Ushuhuda: Mwanaume mrefu nina nafasi kubwa zaidi ya kuvutia wanawake wengi kimapenzi kuzidi mwanaume mfupi

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Tufanye kwamba factors nyengine zote zinafanana kati ya mwanaume mfupi na mrefu isipokuwa kimo cha urefu pekee.

Mwanaume mrefu mfano akiwa futi 6'2 ana uwezo wa kuvutia wanawake wengi kimapenzi kuzidi mwanaume mwenye urefu wa 5'5.

Wote hao wanaweza kuwavutia wanawake wenye urefu sawa na chini ya 5'5 lakini kwa wanawake wanaoanzia 5'6 kwenda hadi 6'3 watavutiwa zaidi na mwanaume huyo mrefu zaidi kwa sababu kwa wanawake wengi huoendelea zaidi kujihisi wafupi ama wadogo wanapokuwa na mwanaume wanaemuona urefu wake ni kama ulinzi.

Tukija kwangu mimi nina 6'2 ni mzaliwa wa kanda ya ziwa, niliishi kaskazini ila kwa sasa Naishi mikoa ya nyanda za juu kusini , Kiukweli kwa mkoa huu asili ya watu wa huku kuwa wafupi, wanaume wengi ni 5'4 hadi 5'7 hivi, tupo wanaume wachache warefu.

Off course Linapokuja suala la kupata mwanamke mfupi naweza kupata upinzani kutoka kwa mwanaume mfupi kama nae kamzidi kimo mwanamke.

Ila sasa kwangu nikikutana na mwanamke kaanza 5'7 hivi huwa najua kabisa ushindani ni mdogo maana hata wanaume wengi wanafikia kimo hicho ama chini ya hapo. Kiukweli hapa nisiwe mnafki, napokutana na sampuli hizi hata juhudi nayotumia huwa ni ndogo na inazidi kuwa ndogo zaidi kadri urefu wa mwanamke unapozidi.

Nakumbuka niliwahi kumpata binti wa kipekee sana unique ana 6, amini usiamini mimi ni fundi stadi mwenye hali ya kawaida lakini yule binti alikuwa ameajiriwa shirika kubwa tu na kiuchumi kanipiga gepu refu mnooo!! nilitupia ndoano yani hata navyoitupia nikajua kabisa mimi ndio shotcaller maana mwanamke alikuwa anani obey si kama wengine na nikaja gundua tupo wachache warefu tuliomzidi urefu hivyo hana option nyingi.
 
Unachosema kinaweza kuwa ni kweli

Lakini kwavile unamzungumzia kiumbe (mwanamke) ambaye hajui anachokitaka hilo la kuwa mrefu lisikufanye ukaona umemaliza ...bado una safari ndefu kwenye haya maswala
 
Mkuu linapokuja suala la kuchapiwa, kusalitiwa, kupigwa kibuti, n.k. huwaga hakuna pesa, wala urefu, wala kushika dini, n.k.
 
FB_IMG_16797274476158212.jpg
 
Hivi hii species ya watu wafupi ilitokeaga wapi jamani?
Miaka ya kitambo hapakuwepo na watu wafupi kiasi hiki
 
Tufanye kwamba factors nyengine zote zinafanana kati ya mwanaume mfupi na mrefu isipokuwa kimo cha urefu pekee.

Mwanaume mrefu mfano akiwa futi 6'2 ana uwezo wa kuvutia wanawake wengi kimapenzi kuzidi mwanaume mwenye urefu wa 5'5.

Wote hao wanaweza kuwavutia wanawake wenye urefu sawa na chini ya 5'5 lakini kwa wanawake wanaoanzia 5'6 kwenda hadi 6'3 watavutiwa zaidi na mwanaume huyo mrefu zaidi kwa sababu kwa wanawake wengi huoendelea zaidi kujihisi wafupi ama wadogo wanapokuwa na mwanaume wanaemuona urefu wake ni kama ulinzi.

