kilio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kamonga Apokea Kilio cha Lumbesa Madilu Jimbo la Ludewa

    MBUNGE KAMONGA APOKEA KILIO CHA LUMBESA MADILU JIMBO LA LUDEWA Wananchi wa kata ya Madilu iliyopo Wilayani Ludewa Mkoani Njombe wamelalamikia vipimo vya viazi wanavyohitaji wanunuzi ambapo wamekuwa wakihitaji ujazo wa Lumbesa kitu ambacho kinawapa hasara wakulima hao. Wakitoa malalamiko hayo...
  2. Euphra

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kilio cha vibarua viwandani

    Salaam wakuu naomba niende moja kwa moja kwenye mada, jamani hili linaloendelea viwandani linanihuzunisha, hivi ni kweli haya malalamiko hayawafikii viongozi wanaohusika? Au wananyamaza kwa lengo maalum? na ni lengo gani hasa yaani maswali ni mengi kuliko majibu, Inafahamika wazi kabisa kwamba...
  3. JF Member

    JamiiForums Tanzania SWALI: Endapo Rais Samia ataelewa kilio cha wananchi, atarudisha tena Bungeni?

    Tuko hapa tunapitia michango ya wananchi hasa hili la bandari. Hapa TEC mambo ni moto sana. Ninachojiluza, Iwapo Rais ataelewa mapigo ya wananchi ya kuachana na huo mpango na akafuata mpango ule wa Mbunge wa Kisesa - Mpina kama mambavyo inajadiliwa hapa TEC. Je, Atarudisha tena Bungeni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania COUNTER OFFENSIVE ya UKraine imeanza kwa kilio: Ukraine imepoteza maelfu ya askari na vifaa vingi vya kijeshi.

    ‘Large-scale’ Ukrainian offensive repelled – Russian MOD Kiev’s troops have unsuccessfully attempted to break through the front line in Donbass, the Defense Ministry in Moscow has said FILE PHOTO: Ukrainian soldiers on a tank ride along the road towards their positions in Donbass, May 23, 2023...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Asanteni kwa kusikia kilio chetu cha foleni Mwenge asubuhi. Jioni pia ruhusuni magari kwa usawa pande zote

    Ndugu zangu kwema? Kama kuna jambo zuri limefanyika sio mbaya tukipongeza. Barabara ya Mwenge kama mwezi hivi umepita kulikuwa na tabia ya magari yanayotoka Tegeta kupendelewa zaidi kwa kuruhusiwa kupita barabara zote. Soma: Adha ya foleni katika makutano ya barabara ya Mwenge Pamoja na...
  6. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Mpanda: Aliyeporwa udiwani amwaga machozi mbele ya Mbowe

    Katika ziara ya Chadema (Operation +255) huko mpanda, Kuna tukio limeniacha na majonzi sana. Mgombea udiwani wa Chadema 2020, mwanamama shupavu alimwaga chozi akikumbuka ukatili wa JPM. Mgombea huyu aliwekewa pingamizi so hakufanya kampeni muda mrefu, kama haitoshi aliposhinda udiwani (Fomu za...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Usijaribu kununua haya magari mawili utalia kilio cha mbwa mdomo juu

    Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda. Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari...
  8. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania RC Kunenge apokea kilio cha wanaotumia mabasi ya mwendo kasi kituo cha Kibaha bus terminal

    Mkuu Mkoa wa Pwani Mhe. Alhaj Aboubakar Kunenge, akizungumza na abiria kwenye Kituo Kikuu cha Mbasi Kibaha Mei 2, 2023. WANANCHI wanaotumia usafiri wa mabasi ya Mwendo Kasi (DART) kwenye Kiituo Kikuu cha mabasi Kibaha Mkoani Pwani, (Kibaha Bus Terminal) wametoa malalamiko yao kwa Mkuu Mkoa wa...
  9. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania SoC03 Bomoa bomoa ya makazi kilio cha Watanzania

    BOMOA BOMOA YA MAKAZI KILIO CHA WATANZANIA Utangulizi Bomoa bomoa ya makazi imekuwa ni kilio kikubwa kwa watanzania. jambo ambalo limesababisha adhali nyingi sana kwa wananchi na kupelekea wengi wao kukosa makazi kwa kubomolewa makazi yao na kuangukia kwenye umaskini wa kupindukia...
  10. comte

    JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi za sensa ya 2022 maisha lazima kilio cha ugumu wa maisha ni jambo lisilo epukika

    Ukiziangalia takwimu za tume ya takwimu zinatotokana na sensa ya 2022 karibu watanzania 55M ama ni watoto, wako shule, wanatafuta kazi au wamepoteza uwezo wa kufanya kazi wakitegemea nguvu kazi ya 6M. Kwa kuzingatia ufanisi wetu wa uzalishaji uwiano huu matokeo yake ni ugumu wa maisha
  11. B

