kimapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Wakuu natumaini wote mpo salama na mnaendelea vyema kusherekea sikukuu hizi Dah, kwa upande wangu mimi sipo sawa kabisa hapa najiona mkosefu sana na sijui hata jamii itanielewa vipi, nimekuja huku naamini kuna wakubwa na watu wenye busara naweza pata ushauri.. Nayopitia kwa sasa na jinsi...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nayageuza vipi mahusiano ya kawaida kuwa Mahusiano ya kimapenzi

    Wakuu Naishi vipi na huyu mrembo wa kishua kama rafiki tu, naona haiwezekani. Nitumie njia gani huu urafiki wa kawaida unipe tunda hili. Wataalamu na wabobezi wa jf nijuzeni kwa niaba ya wadau wengine pia Asante
  3. haszu

    JamiiForums Tanzania Kua handsome ni kazi ngumu sana, nawapangawisha sana mashemeji zangu

    Ndugu wa mke wangu wamekua na wakati mgumu snaa kila ninapokutana nao, wanashindwa hadi kujizuia, kuna huyu mmoja ametokea kunipenda sana, yani kavurugwa kabisa. Imekua usumbufu sana, sitaki kumueleza mke wangu isije ikavunja undugu. Kila nikiwaza ninapata jibu kua moja, kua handsome ni kazi...
  4. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa mjini hawaridhishwi kimapenzi, vijana kuweni makini

    Wadada WA mjini, Wana mambo mengi, akilalamika humridhishi achana nae HUWEZI kuridhisha, wapo wanatumia Tango, chupa ya bia, carrot 🥕 na kwa sasa wamehama kwenye kibomba.
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini vijana wakitoka kimapenzi na mishangazi inachukuliwa na kulelewa?

    Kwa nini vijana wadogo wakitoka kimahusiano na wamama watu wazima(mishangazi) au hata wakioana nao kabisa inachukuliwa kama wanalelewa na maneneo yanakuwa mengi sana wakati mabinti wadogo wakitoka au kuolewa na wazee inaonekana ni mahusiano ya kawaida tu? Haya yote si mapenzi tu kila mtu na...
  6. bahati93

    JamiiForums Tanzania Kilichowapata wanamziki wa kike waliotoka kimapenzi na maboss zao.

    Mambo yanatishaa sanaa, Yaani ukikaa ukafuatilia matokeo hasi waliyokumbana nayo wanadada utabaki mdomo wazi, kama malaya kaona dudu. Hapa nazungumzia mahusiano ya kimapenzi baina ya mabinti chipukizi katika fani na mabosi zao. Wanabodii mifanoo ni mingi.. kwa leo ntatoa miwili tuu. Celine...
  7. Pearce

    JamiiForums Tanzania Jinsi Huyu Dada alivyonikataa Kimapenzi

    Wakuu Habari zenu. Nina kisa hiki siwezi kisahau muda mwingine nikikumbuka nacheka. Kuna Manzi mmoja ofisini tulikuwa idara tofauti katika tasisi moja muhimu Dar es salaam Basi nilivutiwa nae nikawa nampenda sana na nilijitahidi kila ambacho angekitaka Urahis kwake kazini nampambania, aliwahi...
  8. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Licha ya Kibamia, eti ameoa! Uchawi wa kimapenzi

    Naongea na wewe kaka tuliyekutana Katoro enzi za usichana wangu! Mbona ghafla sana? (GaFRA mno). Nakujua vema ndani na nje, na tulipokutana ukaniahidi utaenda CHINA kupasuliwa kojoleo ili walinenepeshe kwa mbolea za kisasa. Show zako zilikuwa za kitoto sana, nikikohoa inachomoka. Nilikuwa...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wimbi la ndugu wa damu kuhusiana kimapenzi linaongezeka au uwazi umeongezeka?

    Kwa mzazi inaweza isikuingie akilini kwamba watoto wako unaoishi nao nyumba moja wanaweza kuwa na uhusiano wa kimapenzi, ila ukweli uko hivyo, yapo matukio mengi ya aina hiyo ambayo yanaendelea kushika kasi kwenye jamii. Hii inahusisha ndugu wa damu, ndugu wa familia au ukoo na hata baba na...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wema na Watiifu katika Mahusiano yao ndiyo huteswa zaidi Kimapenzi na Wanawake

    Haya siyo maneno yangu bali ni maneno ya Mwanasaikolojia mmoja ambaye huwepo sana katika Kipindi huko Channel Ten ambapo huwa anazungumza na kuchambua Mambo mbalimbali ya Kisiasa, Kiuchumi, Kijamii na Kimahusiano. Ngojea GENTAMYCINE niendelee hivi hivi tu kuwa Mkorofi mbele ya Wanawake ili...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kimapenzi bila pesa hayawezekani?