Tukija kwangu mimi nina 6'2 ni mzaliwa wa kanda ya ziwa, niliishi kaskazini ila kwa sasa Naishi mikoa ya nyanda za juu kusini , Kiukweli kwa mkoa huu asili ya watu wa huku kuwa wafupi, wanaume wengi ni 5'4 hadi 5'7 hivi, tupo wanaume wachache warefu.

Off course Linapokuja suala la kupata mwanamke mfupi naweza kupata upinzani kutoka kwa mwanaume mfupi kama nae kamzidi kimo mwanamke.

Ila sasa kwangu nikikutana na mwanamke kaanza 5'7 hivi huwa najua kabisa ushindani ni mdogo maana hata wanaume wengi wanafikia kimo hicho ama chini ya hapo. Kiukweli hapa nisiwe mnafki, napokutana na sampuli hizi hata juhudi nayotumia huwa ni ndogo na inazidi kuwa ndogo zaidi kadri urefu wa mwanamke unapozidi.

Nakumbuka niliwahi kumpata binti wa kipekee sana unique ana 6, amini usiamini mimi ni fundi stadi mwenye hali ya kawaida lakini yule binti alikuwa ameajiriwa shirika kubwa tu na kiuchumi kanipiga gepu refu mnooo!! nilitupia ndoano yani hata navyoitupia nikajua kabisa mimi ndio shotcaller maana mwanamke alikuwa anani obey si kama wengine na nikaja gundua tupo wachache warefu tuliomzidi urefu hivyo hana option nyingi.
Mwanaume mfupi utampenda uzeeni. Anakuwa imara. Tafuta pesa acha kutafuta wanawake. Ukishakuwa na pesa hawa WATU watakutafuta then utafanya kazi ya kuchagua wa kuishi nae. Wengine utapitia tu.
 
Tufanye kwamba factors nyengine zote zinafanana kati ya mwanaume mfupi na mrefu isipokuwa kimo cha urefu pekee.

Mwanaume mrefu mfano akiwa futi 6'2 ana uwezo wa kuvutia wanawake wengi kimapenzi kuzidi mwanaume mwenye urefu wa 5'5.

Wote hao wanaweza kuwavutia wanawake wenye urefu sawa na chini ya 5'5 lakini kwa wanawake wanaoanzia 5'6 kwenda hadi 6'3 watavutiwa zaidi na mwanaume huyo mrefu zaidi kwa sababu kwa wanawake wengi huoendelea zaidi kujihisi wafupi ama wadogo wanapokuwa na mwanaume wanaemuona urefu wake ni kama ulinzi.

Tukija kwangu mimi nina 6'2 ni mzaliwa wa kanda ya ziwa, niliishi kaskazini ila kwa sasa Naishi mikoa ya nyanda za juu kusini , Kiukweli kwa mkoa huu asili ya watu wa huku kuwa wafupi, wanaume wengi ni 5'4 hadi 5'7 hivi, tupo wanaume wachache warefu.

Off course Linapokuja suala la kupata mwanamke mfupi naweza kupata upinzani kutoka kwa mwanaume mfupi kama nae kamzidi kimo mwanamke.

Ila sasa kwangu nikikutana na mwanamke kaanza 5'7 hivi huwa najua kabisa ushindani ni mdogo maana hata wanaume wengi wanafikia kimo hicho ama chini ya hapo. Kiukweli hapa nisiwe mnafki, napokutana na sampuli hizi hata juhudi nayotumia huwa ni ndogo na inazidi kuwa ndogo zaidi kadri urefu wa mwanamke unapozidi.

Nakumbuka niliwahi kumpata binti wa kipekee sana unique ana 6, amini usiamini mimi ni fundi stadi mwenye hali ya kawaida lakini yule binti alikuwa ameajiriwa shirika kubwa tu na kiuchumi kanipiga gepu refu mnooo!! nilitupia ndoano yani hata navyoitupia nikajua kabisa mimi ndio shotcaller maana mwanamke alikuwa anani obey si kama wengine na nikaja gundua tupo wachache warefu tuliomzidi urefu hivyo hana option nyingi.
Watu tupo bize kutafakari juu ya Mjadala wa Bandari yetu,wewe unatuletea Mambo ya ajabu.Hii nchi kuendelea bado sana.
 
Back
Top Bottom