kimapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Dalili gani utaziona kwa msichana ambaye hajavutiwa kuwa nawe kimahusiano ( kiurafiki + kimapenzi ) pale unapoanzisha mitongozo?

    Kujua kutasababisha kuokoa mda utakaosaidia katika kulijenga taifa. Utakuta umewekeza zaidi ya miezi miwili kwa mtoto wa mtu, mwisho wa siku ni kutokujibiwa text, kublokiwa, na kadhalika. Unakuwa umepoteza mda wako bure. Utajuaje hapa napoteza mda na huyu msichana ajavutiwa nami. Ukute men ni...
  2. Nicolaus Trac

    JamiiForums Tanzania Elon Musk Akana Tuhuma za Kutoka Kimapenzi na Nicole Mke wa Mwanzilishi Wa Google

    Bilionea namba moja duniani, Elon Musk amekana uhusiano wowote na Nicole Shanahan, ambaye ni mke wa mwanzilishi wa Google, Sergey Brin. Kauli ya mmiliki huyo wa kampuni ya magari ya uneme ya Tesla, imekuja baada ya ripoti katika Jarida la Wall Street kieleza kwamba urafiki wa Musk na Brin...
  3. kilamba lamba

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kustahimili usaliti wa kimapenzi?

    Habarini wana jamvi. Natumai mu wazima wa afya kabisa. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama kichwa cha habari kilivyosema. Wewe kama binadamu uliyekamilika kifikra na kihisia, unawezaje kustahimili usaliti wa kimapenzi wa aina yoyote. Uwe wa text, kushuhudia kabisa au kwa kuambiwa. Ni swali...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ananitaka kimapenzi

    Habari za jioni ndugu zangu. Mimi sio mwandishi mzuri jaman tunaenda hivyo hivyo. Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 22 nafanya kazi sehemu x lengo la kuandika huu uzi ni kwamba kuna mwanamke wa kiiraq alikuwa anakuja kazini nampatia huduma ila mwezi uliyopita kaniambia ananipenda nikaona sio...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake, basi vijana wengi walipaswa wawe mahakamani

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake basi watu wengi hasa wanaume wangekuwa mahakamani wakijitetea kwa tuhuma za kubaka. Huu ni ukweli usiopingika. Wanawake wengi karibu wote wameshawahi kuingiliwa kimapenzi bila wao...
  6. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Nimekata nusu mwaka sasa bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi

    Baada ya kupiga hesabu ya kumiliki mwanamke nje ya ndoa nimeona kuna gharama kubwa sana zinazosababisha hela kupotea. Pesa ambazo ningezifanyia mambo ya msingi sana. Sasa Toka January nikaamua kukaa SINGLE KABISA. Miezi 6 sasa imekamilika. Sina Dem wala Girl yeyote wa kuniomba vocha, hela ya...
  7. winnerian

    JamiiForums Tanzania Je, kumuonesha Mwanamke Uume kama njia ya kumvuta kimapenzi ni sahihi?

    Nimesikia na kusoma visa vingi vya wanaume kutanguliza picha au kuonesha uume kama kianzio cha kumvutia mwanamke. Je, ni kweli kuwa hii ni njia sahihi ambayo inamfanya mwanamke kupata ushawishi? Majibu tafadhali
  8. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Matapeli wa kimapenzi mtandaoni kutoka west Afrika

    Kuna kipindi kiko NatGeo channel 181 DSTV na pia Azam wanayo siko surr ni channel namba ngapi. Hiki kipindi ni mwanadada anakuwa anafuatilia biashara flani haramu to the source anazungumza na clients na wauzaji au wale victims, na watendaji wa uharamia. Ashahoji wauzaji madawa wa mexico, wezi...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nimekwama kimapenzi, niufuate moyo wangu au akili?

    Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

    kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda. kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua.
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi hawapendi marafiki zao kuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada zao ?

    Yani unakuta mtu anaona bora hata dada yake atoke na mtu asiemjua kabisa lakini linapokuja swala la rafiki yake ku date na dada yake hapo huwa pana utata?
  12. Nyendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja aligundua mama yake mzazi anatoka kimapenzi na aliyekuwa mme wake

    Mwanamke mmoja nchini Kenya aitwaye Martha Wanjiku, ameeleza kisa chake, baada ya kubaini mama yake mzazi amekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na aliyekuwa mume wake kwa zaidi ya miaka 25. Martha ameeleza kwamba aliolewa na mwanaume huyo na ndoa yao ilidumu kwa miaka miwili pekee na ilipofika...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kuna mdada ni mzuri sana, ila najishangaa sana kwanini sivutiwi nae kimapenzi

    Kuna mdada hapa mtaani kwetu, mimi namuona ana sura nzuri, Ana ngozi nzuri, mweupe, ana chura, halafu umri wake mdogo, tena hajaolewa, mpole, hana nyodo wala maringo, alikuwa anauza mgahawa wa mama yake, nilikuwa nikienda pale mara nyingi tu kunywa chai, namwona binti ni mzuri lakini hata...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Binafsi siwezi kuishi kimapenzi na mademu wanaoandika xax, Xmas,ko, n.k

    Mada juu yahusika. Mimi siwezi kudumu kimapenzi na binti ambaye anaandika vitu vya hovyo mtandaoni. Mara xax, Xmas, meme, ko n.k Vifupisho vipo na vinajulikana kwa mujibu wa lugha husika. Sasa haya mengine yanatoka wapi kama si uhuni? Mademu waliozoea kuandika hivi ni wale malaya wanaochati na...
  15. Zee Korofi

    JamiiForums Tanzania Nimempiga mpenzi wangu baada ya kukuta ujumbe wa kimapenzi kwenye simu yake

    Wanajamvi uzima upo? Ninaishi na mpenzi wangu, sijamuoa ila tunaishi wote, na wote tu wanachuo hapa DSM. Jana usiku nilifuma msg katika simu ya huyu mpenzi wangu ya mapenzi(ilikuwa msg chafu iliyodhihirisha kuwa alikuwa akiliwa na mwanaume mmoja mfanyakazi wa bank). Alikuwa bafuni, kwa kweli...
  16. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aitwaye Barke Rashid, aliyeuawa Januari Mosi, 2022, akiwa guest maeneo ya Tabata, ambapo mmoja amekiri kutekeleza unyama huo baada ya kuahidiwa shilingi milioni 1.7 Kuhusu mkasa wa mauaji...
  17. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto akana uhusiano wa kimapenzi na Rick Ross

    Mlimbwende na msanii wa Tanzania Hamisa Mobetto amekana madai kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na Rapa wa Marekani Rick Ross. Akizungumza katika mahojiano na runinga ya NTV nchini Kenya, Msanii huyo ambaye pia ni mfanyabishara amethibitisha kwamba yeye ni rafiki wa karibu wa mwanamuziki huyo wa...
Back
Top Bottom