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mandela kilio hakiishi

    Unapokuwa na safari yako ambayo inahusisha Barabara ya Mandela Mkoa wa Dar es Salaam, kubali kubadili ratiba zako kwani lazima utakwazika tu. Barabara imekuwa bize kupita maelezo ikipitisha malori, gari binafsi na gari za abiria. Kero zaidi ambayo pia inachangia uwepo wa foleni ni asubuhi na...
  12. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Nilimlingana BWANA kwa maombi ya Tabesi, naye akasikia kilio changu, akanitajirisha

    Sukuzaliwa kwenye familia ya kitajiri, wala familia yetu haikuwa fukara. Baba yangu alikuwa ni mhandisi wa mitambo, na mama yangu alikuwa ni katibu mukhtasi ofisi ya mkuu wa mkoa. Nilisoma hadi cha sita, sikutaka kuendelea na chuo licha ya kwamba nilipata ufaulu wa daraja la pili, wengi...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Je, ni mwanzo wa mwisho wa Mwita Waitara mbunge wa Tarime Vijijini?

    Ni dhahiri kwamba Waitara "ameshauona mwisho" kabla ya kuufikia. Leo amefanya mahojiano na waandishi wa habari akilalamika kwamba serikali imeweka mipaka ya hifadhi ya Serengeti bila kumshirikisha, Waitara alikuwa akilia kwa kwikwi na akijiapiza kwa kidole. Anadai Chadema wamepita jimboni...
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kilio cha wanaume huko nje: Kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu!

    Inaumiza, yaani inaumiza sana. Wanawake tutulie tu jamani. Dunian hakuna jipya. Mbona kila baya lina majuto, kwanini tusijifunze kupitia hilo? Yaani mumeo anapambana na kuvuja jasho la meno lakini kumbe anaowapambania wamebakiza kumuua tu. Hatuwezi kushauriana eti tucheat kwa akili...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Joti na Katiba Mpya; Wasanii na uteuzi, kilio cha maslahi

    Joti amebeza mchakato wa katiba mpya kwamba hauna tija; nimejiuliza msanii wa Tanzania anawezaje kuwatukana mashabiki zake Bila aibu? Kwamba Joti anajionaa anafaa kuwa DC? Anaona uchawa unalipa? Na kwamba hapo alipofiko ndo mwisho? Mhe. Rais anataka watu wanaosema ukweli siyo wanafiki; wasanii...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kukutana na Dkt. Samia Ikulu Desemba 31, 2022 yawa kilio kwa Mbunge Saashisha Mafue

    Kitendo cha Freeman Mbowe kukutana na Dkt. Samia Ikulu Desemba 31, 2022 kimemfanya mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafue kumalizia mwaka 2022 na kuanza mwaka 2023 vibaya. Hii imetokana na mwaliko aliyokuwa amealikwa lama Mgeni rasmi kutokuoneka na bila kutoa taarifa ya udhuru jambo ambalo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko yanayotoka ndani ya DAWASA

    Nawasalimu katika Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, DAWASA ni Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa mazingira mkoa wa Dar es salaam pamoja na baadhi ya maeneo ya Pwani. Nianze kwa kupongea juhudi inafsi zinazofanywa na serikali yetu ya kumtua mama ndoo kichwani, na juhudi za kuhakikisha kua...
  18. Black Legend

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wamekosa mtetezi kwa sasa

    Wafanyakazi wamekosa mtetezi kwa sasa; serikali tazameni haki hizi za watumishi: 1. Kodi kubwa mno za mishahara. 2. Kutolipwa malimbikizo ya madai ya mishahara (tatizo kubwa na la muda mrefu). 3. Kutopewa malipo ya likizo kwa muda muaafaka. 4. Kutopandishwa vyeo kwa muda muafaka. 5...
  19. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan sikiliza kilio cha wengi, Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu

    Wengi wanaopiga kelele wanakupenda sana. Wachache wanaokusifia kwa kila jambo wanakupoteza na wanakuingiza mkenge shutuka. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu watu wengi wanataka yafuatayo!! Umeme kuunganishwa umepanda kutoka 27000 mpaka 320,000 ndugu yangu rais wangu nakupenda Sana hapa wanachi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kufeli uwakili kilio Afrika Mashariki

    Si Tanzania pekee Mjadala kuhusu mitihani hiyo na mfumo wake umeibua taarifa mpya kutoka nje ya nchi, zikibainisha kuwa kilio hicho hakipo tu hapa nchini. Taarifa ambazo Mwananchi imezipata, zinaonyesha janga kama hilo limeikumba sekta ya sheria Zambia katika mtihani wa uwakili mwaka jana...
Back
Top Bottom