kilio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Kilio cha kukosa huduma ya TANESCO kwa wananchi kitaisha lini?

    Kila Mahali wananchi wanaendelea kulia bila Msaada wa viongozi kuhusu kukoswa huduma ya Tanesco kama. 1) kukoswa huduma ya surveyor 2) zaidi ya wananchi 210000 walio lipia huduma ya kuunganishiwa umeme , Hawajaunganishiwa kwa sababu ya upungufu wa meter,nyaya na watu wakuunganisha umeme. 3)...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mwasonga wamtaka Ndugulile kufuatilia kilio cha barabara ya lami ya Kibada-Mwasonga

    WANANCHI WA MWASONGA WAMTAKA NDUGULILE KUFUATILIA KILIO CHA BARABARA YA LAMI YA KIBADA-MWASONGA Wakazi wa Mwasonga leo tarehe 2 Oktoba 2021 wamefanya kikao na Mbunge wa Kigamboni Mhe. Faustine Ndugulile (Mb) kwa lengo la kujadili changamoto mbalimbali za eneo hilo ikiwa ni pamoja na umeme...
  3. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zambia yakamata malori 200 ya Watanzania, nawaza hapa ingekua Kenya hakungekalika kwa kilio humu

    Jameni Wazambia ni balaa, malori yote 200 wamekamata na hawajali liwalo na liwe..... The government said yesterday that it was not aware of reports that over 200 trucks owned by Tanzanian operators had been seized in Zambia linked to illegal logging claims. “We haven’t received any...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kilio cha akina Mama Kisutu kitaondoka na nafsi ya kiongozi mkubwa nchini

    Tunaoamini Kwenye imani ya dini tunajua namna kilio Cha wanawake pale wanapodai haki kinavyoleta laana Kwenye familia. Haiwekani wale wakina Mama wakatoa machozi Yakapita bila kuleta madhara. Ni maoni yangu tuombe toba hasa viongozi ambao machozi yalielekezwa kwako la sivyo tunakwenda...
  5. BAK

    JamiiForums Tanzania Messi aangua kilio kwenye mahojiano

  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kilio Cha tozo za miamala ni ushahidi kuwa wananchi wanakaribia kuzisahau tofauti zao za kisiasa dhidi ya maisha Yao.

    Wanasiasa someni alama za nyakati, kaeni chonjo saa mbaya. Tozo kubwa kwenye miamala ya simu imekwenda kufuta mstari muhimu sana kwa wanasiasa unaowatenganisha watanzania kwenye itikadi za vyama vyao vya siasa. Hakuna wanaCCM wala wapinzani kwenye tozo za miamala ya simu. Hii sio ishara njema...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa mafuta, ikawa miamala na sasa baada ya siku 5 itakuwa kilio cha nyongeza kiduchu ya mishahara

    Tarehe 24 Julai, 2021 watumishi wa umma na hata wafanyakazi wa sekta binafsi wataenda kushuhudia hilo punguzo la asimilia 01% ya kodi kwenye mishahara yao itawaongezea kiasi gani cha kipato cha mwezi kwa ajili ya kutumia kwa miezi 12 ijayo. Waziri Mwigulu kwa niaba ya Rais amesema Serikali...
  8. Hae Mosu

    JamiiForums Tanzania Kilio kwa Meneja wa PSSSF Kagera

    Habari ya kazi! Pole na majukumu.Mi nina dukuduku ambalo linasumbua watu wengi hasa watu wanaohitaji huduma hasa mafao Ya Uzazi. Tatizo lililopo ofisini kwako hapo ni kwamba kumekuwa na usumbufu mkubwa kwa watumishi wa umma wanapokuwa wanafuatilia mafao yao hasa ya uzazi kuanzia kwenye upokeaji...
  9. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kigwangala: Mzee Kikwete alisikia kilio cha Katiba Mpya, lakini walewale waliokuwa wanadai walikimbia

    "Katibu tuliyonayo ni Bora sana. Hata kama ina mapungufu, basi madogo madogo sana. Na hayo yanaweza kusubiri kwa Kweli. Mzee Kikwete alisikia kilio cha wadai Katiba Mpya akaanzisha mchakato ili kuyarekebisha, kwa nia njema kabisa; lakini wale wale waliokuwa wanadai walikimbia!"- Kigwangala
  10. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

    Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi. Wanaume wanalalamika unakutana na dada unampenda...
  11. robby one for really

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Serikali 2021/2022: Naipongeza Serikali kwa kuitikia kilio hiki

    Pamoja ya yote yaliyomo kwenye bajeti ya mwaka 2021/2022. Nashukuru kwa serikali kwa kusikia kilio changu na mapendekezo yangu ya muda kitambo kwa baadhi ya watendaji wetu wa ngazi za chini huku. NINA MAMBO MAWILI MKUU 1. Swala la madiwani, wenyeviti wa vijiji, vitongoji pamoja na mitaa...
Back
Top Bottom