kimapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Umepitia/Unapitia changamoto gani tangu umalize chuo mpaka sasa?

    Kama binadaamu kuna wakati mtu unapitia magumu mpaka hujui nani wa kukusaidia hata kimawazo. Leo nimeanzisha thread hii ili tushare mambo au changamoto mbalimbali ambazo tunapitia sisi viumbe wa Mungu. Orodhesha changamoto na jinsi ulivofanikiwa kutatua ili umsaidie mtu mwingine huko aliko...
  2. JamiiForums Tanzania Kuhangaika na Mahusiano ya Kimapenzi katika zama hizi ni kupoteza Muda

    Baada ya purukushani za muda mrefu sana na haya maisha nimegundua kukosa umakini wa kufikiri na kuamua mambo kwa weledi yamepeleka mahusiano ya mapenzi kuwa ndio chanzo kikuu cha watu wengi kupoteza mielekeo mizuri ya maisha. Ujana, utu uzima na uzee una mambo mengi sana ambayo huwezi...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Wanafunzi wa kike mwaka wa kwanza kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Kama jamii ya watanzania na Kwa maadili yetu, tunategemea kuona watoto wa kike wakipata malezi Bora na ushauri nasaha kuhusu mahusiano na athari za mahusiano ya kimapenzi hasa Kwa wale wa mwaka wa kwanza katika elimu ya chuo Kwa ngazi ya shahada. Wanafunzi wengi wa kike hujikuta wakiangukia...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Unapanda daladala halafu unanitaka kimapenzi?

    Nami kwa kweli kama huna gari kali hata usinisemeshe. Maana tutatoka out itafika mida ya kutaka kuondoka akili yako inahama inaanza kuwaza kugombea daladala au mwendokasi. Sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
  5. JamiiForums Tanzania Tupeane Experience, kutoka kimapenzi na jirani mliekutana nyumba za kupanga

    Habari wakuu, Wanasema uliza kwa wenye uzoefu wakusomeshe mchezo.... Nawatonya wazee wa totoz dar night hamna kitu msikae kutega kitaa, Ita Uber, Ita bolt maana Mboga zote ni kitambaa. Okay, Lets go... Nataka watu ambao katika harakati za kupambana na changamoto za maisha basi katika zile...
  6. JamiiForums Tanzania Tambua sifa za mwanaume asiye na mvuto wa kimapenzi kwa mwanamke

    Wanaume wenye tabia/ aina hii hupata shida kwenye mapenzi. Wanaishia kuona wanawake ni wagumu/ hawaeleweki. Wanatumia muda mwingi kutaka kumridhisha mwanamke. Au atatumia mali kuficha udhaifu wake. Wanaamini akipata kitu fulani basi hatopata shida tena na wanawake. Anaweza pata mahusiano lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na Mchawi? ilikuwaje?

    Wakuu habari zenu, Binafsi nikikumbuka mpka nasema kweli Mungu yupo. Yule dada alikuwa mchawi kweli kweli na kila mtu alimuogopa. Mimi baada ya kutoka chuo nikaenda kumtembelea babu kijijini mitaa ile nikamuona binti mrembo balaa nikasema huyu ndo level za sisi wasomi. To make story short...
  8. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Mwanaume mrefu nina nafasi kubwa zaidi ya kuvutia wanawake wengi kimapenzi kuzidi mwanaume mfupi

    Tufanye kwamba factors nyengine zote zinafanana kati ya mwanaume mfupi na mrefu isipokuwa kimo cha urefu pekee. Mwanaume mrefu mfano akiwa futi 6'2 ana uwezo wa kuvutia wanawake wengi kimapenzi kuzidi mwanaume mwenye urefu wa 5'5. Wote hao wanaweza kuwavutia wanawake wenye urefu sawa na chini...
  9. JamiiForums Tanzania Botswana: Baba aua watoto wake wawili kabla ya kujiua Kwa sababu ya Wivu wa Kimapenzi

    Wivu wa Kimapenzi umesababisha kifo cha Dr Mellus Tshube, Raia wa Gaborone, Botswana Jumapili iliyopita ambapo kabla ya kufariki kwake aliwaua pia watoto wake wawili, mmoja akiwa na umri wa miaka 2 na mwingine akiwa na miaka 7. Kamanda wa Polisi wa eneo hilo, Obusitswe Lokae amethibitisha...
  10. JamiiForums Tanzania Jamii iache kuhukumu vibaya wanaume wanao ingia kwenye mahusiano ya kimapenzi ( ndoa ) na wanawake wenye umri mkubwa kuwazidi

    Kumezuka wimbi kubwa la wanaume wengi wanaozama kwenye dimbwi la mahusiano ya kimapenzi na baadae sana wanagundua wapenzi wao wamewazidi umri kitu ambacho jamii ya kiTanzania inakichukulia kama kitu cha aibu na cha ajabu mno. Kwenye kila taasisi kuanzia ya familia, makazini na nyumba za ibada...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaojifanya wagumu kupatikana kimapenzi, wengi wao hawana mahusiano yenye afya

