Ningependa kuwasilisha masikitiko yangu kuhusu hali ya Kijiji cha Shabaha, Kata ya Mabogini, ni eneo linalokuwa kwa kasi, likiwa na idadi kubwa ya vijana na watoto, lakini linasahaulika katika mambo yafuatayo:
Miundombinu:
Barabara ya kutoka Manguzoni (mpaka wa TPC) kuelekea Shabaha hadi mjini...
Anonymous (6198)
Thread
kata ya mabogini
kijiji
kilimanjaro
kilio
mkoa
wakazi
Inasikitisha na kutia simanzi kuona wazee wetu, waliotumikia nchi hii kwa uaminifu kwa zaidi ya mimiaka 30, wakisota mtaani bila kupata stahiki zao za kisheria. Hali ya wastaafu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) walioajiriwa na kustaafu kati ya mwaka 2012 na 2022 ni ya kuhuzunisha mno.
Hoja za...
Sina maneno mengi.
Anzeni kuhesabu siku 6 kuanzia leo
Ndani ya siku 6 huenda ikawa leo au kesho ila haitavuka siku 6.
Mungu ataleta neema yake ambayo ni furaha kwa wananchi ila upande wa pili ni kilio japo cha kinafki.
Leo tunakumbushana jambo moja tu, hatuwezi kubadili tabia nchi bila kubadili tabia zetu. Ni jukumu letu kulinda mazingira, kutunza vyanzo vya maji, na kuheshimu ardhi inayotupa riziki. Tukifanya hivyo, tunalinda maisha yetu na vizazi vinavyokuja.
Tuchukue hatua kwa umoja na hekima. Dunia ni...
Watanzania ( Tanganyika) tumelia sana na mateso, mauaji, kutekwa, udhalilishaji, uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu uliofanywa na unaoendelea kufanywa na watawala wa sasa akiwemo Raisi feki na vibaraka wake wakiwemo viongozi wa vyombo vya usalama n.k
Mateso hayo kwa watanzania yamefanyika...
Nilikuwa sijawahi kuutafakari sana huu msemo. Sikuelewa kwanini kwa waoga wacheke na mashujaa walie. Sasa nimeelewa.
Wapo wanaochekeana na kupongezana..wanapigiana saluti na kugongeana "high five". Tunawaona wanacheka lakini nyuso zao zimejaa hofu..hoja zao zimejaa vitisho...kauli zao ni za...
Wanabodi
https://youtu.be/WHZeDbvn4jw?si=-yv4XzIrf54tMBsU
Hii video ya Mama Niffer akimuombea msamaha mwanae Niffer, kama una machozi ya karibu, lazima itakutoa machozi!.
Kwa jinsi anavyomzungumzia mwanae Niffer jinsi alivyo ni nguzo na tegemeo la familia yao, yeye ni mgonjwa, tegemeo lake ni...
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kilio chao kinaumiza kuliko hata mauwaji yenyewe
Nimelia
Mmoja anasema Samia anamaliza watoto wetu tusaidien
Ni majonzi ndugu zangu
Account ni hiyo hapo chini
Wakuu Taifa limetoboka, tuambiane tu ukweli watanzania wanalia tena kilioo cha kwikwi.
Mahospitalini kumejaa maiti
kitaa kumejaa maiti
Ndani ya nyumba za watu kumejaa vilema waliyokosa matibabu ,wanaogopa kwenda hata mahospitali kwa kuogopa kumaliziwa .
Wengine wanaogopa kujitokeza...
Ndugu Wakili Maduu William Afisa uchechemuzi kutoka kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC) kwa niaba ya kituo cha sheria na haki za binadamu akitoa salamu katika mkutano wa CHAUMMA Amesema kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu kwa nguvu zote na ulinzi wa utawala...
Jamii nzima ya Tanzania na ulimwengu kwa ujumla mnapaswa kufunguka masikio, kufumbua macho na kusikiliza kwa makini kilio hiki kinachotoka kwenye mioyo ya wale ambao wamesahaulika – Wapagazi (porters), wapishi na magwiji wa milimani (guides) wa Mlima Kilimanjaro.
Hawa ndio watu ambao kwa mikono...
GT
Tunasema 'Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu" hata kiswahili chetu kinasema "Wengi wape". Hatakiwi kabisa na yeyote huyu.mama.
Sasa huyu naona anajidai kuziba masikio anavunja katiba ya nchi na Chama kwa maslahi binafsi. Anatumia.pesa na hila kupoka madaraka ambayo hayawezi.
Hivi vilio na...
Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana .
Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa.
Maazimio yalikuwa.
-Vyama...
Huu ni utafiti wangu binafsi naomba mwenye pingamizi aje kwa comment. Asanteni
Kilio unachosikia wakati mwanamke ameumizwa au ana uchungu ndio sauti hiyo hiyo utaisikia akiwa anafanya mapenzi tofauti ni volume tu
Kipindi cha nyuma kumpata mgombea ubunge wa Jimbo kupitia CCM ilikuwa inahusisha wajumbe wachache, hii ilitoa mwanya Kwa wenye Hela, mawaziri na wabunge wazoefu kuhonga wajumbe.
Kanuni mpya za CCM wajumbe wa kupiga kura za kumpata mgombea wa ubunge wa CCM idadi Yao imeongezwa,unakuta jimbo Moja...
Inatia simanzi kwa kweli!
Wote waliosababisha hayo madhila ya sasa, walaaniwe milele [if there’s such a thing].
Hamas are no heroes. They are suckers and losers.
Yahya Sinwar and Co. are punks and deserved everything they got and then some.
What kinda hero puts their people through such...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.