kimkakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Familia ya Hayati Magufuli kusimamisha kijana wao Ubunge wa Chato 2025, Samia kuzunguka naye kimkakati mikoa maalum

    Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato. Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa. Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naenda Lusaka nawaachieni Mpoteze muda kujadili Kuwauzeni Kimkakati miaka 30 na Kumteua Makusudi Msiyompenda na nikirejea nafanya M Reshuffle nyingine

    Kikubwa nafanya Makusudi tu ili niwachanganyeni kwani mnajjfanya mnapenda Mijadala, Kunijadili, Kunidharau na Kutoniamini huku mkinisema kuwa nimeshikiwa Akili na Smile King Maker hivyo sasa mtakula Jeuri yenu.
  3. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwekeza kwenye kilimo cha kimkakati (perennial crops)

    Kuna haya mazao hapa Almonds Macadamia Cashew nuts Palm Nimeyafanyia utafiti sana na nimeona yana potential kubwa ya kutengeneza pesa. Embu naombeni mawazo wadau. Kuna amefanikiwa kulima hayo mavitu? Nimetafiti kidogo ni mazao ambayo yanahitaji kuwa na subira mfano Almonds na Macadamia...
  4. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Webiro Wakazi: Tujiandae Kimkakati Kuelekea AFCON 2027

    TANZANIA TUJIANDAE KIMKAKATI UWENYEJI WA AFCON 2027. Tarehe 27 Septemba 2023 Shirikisho la Mpira Barani Afrika CAF katika kikao chake kilichoketi Nchini Misri ,wamezitangaza nchi za Afrika mashariki Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji wa mashindano ya Mataifa ya Afrka ya Mpira wa Miguu...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Kimkakati SGR, Stiglers Kuchelewa Kwa sababu ya Uhaba wa Dola

    Nchi za Kiafrika ikiwemo Tanzania , zinatazamiwa kupata Anguko kubwa la thamani ya Shilingi yake, hii ni kutokana na Uhaba mkubwa wa Dolla, unaosababishwa na Trade Imbalance na mambo mengine ya kidunia yanayotokea huko. Tujikumbushe muda wa hivi Karibuni paundi ya egypt ilipoteza thamani yake...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Makubi afanya kikao cha kimkakati na Madaktari Bingwa/bobezi ndani ya MOI

    Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Prof. Abel Makubi, leo Julai 12, 2023 amefanya kikao na madaktari bingwa/Bobezi wa MOI ili kujadili kwa pamoja namna ya kuboresha huduma kwa wagonjwa, suala la huduma kwa wateja, uwajibikaji wenye matokeo , kuwa na mtazamo chanya pamoja na kuongeza na kuifanya Taasisi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Miradi na mipango mikubwa ya kimkakati ni kaburi la siasa za upizani, hili la bandari ni mojawapo. Rais songa mbele matokeo ni mazuri

    Hata nikiamshwa usingizini na nikaulizwa ni mambo yapi yamtambeba Rais Samia au mgombea yeyote wa CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao kabla ya kupepesa jicho nitakuambia yafuatayo: Kwanza, furaha na matarajio ya Wananchi. Hapa kuna masuala ya huduma bora, maslahi bora na maisha bora. Pili...
  8. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded TANROADS mna mpango gani juu ya barabara ya kimkakati inayotoka Kimara Mwisho kuelekea Tabata (Bonyokwa-Segerea-Kinyerezi)?

    Habari za wakati huu! Moja kwa moja nawaelekea TANROADS kuhusu hii barabara ya kimkakati inayoanzia darajani kimara mwisho kuelekea tabata bonyokwa mpaka tabata segerea. Kwa muda mrefu hii barabara imekuwa ikisahaulika kuwekewa lami ilihali ina umuhimu mkubwa sana wa kupunguza foleni ya...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tuachane na Utalii wa Mazoea Twende na Utalii wa Kimkakati

    MHE. ZAYTUN SWAI ASISITIZA KUACHANA NA UTALII WA KIMAZOEA, TWENDE NA UTALII WA KIMKAKATI "Sekta ya Maliasili na Utalii ni ya muhimu sana kwa kutuingizia fedha za kigeni, tumeona zaidi ya asilimia 25 ya fedha za kigeni inatokana na Sekta ya Maliasili na Utalii, pia asilimia 17 ya pato la Taifa...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Picha ya Kimkakati: Rais Samia na Watoto wa Kitanzania nchini Namibia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alirejea nchini jana kutoka nchini Namibia. Akiwa nchini humo baada ya kuhitimisha Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Troika Jijini Windhoek nchini Namibia, alipata...
  11. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Serikali fikirini kimkakati kuhusu reli ya Dar es salaam - Moshi-Arusha

    Habari wana jf. Leo napenda kuwasilisha wazo la kimkakati linaloweza kuharakisha maendeleo ukihusisha miundo mbinu ya reli hasa Kanda ya kaskazini. Ili kuboresha biashara hasa na washirika wetu wa Afrika Mashariki tunatakiwa kuwa na reli ya SGR ukanda huu. Arusha na Moshi ni eneo la karibu...
  12. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Gwajima na mikutano ya kimkakati kuelekea 2025: Je, itazaa matunda?