    Kuna aina 3 unaweza kuwa-group wanawake, aina ya 3 ni wale ambao mtaani wana sifa ya kugawa papuchi karibia kwa kila mwanaume, aina ya 2 majority ya wanawake wako hapa utakuta Akiongozwa anamkubali huyu, anaMkataa yule. Aina ya kwanza ndo wanawake ambao mtaani, wana sifa ya kukataa kila...
  12. JamiiForums Tanzania Ndoa na mahusiano ya kimapenzi siyo mambo ya lazima kutekelezwa

    Karibuni nyote wanachama wa jukwaa hili. Kuna mambo makuu mawili ambayo ningependa kuzungumza pamoja nanyi wanachama wa jukwaa hili yahusuyo Ndoa & Mahusiano ya kimapenzi. Jambo la msingi hasa ambalo ningependa kuligusia ni kuhusu ukosefu wa fikra mpya na zilizo bora ndani ya jamii kupelekea...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wengi hampendagi kutuunganisha Kimapenzi, sisi wakaka na rafiki zenu wa kike?

    Utakuta nimekutongoza umenikataa ukasema tuwe marafiki na nikakubali, au hata sijawahi kukutongoza ila sisi Ni mabesti, una rafiki wa kike uko karibu naye kuliko mimi nilivo karibu nae, hivyo mm kukutana nae kumtongoza inakua sio rahisi Kutokana na ugumu wa kimazingira, kwanini tukiwaomba...
  14. JamiiForums Tanzania Tumia lugha ya Hospitali Kuelezea Mahusiano yako ya Kimapenzi kwa sasa.

    Mimi:👉👉 ''Jana alikula vizuri Kabisa na Akacheka na sisi pale, Ila Ya Mungu mengi jamani" Also👇👇 Mimi:👉👉 ''Tunajaribu Kila Liwezekanalo'' Status yako na mpenzi wako ipoje kwa sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Ni kosa kisheria kumtaka mwanamke kimapenzi kwa kumlazimisha

    Katika kosa la bughudha ya kijinsia (Sexual harassment) Sheria inaeleza kwamba, mtu yeyote ambaye kwa dhamira atamshambulia, au atatumia nguvu kinyume cha sheria akambughudhi mtu mwingine kijinsia au kwa kutumia maneno au vitendo na kusababisha maudhi au bughudha kijinsia kwa mtu mwingine...
  16. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kupendwa kimapenzi na mpenzi wa rafiki yako wa damudamu?

    Habari wana jukwaa. Nataka kuuliza kitu hapa maana najua Dunia ina vitu vingi na kila kinachotokea siyo kipya, ujue kimeshatokea sehemu. Nataka kupata uzoefu kwenye hili. Je, ilishatokea ukapendwa na mpenzi wa rafiki yako, yaani yule rafiki yako ni damudamu? Kama ilishatokea ulifanya vipi...
  17. JamiiForums Tanzania Confessions: Umewahi kupata hisia za kimapenzi ama kuwa katika mahusiano na ndugu yako?

    Kiukweli haya ni mambo ambayo hatuwezi yaweka hadharani maana ni kufru lakini kwa hapa jamiiforums hakuna anaemjua mwenzake kuna privacy hivyo uhuru wa kutiririka siro zetu upo. Niliwahi kuwa na feelings na mtoto wa mamamdogo wangu ambae niliishi nae miezi miwili akiwa likizo ya form 6...
  18. JamiiForums Tanzania Yupi anayeharibu mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanamme na mwanamke?

    Je, yupi anayeharibu mahusiano & ndoa kati ya Mwanaume na Mwanamke?
  19. JamiiForums Tanzania Wasanii wakianzisha mahusiano ya kimapenzi ndani ya kundi kuna hatari ya kundi lao kuvunjika

    Haiwezekani bana yaani tupo group moya, alafu nyinyi mnaenda kulala kitanda kimoja, huu ni usengenyaji wa wazi wazi. Group la kwanza walikuwa Pah One, embu vuta picha jinsi ambavyo wale member wengine walivyokuwa wakijisikia, yaani tupo kufanya kazi alafu nyinyi mnaleta mapenzi! Hili group la...
  20. JamiiForums Tanzania Masasi: Mfululizo mauaji ya kikatili kwa Wanawake, Polisi wataja wivu wa kimapenzi

    Kufuatia mfululizo wa mauaji ya kikatili hasa kwa Wanawake Wilayani Masasi Mkoani Mtwara, Jeshi la Polisi limedai kuwa vyanzo vingi ni masuala ya mapenzi. Kauli hiyo imetolewa baada ya tukio lingine la mauaji kutokea usiku wa kuamkia jana Agosti 11, 2022, ambapo mwalimu wa Shule ya Msingi Mbaju...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…