuwa wanapeana vibacteria na vifungus kwa kiwango kidogo kidogo na hivyo kusaidia mwili wa kila mtu kujijengea kinga mara kwa mara kadri bacteria wapya wanavyoingia kwenye mfumo wake, na unakuta mwisho wa siku kila mtu anakuwa amepata kinga dhidi ya vijidudu husika.
Sasa inapotokea watu wamefungiwa ndani na hawachangamani , wananawa mikono kila saa, wanaziba pua na barakoa ni kwamba ile process ya kupena vibacteria na vijidudu vipya inakuwa imeacha, hivyo mwili unakuwa dormant na haupati tena changamoto za kuweza kuboresha kinga ya mwili, kwahiyo siku watakapoachiliwa toka lockdown na kuruhusiwa kuingia mtaani, mwili utaanza kukutana na vibacteria vioya vilivyo mutate kidogo tu, ila kwakuwa mwili ulikuwa haupati hivyo vibacteria in small doses na kujitengenezea kinga, basi utakuta vyote vinakupiga kwa wakati mmoja, na kwakuwa vyote ni vipya kwako basi utashangaa hata UTI inakurudishisha namba, ilihali hapo awali UTI ulikuwa huwezi hata kuifeel kama unayo.
Wataalam hao wamependekeza watu wasipewe chanjo wala dawa hata kama itapatikana, hadi watu wote wawe wamekwisha ambukizwa na kupona. Video chini ina ufafanuzi zaidi. Shikamoo JPM.