Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 1,709
- 5,699
Utakuta nimekutongoza umenikataa ukasema tuwe marafiki na nikakubali, au hata sijawahi kukutongoza ila sisi Ni mabesti, una rafiki wa kike uko karibu naye kuliko mimi
nilivo karibu nae, hivyo mm kukutana nae kumtongoza inakua sio rahisi Kutokana na ugumu wa kimazingira, kwanini tukiwaomba msaada wa kutuunganisha nao kimapenzi mara nyingi hua mnatukatalia?
REAL LIFE STORY:
Kuna mdada nilichukua namba yake, tulichat vizuri tu na kupigiana simu, ila akawa ananiletea head games Na usumbufu, nkiomba tuonane (Aje ghetto) anasema yuko bize, mara aniombe hela ile Siku za mwanzo mwanzo nlivochuka namba, nikaona hapa nimeshakataliwa, sina mtu, nlivotaka kumpotezea full, nikakumbuka huyu mdada ana urafiki na mdada ambaye namuona ana shape kuliko yeye, nikasema sifuti namba yake acha awe kama mshkaji wangu, Nliendelea kuchat naye kisela badae nikamwomba aniunganishie kimapenzi na huyo rafiki yake wa kike, kwasababu mazingira ya mm kukutana na huyo rafiki yake Face to face ni magumu, nimemuahidi hadi kumpa hela nzuri kama akinisaidia hilo jambo, nashangaa nimenuniwa, sms sijibiwi tena, simu zangu hapokei tena, pamoja na kuwa nimemwahidi na kumpa hela akinisaidia kwenye hilo.
Wana-Jf wenzangu, especially dada Zangu wa humu jf, msaada tutani mtu kama huyo nimweleweje?, mbona sisi marafiki wa kiume tunapeana namba za wadada? Na tunaunganishiana Kirahisi?? Depal Kalpana Lenie Demi Cillah Numbisa Kelsea Saint Anne