Kwa masikitiko makubwa Asubuhi ya leo nilianzisha Uzi hapa JamiiForums nikisema kuwa Kitengo cha Umafia Simba SC Kinepwaya na kwamba nipewe Mimi na Wenzangu Sita (6) na Yanga SC hatokuwa Bingwa kwa Mshangao huo Uzi siuoni (kwa Lugha sahihi ni kama vile Umefutwa) kwasababu wazijuazo Walioufuta...
Na Siku zote Mwanasiasa makini na mjanja hupenda sana kuwateua watu anaowaona ama ni Tishio Kwake au wanaitaka Nafasi yake kwa Udi na Uvumba ili awamalize vizuri Kisiasa kwa kuwapigisha 'Shoti' katika Nafasi zao ili awatumbue, awachafue na waonekane hawafai kuwa Viongozi na ikibidi hata Wapuuzwe...
Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna...
Moto ambao chanzo chake hakijafahamika umeteketeza vibanda vya wafanyabiashara vilivyopo kando ya barabara ya kuelekea katika hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).
Moto huo ulianza leo Ijumaa Novemba 12,2021 saa 2 asubuhi lakini kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilifika eneo...
JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI-App na jukwaa linaloongoza barani Afrika kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki, Boomplay limeingia makubaliano ya ushirikiano na Chama kinachosimamia hakimiliki za watunzi na waimbaji wa muziki (CAPASSO) ikiwa ni mkakati wa Boomplay kuendelea kupanua huduma zake...
Awali ya yote Mimi ni mojawapo ya Kijana ambaye nafarijika kuona Mhe.Rais wetu akisafiri nje za Nchi na kufungua Fursa za mambo mengi ikiwemo kuitangaza, Nchi yetu kimataifa pamoja na kuvutia wawekezaji wengi kuja Tanzania pia.
Lakini Kuna kitu nakiona kama hakipo sawa,kwenye suala la Utalii...
Waziri Ummy Aagiza Kata ya Kinaga- Kahama kuwekwa katika Orodha ya Kata za Kimkakati itakayojengewa Kituo cha Afya
Wahenga husema usiibe kabla Jua halijazama,pengine ndio kauli inayofaa kusemwa kwa Wananchi wa Kata ya Kinaga iliyopo pembezoni mwa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.