    Mahusiano ya kimapenzi kwa sasa kama huna pesa mwanamke atakutesa Sana Atakudharau nainawezekana akakuacha kabisa au kukawa na migogoro isiyo isha.(wanaume tutafuteni pesa) Kama kuna mtu anabisha aje na hoja au kama una chakuongezea unaweza ongezea.
  12. realMamy

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuwa na mahusiano ya kimapenzi kazini mara nyingi huwa hakuepukiki?

    Nimekuwa nikisoma na kufuatilia baadhi ya visa vya kweli katika vitabu na mitandao ya kijamii vinavyohusu mahusiano na ndoa kuvunjika na moja ya sababu zinazosababisha kutokea hayo ni Mahali pa kazi. Wake kwa waume wamekuwa wakilalamika kuachwa na mtu wake kwa sababu ya mfanyakazi mwenzie...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kimapenzi yananitesa

    Jamani naombeni ushauri, kuna mwanamke nampenda sana nae ananipenda sana tuliahidiana kuoana., Sasa kuna changamoto imejitokeza tena kubwa sana kumbe kabla yangu, aliunganishiwaga mwanaume mwingine na wazazi wake, nayeye kwakua alikua hana mtu mwingine alikubali. Ikaendaa yule jamaa akakaa muda...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Gharama za kujiburudisha kimapenzi zapaa

    Wakuu ukisema Leo ngoja nikajiburudishe na mpenzi wako Kwa Dar Ni balaa, 1. Lodge (30,000-50,000 TSH), 2. Chakula/Vinywaji -;Savanna na Castle lite (40,000 Tsh), 3. Usafiri - Uber/bolt (20,000 TSH x 2), 4. Uchakavu (50,000 TSH). Wastani andaa 150,000 -200,000 kwa kila game. NB: Kwa bajeti hii...
  15. BENEDICT BONIFACE

    JamiiForums Tanzania Tofauti za umri katika mahusiano ya kimapenzi: Nadharia na uzoefu wa maisha halisi

    Katika dunia ya mahusiano ya kimapenzi, tofauti za umri kati ya wenzi ni jambo ambalo linaweza kuleta changamoto na fursa za kipekee. Utafiti wa kina umeonyesha kuwa tofauti hizi zinaweza kuathiri mienendo, malengo, na matarajio ya wahusiano. Nadharia mbalimbali, kama vile Nadharia ya Mwitikio...
  16. Oppo A17k

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa pesa na sex kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Zingatia sana unapoanzisha mahusiano mapya Kila mwanaume anatarajia kupata sex kutoka kwa mwanamke wake. Ladies, Mwanaume anapokutongoza, moja ya kitu anatarajia kutoka kwako ni SEX. Hivyo unapomwambie "Nakupenda pia" ni sawasawa na kusema hivi "Nimekubali, Na Nipo Tayari Kukupa Mwili Wangu"...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tapeli wa mapenzi yupoje?

    Au ni kwa vile hakupendi ndio sasa anakuwa tapeli? Unamjuaje tapeli kwa mfano, ili kuepuka utapeli kwenye mapenzi ya watu wazima wenye akili timamu.
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Idadi ya Wanaume waliotoka kimapenzi na Shilole

  19. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazaramo hawaumizwi kimapenzi?

    Ukisikia mtu kaua mpenzi kwa wivu wa mapenzi mara nyingi kama siyo zote ni mwanaume wa kanda ya ziwa au mikoani huko Huwezi kusikia mzaramo. Najiuliza kwann Hawa wenzetu wanawezaje kumudu stress za mapenzi bila madhara.
  20. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanawake wakipewa madaraka wanaongoza kwa chuki ili kukomoa wanaume, hasira zote zinahamia kwetu. Tutakutana 2025!

    Kuna Hali Fulani nchi inalazimishwa kuwadekeza wanawake. Au kuwafanya wajihisi kama ni kundi la kuonewa huruma yaani walemavu. Kila mahali wanataka huruma. Hata uchaguzi ujao wanatumia misemo ya kutaka kupendelewa kijinsia. Leo nyimbo na ngonjera nyingi ni za kutufubaza akili tuache kutafuta...
Back
Top Bottom