Tupeane Experience, kutoka kimapenzi na jirani mliekutana nyumba za kupanga

Yofav

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
3,955
6,885
Habari wakuu,
Wanasema uliza kwa wenye uzoefu wakusomeshe mchezo.... Nawatonya wazee wa totoz dar night hamna kitu msikae kutega kitaa, Ita Uber, Ita bolt maana Mboga zote ni kitambaa.

Okay, Lets go... Nataka watu ambao katika harakati za kupambana na changamoto za maisha basi katika zile nyumba za kupanga waliwahi kuingia na mahusiano na watu ambao walikutana nao humo.

Mfano, mimi kuna pisi fulani najaribu kumshinda shweitani hapa nilipo maana hii pisi ina mtu wake ila hawajaoana kwa ndoa though wanaishi pamoja, Hawana mtoto... Ila hii pisi inavyoonekana mimi na yeye ni kama tuna chemistry hivi tuna kitu na tutafika mbali.

Picha linaanza kwamba mimi sinaga time na mtu, Huwa sinaga mazoea na watu na pia sina marafiki, wala ndugu yeyote anaekujaga kunitembelea hapa kwangu... Mimi baada ya mishe zangu ni ndani kwangu na ukiniona nje basi ni kufua maybe au kufanya shughuli zangu za usafi na muda huo tukiotena na jirani aliepo nje basi lazima tupate wasaa wa story mbili tatu. Sijawahi kuleta dem hapa kwangu akaonekana though me humalizia haja juujuu, Huwa sipendi mwanamke ajue ninapoishi ili kuepuka usumbufu. So, hicho kitu kimefanya maisha yangu kuwa na lifestyle ya kitofauti sana kwani mimi huona vijana wengine wa umri wangu waishivyo ni kama wamefanana fanana tu... Kijana akishakuwa na gheto basi pisi hupishana kila saa au kama sivyo basi lazima atakuwa na main chick yake amabayo most of the time itakuwa inacheza area ila mimi sivyo.

Tuachane na hayo sasa huyu pisi jirani ana mtu wake, Pisi jirani ni nurse na Jamaa wake ni Dokta.... Huyu jamaa anapiga kazi shift na huwa mara nyingi anaingia night.... Sasa huyu pisi anatabia fulani hivi ya kuvaa kimitego sasa sijui ndivyo alivyolelewa au lah ila kiukweli mimi hukaza shingo kama sioni ila kiukweli naona kabisa kuna siu tu😁 ila moyoni sipendi kwa kweli Mungu aniepushe. Kingine huyu pisi nikiongea nae huwa anafunguka sana hadi nabaki nashangaa mfano alishawahi kuniambia kuwa jamaa ndo mtu wake wa kwanza aliemtoa bikira, Kuna wakati tulipiga story hadi kufikia hatua ya kuongea masuala deep sana ya minyanduo na akaonesha yupo interested sana kujaribu new test ila nikamkata kwa kumuambia kamwe asijaribu kumcheat jamaa yake akajiongopea kwamba jamaa hatojua maana jamaa atajua tu.

Sasa kuna wakati katika fikra ovu huwa nawaza na kuwazua hivi mfano siku nikamkata huyu pisi then nikaamua ku-run tusijuane tukaliana buyu hapahapa je, itawezekana? Huyu pisi sina namba yake na yeye pia haya yangu na hata itokee vipi sitowahi kufanya yeyote awe na mawasiliano na mwenzie lwa kuwa nilishakuwa na mahusiano strong kama yeye na dokta wake so, nafahamu how it feels kukuta namba ya jirani wa different gender kwenye simu ya mwenza, Kingine huwa namuonea sana jamaa yake huruma anavyoshinda macho kazini kwaajili kupambania good time na huyo nurse wake so, huwa naamua kupunguza kiraru, ila nina uhakika kabisa kwamba anytime nikitaka kumu-win jamaa ni shwaaaah.

Ebu wewe nipe expirience yako ulipotoka na jirani yako ilikuwaje, Ni zipi faida na hasara maana maisha huchange leo namshinda shetwani kwa kuwa najua huyu ana mtu wake na wanaishi wote hivyo sio fea ila je, kesho nikiishi jirani na pisi ambae hana mtu au haishi na mtu wake? Nipeni expirience wakuu....
 
Kuna mwenzako wamempiga mapanga huko NYAMONGO, sasa we kajichanganye magazeti yauze story yako
kabla hajapigwa mimi ninaelewa madhara alafu kwenye hiyo habari aliepigwa mapanga ni mwenye mke.
 
Achana naye ne huogopi uchafu sio kila Sehemu panafaa kukojolea that all utabeba Mambo ambayo hayabebeki na utashindwa kutatua I tell you homie ur life style Kama yangu baada ya kuuza viatu vya watoto Grade one ni kurudi maghetoni na kuwasha mziki sauti ya chini na kupumzika don't compromise anything shit in ur life circulation .
 
Achana naye ne huogopi uchafu sio kila Sehemu panafaa kukojolea that all utabeba Mambo ambayo hayabebeki na utashindwa kutatua I tell you homie ur life style Kama yangu baada ya kuuza viatu vya watoto Grade one ni kurudi maghetoni na kuwasha mziki sauti ya chini na kupumzika don't compromise anything shit in ur life circulation .
My gee🤜🤛
 
Ukiishi kutongoza majirani au gheto lako kuingiza mademu wanawake hayo ndo Maisha ya kijana wa hovyo


Gheto lako hakikisha aingii Mwanamke pia hakikisha unashiriki ngono na Mwanamke uliye na goals naye.
 
Ukiishi kutongoza majirani au gheto lako kuingiza mademu wanawake hayo ndo Maisha ya kijana wa hovyo


Gheto lako hakikisha aingii Mwanamke pia hakikisha unashiriki ngono na Mwanamke uliye na goals naye.
 
Back
Top Bottom