    Wakuu habari za jumapili, Kuna Hilo suala la mikutano ya Askofu Gwajima nchi nzima kuwa na agenda ya kisiasa kupitia mlango wa dini. Nakumbuka Chadema wakiwa nyanda za juu kusini jamaa alikua huko huko Mbeya na Songwe akifanya mikutano ya injili Ili ku counter upepo wa Chadema muda ule. Na sio...
  13. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yajaribu mfumo wa droni za kimkakati za chini ya maji

    Korea Kaskazini imesema wiki hii imefanya jaribio lingine la droni ya mashambulizi ya chini ya maji yenye uwezo wa nyuklia. Tahariri ya leo Jumamosi ya gazeti la chama tawala cha Wafanyakazi imesema taasisi ya taifa ya utafiti wa sayansi ya ulinzi ilifanya jaribio hilo kwa siku nne hadi jana...
  14. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania BRICS pigo kwa Marekani. Kamala Harris atembelea Afrika kimkakati

    BRICS imekua ni gumzo huko MAREKANI. Huku kukiwa na hofu ya MAREKANI kupoteza ushawishi Duniani. Inatarajiwa nchi nyingi za Asia zinazo zalisha mafuta zimeomba kujiunga na BRICS. Pia nchi zote za Africa zikiongozwa na South Africa zitajiunga. Marekani amepoteza ushawishi Saud Arabia. Na kufanya...
  15. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Putin akubaliana na Lukashenko kupeleka silaha za nyuklia za kimkakati nchini Belarus

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema amekubaliana na Rais wa Belarus Alexander Lukashenko kupelekea silaha za nyuklia za kimkakati nchini Belarus. Katika mahojiano na chombo cha habari cha Urusi yaliyotolewa jana Jumamosi, Putin alisema Lukashenko kwa muda mrefu aliibua suala la kuweka silaha za...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Nawatonya! Upinzani wataongea mambo ya ovyo kimkakati wa maridhiano na CCM kwa ahadi ya kurejeshewa majimbo yao 2025

    Hakika upinzani upo kimaslahi binafsi! Hakuna chama cha upinzani chenye nia ya kushika dola! Hata rais mbele ya bawacha alilisisitiza hilo, siyo kwamba alitania, ukweli ndiyo huo! Kelele za upinzani huwa ni za kutafta shibe hakuna chama hata kimoja chenye nia ya kushika dola kwa sasa! Katika...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hatutaki mjisifie kujaza watu mikutanoni, bali kuwatoa Kimkakati CCM Madarakani

    Kila nikimsikia mwana CHADEMA simsikii akinipa mikakati yenu ya kuitoa (kuing'oa) CCM madarakani bali nasikia tu wakijisifia kujaza watu (nyomi) katika mikutano yao huko mkoani/mikoani. Nilishawahi kuwashaurini huko nyuma kuwa jiimarisheni sana katika kujijenga ngazi za chini ila nasikitika...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Siasa za Gesi na Mafuta Tanzania: Uhusiano wa Gesi Asilia inayozalishwa Tanzania na sekta nyingine za kimkakati

    Gesi asilia ina uhusiano mkubwa na sekta nyingine za uchumi kama vile misitu, kilimo, usafiri, elimu, afya, madini, utalii, biashara, viwanda na nishati. Aidha, shughuli katika sekta ya gesi asilia, kama vile utafutaji wa gesi, ujenzi na uendeshaji wa mifumo ya uzalishaji na utumiaji wa gesi...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa Kimkakati wa Wakuu wa Wilaya washindwa kuzuia shangwe za Mapokezi ya Tundu Lissu

    Taarifa za Kiintelijensia kutoka chanzo cha kuaminika zinadokeza kwamba, kutangazwa leo Ma DC wapya lilikuwa jambo la Kimkakati ili kuwapoteza maboya watanzania na hasa wakazi wa DSM kuhusu Ujio wa Lissu. Hata hivyo mkakati huo umefeli vibaya sana! Mtoa Taarifa anadai kwamba kufeli kwa njama...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kila vuguvugu la kimkakati lilianzia katika vijiwe vya Kahawa, Zanzibar na Bara

    Hapo kitambo, vijiwe hivi tuvionavyo ndivyo vilivyokuwa vyanzo vya kila kila vuguvugu la kiharakati, mwl, JK harakati zake nyingi zilianzia katika vijiwe hivi hata karume wa Zanzibar vijiwe vya Kahawa ndivyo vilivyokuwa vikitoa dira na mpango mzima wa nini kifanyike nani aende wapi, yupi...
Back
Top Bottom