Ulishawahi kupendwa kimapenzi na mpenzi wa rafiki yako wa damudamu?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,727
3,286
Habari wana jukwaa.

Nataka kuuliza kitu hapa maana najua Dunia ina vitu vingi na kila kinachotokea siyo kipya, ujue kimeshatokea sehemu.

Nataka kupata uzoefu kwenye hili. Je, ilishatokea ukapendwa na mpenzi wa rafiki yako, yaani yule rafiki yako ni damudamu?

Kama ilishatokea ulifanya vipi kwenye jambo hilo? Kama ni mwanaume ulimkataa huyu mwanamke rafiki na mpenzi wako ulimwambia mwanamke wako juu ya jambo zima?

Kama ni mwanamke ulitoa tunda au ulivuka vipi huo mtego?
 
Mi sijawahi kupendwa na yoyote kwanza ni mweusi kama pampu mpya na maunyayo kama mtu wa kale pia na kisogo kama senene .Siku nikipendwa ntalala mlango wazi.
 
Ukimkataa Dem, ataanza yeye kwenda kukuchoma Kwa rafk ako kwamba ulimtongoza
Kama una roho nyepesi na uogopi kupoteza urafiki au unahisi jamaa akijua hawez kukudhuru au huna Cha kupoteza basi mlee.
Ukiendelea kusumbuliwa huyo shemej Yako alafu ukaka tu kimyaa, Yani humkubalii na Wala humwambii rafk ako Kuna siku huyu shemeji Yako atakusemelea Kwa rafk ako kwamba unamsumbuaga.
Kama ulivosema jamaa we ni dam basi mnafamiana vizuri sana we mueleze Hali halisi, matatizo hayatatuliwi Kwa kuyaassume hayapo,.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom